You are on page 1of 1

MACHAKOS UNIVERSITY

University Examinations 2017/2018

SCHOOL OF HUMANITIES AND SOCIAL

SCIENCE

DEPARTMENT OF LINGUISTICS AND LANGUAGES

FOURTH YEAR SECOND SEMESTER EXAMINATION FOR


BACHELOR OF EDUCATION (ARTS)
BACHELOR OF ARTS

AKS 402: KISWAHILI POETRY

TAREHE: 6/12/2017 MUDA: 11:00 – 1:00


PM MAAGIZO:

Jibu maswali MATATU. Swali la KWANZA ni la LAZIMA.


1. a) Eleza dhana zifuatazo katika ushairi wa Kiswahili (alama 5)
i) Ushairi
ii) Msuko
iii) Kikwamba
iv) Utao
v) Arudhi
b) Fafanua vipengele vyovyote vitano vya fani katika ushairi wa Kiswahili (alama 15)
c) Eleza namna mashairi ya Kiswahili yanavyoweza kuainishwa kibahari. (alama 10)

2. Kwa kurejelea diwani ya Sauti ya Dhiki, onyesha namna mazingira yanavyoweza kuathiri
utunzi wa kazi za kishairi. (20 marks)
3. Onyesha namna suala la uongozi katika Kenya huru lilivyoshughulikiwa na Kithaka wa
Mberia (Bara Jingine). (alama 20)
4. Huku ukirejelea utenzi wa Mwanakupona, onyesha wajibu wa mke kwa mumewe.
(alama 20)
5. Jadili namna mgogoro katika ushairi wa Kiswahili ulivyochangia katika maendeleo ya utanzu
huu. (alama 20)

Examination Irregularity is punishable by expulsion Page 1 of 1

You might also like