You are on page 1of 35

INSTITUTE OF CAPACITY

DEVELOPMENT

SCHOOLS CHALLENGE 2010


Lugha ya Kiswahili
Methali za Kiswahili - Kamilisha

1. Mtembezi hula __________.

2. Chanda chema __________.

3. Aliye kando ____________.

4. Afua ni mbili, _____________.

5. Penzi la moyo __________.


Methali za Kiswahili - Kamilisha

1. Mtenda wema kwa watu ___________.

2. Taa haachi ___________.

3. Vita havina __________.

4. Akumulikaye mchana, __________.

5. Kawaida ni _________.
Methali za Kiswahili - Kamilisha

1. Humpendaje mtu kwa _________.

2. Hakuna kubwa ___________.

3. Kupata si kwa werevu, __________.

4. Mtu hujikuna ________.

5. Mlaji ni mla leo, _________.


Methali za Kiswahili - Kamilisha

1. Penye mapenzi ___________.

2. Pole pole ya kobe ___________.

3. Raha haiji, ila ___________.

4. Chururu _____________.

5. Liandikwalo __________.
Methali za Kiswahili - Kamilisha

1. Mbio za sakafuni, _____________.

2. Heri nusu ya shari ____________.

3. Ogopa ni ____________.

4. Mwanzo wa ngoma _________.

5. Wakuume ___________.
Unda vitenzi kutokana na maneno haya.

1. Bahati __________

2. Bayana __________

3. Baraza __________

4. Bikira ___________

5. Kicheko _________
Unda vitenzi kutokana na maneno haya.

1. Chuki __________

2. Sharti __________

3. Dhiki __________

4. Bughudha_______

5. Azimu __________
Jaza neno lifaalo kukamilisha jina la kundi.

1. _________ ya nyota

2. ___________ la asumini/maua

3. Kidimbwi cha _______

4. Chane ya _______

5. Hadhara ya _______
Jaza neno lifaalo kukamilisha jina la kundi.

1. Korija la_______

2. ______ la maji

3. ______ cha shokishoki

4. Tano ya ______

5. ______ ya kanga
Watu wafuatao huitwaje?

1.Mtu mwenye nundu mgongoni. ___

2.Mtu asiyeweza kusema. ____

3.Mtu asiye na akili timamu. ____

4.Mwanamke mwenye mimba. ____

5.Mtu asiyekuwa na meno. ______


Watu wafuatao huitwaje?

1. Mtu aliyelemaa miguu. ________

2. Mtu mwenye masikio mabovu na hasikii. ____

3. Mtu ambaye jicho moja tu ndilo linaloona. _____

4. Mwenye macho mabovu asiyeona. ________

5. Mtu mwenye mguu mbovu na anakwenda kwa


kuchechemea. ________
Wafanya kazi hawa wanaitwaje?

1. Mfua chuma _______

2. Mwenye hukumu kortini ______

3. Anayejenga kwa mawe ______

4. Mzee wa mji ______

5. Mkuu wa jeshi _____


Wafanya kazi hawa wanaitwaje?

1. Mfua vitu vya dhahabu na vya fedha _____

2. Mchukuzi wa maji kupeleka majumbani ____

3. Anayepanda mnazi na kuangusha nazi ______

4. Mtu anayesaka, mwindaji ______

5. Stadi wa kutunga nyimbo na kuimba utenzi ____


Kamilisha maneno ya kutilia mkazo

1. Dhahiri _________

2. Tangu shina ________

3. Vinaoza _________

4. Msitu na _________

5. Waganga na ________
Kamilisha maneno ya kutilia mkazo

1. Hana mgoma ______

2. Haambiliki ________

3. Tangu shina _______

4. Haliki _______

5. Anatia ______
Jaza nafasi tupu kwa tanakali za sauti (milio)

1. Kunyamaza _______!

2. Kuloa ____________!

3. Kutepwereka _______!

4. Kukamatana ________!

5. Kupukutika machozi _______!


Jaza nafasi tupu kwa tanakali za sauti (milio)

1.Kutulia _________!

2.Kula __________!

3.Kulewa ________!

4.Kutega sikio _______!

5.Giza _________!
Jaza neno moja jumla kwa kila kifungu cha
maneno yafuatayo.

1. Langilangi, asumini, waridi, afu, mkadi: ______

2. Almasi, yakuti, zumaridi, johari, lulu: _______

3. Ngano, mtama, mpunga, mawele, ufuta: _______

4. Marashi, udi wa mawaridi, haliudi, ambari: _______

5. Kikuba, dalia, liwa, hina, wanja, sandali: _______


Jaza neno moja jumla kwa kila kifungu cha
maneno yafuatayo.
1. Bangili, kidani, ushanga, kipuli, herini: _________

2. Mlimau, mdimu,mchungwa,mbalungi,mdanzi: ____

3. Ndizi, limau, chungwa, nanasi, balungi, papai: ____

4. Njiwa, kasuku, korongo, tausi, chiriku, kanga: _____

5. Uingereza, Ureno, Misri,Msumbiji,Bara-hindi: _____


Jaza nafasi zilizo tupu na majina kutokana na
vitendo.

Kitendo Mtenda Jina

1. Fisidi _____ Ufisadi

2. Funza Mfunzi _____

3. Hasidi Hasidi _____

4. Jenga _____ Jenzi/jengo

5. Pofua Kipofu _____


Jaza nafasi zilizo tupu na majina kutokana na
vitendo.

Kitendo Mtenda Jina

1. Piga Mpigaji _____

2. Ongoza Kiongozi _____

3. Lia _____ Kilio

4. Konga _____ Ukongwe

5. Kaidi _____ Ukaidi


Unda ukubwa wa maneno haya.

Udogo Wastani Ukubwa

1. Kitoto Mtoto ______

2. Kigoma Ngoma ______

3. Kiwingu Wingu ______

4. Kipete Pete ______

5. Kidege Ndege ______


Jaza jina halisi la kikembe cha kiumbe kilichotajwa.

Kiumbe Kikembe

1. Bata ________

2. Paka ________

3. Mbwa ________

4. Nzige ________

5. Nyuni ________
Kamilisha Tashbihi zifuatazo.

1. Kuadimika kama ________.

2. Kuganda kama _________.

3. Chafu kama __________.

4. Kuringa kama ________.

5. Kubaidika kama ________.


Kamilisha Tashbihi zifuatazo.

1. Mwenye tumbo _________.

2. Kunukia kama __________.

3. Mkaidi kama _________.

4. Laini kama ________.

5. Zito kama _________.


Tambulisha aina ya vivumishi katika sentensi zifuatazo.

1. Magari madogo yaliwabeba watoto.

2. Uhodari wao uliwasaidia kufaulu.

3. Nyuzi hazifungi funguo zote.

4. Misitu hii ina ndovu wakubwa.

5. Mdudu anyekaa ndani ya nywele chafu ni yupi?


Maneno yaliyopigiwa mstari ni ya aina gani.

1. Bei ya bidhaa ya vyakula imepanda mara nyingi mwaka


huu.

2. Heri ujibanze kati ya hao wenzako angalau upate joto.

3. Ole wangu! Maswali haya yananilemea.

4. Imekuwaje unajikokota tangu wakati ule?

5. Kutawala kulikowasumbua ni kwa yule dikteta.


Tambulisha tamathali za semi zilizotumika kwenye
sentensi zifuatazo.

1. Leo jua ni moto.

2. Kusoma ni lazima kama ibada.

3. Kuku alichinjwa chwa! Damu ikatiririka tiriri.

4. Musa alikwenda msalani.

5. Kifo kimemkodolea macho.


Sauti hizi hutamkwa wapi?

1. m

2. f

3. n

4. ch

5. k
Taja maana ya kila msemo kwa neno moja tu.

1. Kupiga chafya ________

2. Kuzunguka mbuyu ______

3. Kupata jiko _______

4. Kuona cha mtema kuni ________

5. Kuchemka nyongo ________


Taja maana ya kila msemo kwa neno moja tu.

1. Kwenda jongomeo ________

2. Kupiga domo _________

3. Kupiga mbizi _________

4. Kutia mchanga _______

5. Kuchoma nguru ______


Tumia kiashiria cha karibu katika sentensi.

1. Mito imejaa karibu ifurike.

2. Nyaya za umeme zililipuka karibu zikatike.

3. Chungu waliingia katika chungu.

4. Tulivuka mahali panafuka moshi.

5. Kijana mrefu ana njaa.


Badilisha sentensi kwa kutumia ki ya masharti.

1. Musa aje nimsalimie.

2. Nipe nikupe.

3. Bora gari lije nipate kusafiri.

4. Tusome kitabu hiki tujue kiswahili.

5. Mtoto ale ashibe.


Tumia maneno ya adabu badala ya maneno
uliyopewa.
1. Nipe kalamu.

2. Mlevi amebaki uchi.

3. Adhiambo ana mimba.

4. Mtoto wako ni mwizi.

5. Mama yule alizaa mtoto wa kike.

You might also like