You are on page 1of 1

THE CATHOLIC UNIVERSITY OF EASTERN AFRICA

A. M. E. C. E. A P.O. Box 62157


00200 Nairobi - KENYA
Telephone: 891601-6
LANGATA/KISUMU/GABA CAMPUSES Fax: 254-20-891084
E-mail:academics@cuea.edu
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA

AGOSTI - DISEMBA 2014

KITIVO CHA SANAA NA SAYANSI ZA KIJAMII

IDARA YA KISWAHILI

SCHOOL FOCUSED

KIS 302: SINTAKSIA NA SEMANTIKI

Tarehe: Disemba 2014 Muda: Saa mbili


Maagizo: Jibu swali la kwanza na mengine Mawili

S1. a) Eleza udhaifu wa nadharia ya sarufi-mapokeo.


(Alama 20)
b) Eleza dhana zifuatazo:
i) Neno (Alama 3)
ii) Maana kimantiki (Alama 3)
iii) Maana kama utabia (Alama 4)

S2. a) Eleza muundo wa sentensi ya Kiswahili.


(Alama 10)
b) Fafanua aina za ugeuzaji.
(Alama 10)

S3. “Maana ya maana ni tata.” Thibitisha usahihi wa kauli hii.


(Alama 20)

S4. Huku ukitoa mifano, ainisha ngeli za Kiswahili kwa kutumia kigezo cha
kisemantiki.
(Alama 20)

S5. Jadili mihimili ya Sarufi – miundo.


(Alama 20)
*MWISHO*

CUEA/ACD/EXM/AUG – DEC. 2014/FASSc. (Kiswahili) Page 1

ISO 9001:2008 Certified by the Kenya Bureau of Standards

You might also like