You are on page 1of 3

Zoezi

Tumia –enye kujaza nafasi


1. Mwanafunzi…..tabia nzuri amepewa zawadi.
2. Wakulima………mimea mingi watavuna.
3. Kioo…….uchafu kitasafishwa.
4. Nyama ……kuiva vizuri italiwa.
5. Karatasi………….maandishi zitachapishwa.
6. Gari………mbio limenunuliwa.
7. Vikapu……mizigo vimebebwa.
8. Miguu………..mikati imekaushwa.
9. Kondoo……..kutembezwa wamelala.
10.Jiwe………..uchafu limeoshwa.
11.Miji ……….majumba marefu ni ya AMERIKA.
12.Kutembea………kuchosha kunakera.
13.Shati…………..madoadoa ni maridadi.
14.Mtaa…..mazingira safi ni Kiambaa.
Tumia kivumishi –ote kujaza nafasi
1. Wanafunzi…………waje shuleni.
2. Viatu…………..vitaoshwa.
3. Marashi………….yamemwagwa.
4. Kijiko……………….kimetumiwa.
5. Misitu………………..ina miti.
6. Nguo……………..zimeoshwa.
7. Sikio……………..linauma.
8. Mawe…………….yameoshwa.
Tumia kiulizi pi kujaza nafasi. (use kiulizi pi)
1. Maji…………………yamemwagika?
2. Kifaru………………….amepotea?
3. Kuku…………………watachinjwa?
4. Kucheza………………..kunapendeza?
5. Simu………………..itatumika?
6. Kiatu……….kitashonwa?
7. Dereva………….amelala?
Chagua jibu sahihi
(vyovyote,chochote,lolote,wowote,yeyote, zozote,yoyote)
1. Kiwiko……………………kitatumiwa.
2. Mnyama……………….atachinjwa.
3. Dawa………………zitanunuliwa.
4. Miwa……………….italiwa.
5. Vyuma……………….vitajenga.
6. Tafadhali nisaidie kubeba mzigo…………….
7. Maria ataleta jiwe……………………..
Andika kwa kiswahilivifaa vya ufundi. (write in Kiswahili)
1. Sandpaper…
2. Chisel……..
3. Nails…………
4. Hammer………….
5. Tapemeasure……….
Andika wingi wa maneno
1. Msitu…………
2. Kiwavi…………
3. Ndoo…………
4. Mate…………..
5. Marashi………………
6. Wimbo……………..nyimbo
7. Simu……………….
8. Chupa………………chupa
Andika rangi ya maelezo yafuatayo (write the colours in Kiswahili)
1. Rangi ya Maziwa………….
2. Rangi ya Basi ya shule……..
3. Rangi ya Ndizi mbichi………….
4. Sweta ya shule……….
5. Majani mabichi………
6. Nyanya iliyoiva………..
7. Majani yaliyokauka………
8. Nywele…………….

Andika akisami
1. ½…………
2. 1/3…………….
3. ¼………………
4. 1/5……………..
5. 1/6……………….
6. 1/7………………
7. 1/8………………
8. 1/9……………

Tumia enyewe kujaza nafasi.,


1. Kiatu……………………kitashonwa.(lenyewe, chenyewe)
2. Chooni……………….kuna mwangaza.(kwenyewe,chenyewe
3. Kalamu……………….zitatumiwa.(yenyewe,zenyewe)
4. Mwalimu alikuja darasani………………..(wenyewe,mwenyewe)
5. Visu………………havikupatikana jikoni.(wenyewe,vyenyewe

You might also like