You are on page 1of 14

INSHA FROM GEORGIAN K.C.S.E.

TOPICAL QUESTION BOOKLET Umeteuliwa katibu wa kitaifa ya watu wanane mashuhuri, kuchunguza chanzo cha ghasia za baada ya uchaguzi mkuu wa Disemba,2007 nchini Kenya. Andika kumbukumbu za mkutano wenu wa kwanza huku ukipendekeza mikakati ifaayo kuchukuliwa kuepusha tukio kama hilo katika siku za usoni. 1. 2. 3. 4. 5. 1. 2. 3. Muundo wa kumbukumbu ufuatwe: Kichwa-jina.mahali,wakati wa mkutano Orodha ya waliohudhuria Orodha ya waalikwa ikiwa wapo Orodha ya waliotuma udhuru Orodha ya wasiohudhuria na hawakutuma udhuru Maudhui ya umbukumbu: Ufunguzi Wasilisho la mwenyekiti Chanzo cha ghasia Uhasama wa kisiasa Uhasama wa kikabila Makundi ya kujihami Mizozo ya ardhi Mizozo ya maeneo ya maji Ugavi wa rasilimali usio sawa Nia ya mabadiliko Ulegevu wa tume ya uchaguzi 4. Masuluhisho/Mapendekezo Kuwahimiza viongozi(wa kisiasa na dini) kuhubiri amani na utangamano Kubuni mpango wa kuwawezesha walioathiriwa kurejelea maisha ya kawaida Kuimarisha usalama (vyombo vya dola kuwajibika) Kuanzisha elimu ya umma kuwahamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kuishi kwa amani bila kujali tofauti za kisiasa na kikabila na umuhimu wa kuwa heshimu haki za binadamu Kushirikisha wananchi wa kutoka makabila mbalimbali katika michezo, ndoa, kazi, n.k. Kutafuta na kunyang`anya jamii zilizo na silaha hatari Kuhakikisha kura ya haki Vijana wa sasa wanakumbwa na changamoto nyingi za maisha. Thibitisha kauli hii huku ukieleza namna wanavyoweza kuzishughulikia. Hii ni insha ya maelezo. Changamoto: 1. Magonjwa sugu kama ukimwi 2. Dawa za kulevya 3. Ukosefu wa ajira 4. Umaskini uliokithiri 5. Uigaji wa tamaduni za kigeni

6. 7. 8. 9. 10.

Athari za utandawaji Uchumi kudorora(kustaafishwa mapema) Kuibuka kwa lugha ya vijana isiyoeleweka na wavyele wao, basi kukosa maongozi bora Shinikizo la hirimu(marika) Ujana (ushababi)

Dhihirisha matumizi ya methali: Badiliko kwa mjukuu huanza na babu Maana: Jambo linalotarajiwa kubadilika/kuwa bora mbeleni huanza kushughulikiwa mapema/sasa. Matumizi: Kuwatahadharisha wanaosubiri hadi wakati wa mwisho kuanza kulishughulikia jambo matokeo hayawi mazuri 1. 2. 3. Tanbihi: Mtahini asimulie kisa/visa vinavyooana na matumizi ya methali Si lazima afafanue maana ya methali Mwishoni aonyeshe funzo linalotokana na kisa/visa alivyoandika Andika insha itakayo malikizia kwa kifungu hiki; .Ndivyo wahenga wakanena kuwa aliye juu mgojee chini. Hii ni zamu yao sasa. Wamewadhulumu wanawake kwa miaka na mikaka. Wacha wapate kichapo cha kisasi. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 1. 2. Insha ya maelezo: Dhuluma dhidi ya wanaume Kupigwa Kufanyizwa kazi nzito ya kinyumbani Kutusiwa/kukashifiwa Kunyimwa haki za ndoa Kukejeliwa(wakosapo ajira) Kushurutishwa kutoa pesa zote Kunyimwa uhuru wa kutoa maoni Kunyimwa chakula (wafikapo nyumbani kuchelewa/walevi) Tanbihi: Mtahiniwa akipachika kimalizio, atakuwa amepotoka Asiyeweka kimalizio, amejitungia swali Wewe ni mwanahabari katika shirika la KTV. Andika mahojiano kati yako na waziri wa Kilimo nchini kuhusu athari za baa la njaa na hatua zinazochukuliwa na serikali katika kukabiliana na tatizo hili. Mahojiano Athari za baa la njaa Vifo vya binadamu/watu Vifo vya mifugo Shule kufungwa kutokana na ukosefu wa chakula Maradhi mbalimbali yamezuka k.v. utapia mlo Kuhama kwa jamii kutafuta chakula Pato kubwa la taifa linatumiwa kushughulikia njaa

1. 2. 3. 4. 5. 6.

7. 8. 1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10.

Kudumaa kwa maendeleo ya wananchi na kitaifa Wanasiasa/matajiri kujinufaisha wakitumia fursa hii Hatua zinazochukuliwa kukabiliana na baa la njaa Serikali kutangaza baa la njaa kama janga la kitaifa Kubuniwa kwa wizara ya mipango maalumu inayoshughulikia tatizo hili miongoni mwa mengine Misaada ya chakula kwa wahasiriwa kutoka kwa serikali na wahisani wengine Serikali inawahimiza wafugaji kuuza mifugo wao ili kuepuka ukosefu wa nyasi na maji Serikali inanunua mifugo kutoka kwa wakulima walioathiriwa na njaa Serikali inawahimiza wananchi kupanda mimea inayoweza kuhimili ukame k.v. mihogo, mtama n.k. Wakulima hupewa mbegu za kupanda bila malipo Wakulima wanahimizwa kupandaa mimea inayochukua muda mfupa kukomaa katika sehemu zinazopata mvua chache Serikali inajenga mabwawa ya maji ili kukusanya maji wakati wa mvua ambapo wakulima wataweza kunyunyizia mimea yao maji wakati wa kiangazi Serikali kutenga mabilioni ya pesa ili kuwezesha shirika la nafaka chini (NCPB) kununua na kuhifadhi mazao kutoka maeneo yanayojitosheleza kwa mvua Tanbihi: Mtahiniwa azingatie sehemu mbili za mahojiano: Athari za baa la njaa, hatua zinazochukuliwa na serikali. Asipozingatia sehemy mojawapo aondolewe alama nne za maudhui (alama 4) Sura ya mahojiano (mtindo wa tamthilia) unaohusisha maswali na majibu izangatiwe Majina ya mahojiwa na mhoji au vyeo vyao yaandikwe upande wa kushoto wa karatasi Asipozingatie sura hii atolewe alama nne za sura (alama 4) Asipozingatia urefu unaotakikana maneno 375-400 aondolewe alama mbili za urefu (alama 2) Mwanafunzi ajihusishe kama mhusika. Asipojihusisha aondolewe alama Kelele za mlango haziniasi usingizi Maana: Mwenye haja huvumilia shida, matusi na dharau zote za yule atoaye msaadakwake mpaka apate akitakacho

1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.

1. 2. 3.

Mwanafunzi atunge kisa/visa kudhihirisha maana na matumizi ya methali hii Kisa kionyeshe pande zote mbili za methali hii Mwanafunzi asipinge methali Buni kisa kitakachoishia kwa maneno haya: ..Nidhamu maishani ni ngao ya janga lolote.

1. 2.

Insha ya madokezo Mwanafunzi asimulie kisa kinachosisitiza umuhimu wa nidhamu Aonyeshe visa vinavyotokana na utovu wa nidhamu na vilevile kuwa na nidhamu

3. 4.

Aonyeshe janga lililoepushwa kutokana na kuwa na nidhamu Atakayeandika kisa kinachorejelea utovu wa nidhamu, ang`olewe alama nne ya maudhui (alama4) Mwanasayansi ambaye amekerwa na uharibifu wa mazingira amhoji afisa anayehusika na mazingira nchini kuhusu mikakati inayoweza kubuniwa ili kukabiliana na tatizo hili. Wewe kama mbunge, andika hotuba utakayoitoa kuhusu mipango iliyofanywa na kamati yako kuhakikisha amani inadumishwa katika eneo bunge lako.

1. 2. 3. 4. 5. 6. 7. 8. 9. 10.

Mipango mahususi iliyofanywa: Mikutano ya baraza Kamati za amani kiwango cha kata, tarafa, eneo, bunge n.k. Vituo vya polisi kuongezewa Makundi ya kushika doria usiku Kufurusha na kushtaki washukiwa Kuimarisha mawasiliano barabara Kuanzisha simu za moja kwa moja (hotline) Kuhubiri amani kwa vikundi mbalimbali k.v. vya wanawake, makanisani, msikitini n.k. Kuwepo kwa mashindano ya amani k.v. soka, riadha n.k. kutoa nafasi za kazi hasa kwa vijana Udongo upatilize uli maji Kijana mwema Hivi majuzi mlifanya mkutano wa chama cha kuhifadhi mazingira shuleni mwenu. Wewe kama Katibu wa chama, andika kumbukumbu za mkutano huo.

A. B. 1. 2. 3. C.

KICHWA (shughuli,mahali,tarehe,saa) WALIOHUDHURIA

D.

E. F.

WALIOKOSA KUHUDHURIA KWA UDHURU 1. 2. 3. WALIOKOSA KUHUDHURIA BILA UDHURU 1. 2. 3. WAALIKWA WALIOHUDHURIA (SI LAZIMA WAWEPO) 1. 2. AJENDA Wasilisho/kufunguliwa kwa mkutano Kusomwa na kuthibitisha kumbukumbu za awali Yaliyotokana na kumbukumbu za awali

i. ii.

G. H.

(ikiwa zipo) KUFUNGA MKUTANO (maombi,tarehe iliyolengwa kwa mkutano mwingine n.k.) THIBITISHO Mwenyekiti______________ Sahihi____________ Tarehe__________ Katibu ______________ Sahihi____________ Tarehe__________

Ajenda ya siku Maswala ya uchafuzi wa mazingira Suluhisho Mengineyo/shughuli nyinginezo

Kiongozi bora sharti awe na sifa nzuri. Kiongozi bora: 1. Sifa nzuri za kuigwa 2. Mwaminifu 3. Mwenye bidii 4. Mcha mungu 5. Busara/hekima 6. Utu/huruma 7. Masomo/weledi 8. Mwenyw maono 9. Mvumilivu 10. Mwelekezi 11. Mtetezi wa haki za wote 12. Anayejikimu kimaisha/si mtashi Nyani haoni kundule, huona la mwenzake Mtahaniwa aandike kisa cha kuonyesha kuwa mhusika huwa haoni makosa yake, ila ya wenzake Uuui!Uuuui! Jamani... Endeleza kisa hiki. Mtahiniwa aandike kisa kinachoonyesha kuwa kulikuwa na hatari au mtafuruku fulani. -Chanzo -Kilivyoendelea -Washiriki -Madhara -Msaada -Hitimisho Wewe ni katibu mkuu wa shirika la ugavi wa misaada kwa wahanga wa baa la njaa katika Wilaya mojawapo nchini. Umepewa jukumu la kuchunguza chanzo cha baa hili na kuoendekeza njia za kuliepuka janga hilo. Andika ripoti yako. Kuporomoka kwa majengo na mijengo inayotumiwa na umma ni janga linaloendelea kutusibu. Hasara hizi zaweza kuepushwa kwa kuzuuiliwa. Jadili. Mti mkuu ukianguka, ndege huwa mashakani.

Tunga utungo utakaomalizika kwa maneno: ..tukakaa kwa mustakabadhi na mnamana mzuri. Andika mahojiano baina ya mkuu wa wilaya na mwandishi wa habari kuhusu utovu wa usalama wilayani mwako. Tatizo la njaa limekithiri tangu nchi ya Kenya ijipatie uhuru. Pendekeza mikakati ifaayo kufuatwa ili kukabiliana na uhaba wa chakula nchini. Andika insha itakayoishia kwa maneno haya: ..nilisimama nikiangalia nyuma, machozi yakanitoka njia mbilimbili nilipokumbuka wosia wa walimu, wazazi na wenzangu. Usione kwenda mbele kurudi nyuma si kazi. Andika insha itakayomalizikia kwa maneno; .hapo ndipo nilipojua kuwa mapenzi ni nguvu zilizozidi nguvu; ni machozi; ni mhanga; ni ukiwa; ni upweke; ni unyonge na maonevu; ni kutaka ukakosa. Mtahiniwa atunge kisa kitakachooana kukamilishwa na maneno yaliyopewa. --Mtahiniwa sharti amaliza na maneno yaliyoonyeshwa. Asipofanya hivyo atuzwe chini ya alama 5 --Urefu ukipungua ondoa alama mbili (alama 2) --Msamiati, maudhui, sarufi, hijai izingatiwe Njaa sasa ni janga la kitaifa nchini. Andika mahojiano kati yako na waziri wa kilimo kuhusu namna bora ya kukabiliana na janga hili ili kuhakikisha kuwa taifa lina chakula cha kutosha. Insha izingatie: --Sura ya mahojiano --Insha iwe na kichwa kinacholenga mada --Kuwe na mhoji na mhojiwa --Njia ya maswali na majibu --Njia ya kitamthilia ifuatwe k.m. Juma: Bakari: --Atakayefululiza bila kufuata mtindo wa mahojiano aondolewe alama nne sura baada ya kutuzwa Baadhi ya hatua kuchukuliwa: 1. Kuimarisha kilimo nyanjani 2. Kutoa pembejeo za kilimo kwa wakulima wadogowadogo 3. Serikali kutoa mikopo 4. Kuajiri maafisa wa nyanjani kuwashauri wakulima 5. Kuwa na hifadhi ya kutosha ya chakula 6. Kutoa malipo bora kwa wakulima 7. Kustawisha maeneo kama kupitia kwa unyunyiziaji 8. Maeneo yaliyo vitega mvua kuhifadhiwa

Umaskini unaweza kuondolewa nchini Kenya. Jadili Hii ni insha ya mjadala Mtahaniwa aunge au apinge Pia anaweza kufanya yote mawili kisha atoe uamizi mwishoni Hoja za kuunga 1. Umma uhamasishwe kufanya kazi kwa bidii 2. Ufisadi ukomeshwe 3. Wito wa kusaidizana uendelezwe 4. Nafasi za kazi zibuniwe 5. Mikopo kwa wafanya biashara 6. Masharti ya kuanzia biashara/uwekezaji yalegezwe Hoja za kupinga 1. Ni vigumu kuwa na usawa 2. Binadamu ni mwovu kimaumbile lazima atamdhulumu mwenzake 3. Itachukua muda mrefu kuziba pengo baina ya maskini na matajiri Ngozi ivute ili maji Methali nyingine iliyo na maana sawa na methali hii ni: Samaki mkunje angali mbichi Maana: Ngozi huvutika vizuri inapokuwa mbichi kabla haijakauka, ikaukapo haivutiki Matumizi: Methali hii inatufunza umuhimu wa kulirekebisha jambo kabla halijaharibika kabisa --Mtahiniwa anaweza kuandika ufafanuzi wa maana ya juu, pamoja na matumizi ya methali au ayapuuze --Mtahiniwa aandike kisa kinachooana na methali hii --Mtahiniwa akiandika kisa kinachopingana na methali hii atakuwa amejitungia swali na apewe bakshishi (01-02) Anza insha yako kwa: Ungeniona ungedhani sheria hazizingatii haki za binadamu nchini mwetu Mifano: --Kushambuliwa na umati baada ya kushukiwa kuiba --Kudhulumiwa kwa wafungwa na kuzuiliwa gerezani --Kesi kutosikizwa wakati unaofaa na kuahinishwa kwa muda mrefu --Mwajiri kunyanyasa mwajiriwa wake --Kutowajibika kazini Umechaguliwa kuwa katibu wa chama cha Kiswahili shuleni. Andaa kumbukumbu za mkutano uliofanyika hivi majuzi ili kupanga mikakati ya kukiendeleza Kiswahili ndani na nje ya shule yenu. Umealikwa kwenye mkutano wa amani katika Wilaya yennu ambapo Mkuu wa Wilaya na wabunge wamehudhuria. Andika hotuba aliyotoa Mkuu wa Wilaya. A. B. KICHWA/ANWANI YA HOTUBA UTANGULIZI

1. 2. 3. 4. C.

D.

Utangulizi huteka makini ya hadhira Kutambua wote waliohudhuria kwa kufuata protokali itifaki Salamu za kushirikisha hadhira Lugha ya heshima itumike MWILI/HOTUBA KUU 1. Kusawazisha utajiri wa taifa 2. Vyombo vya habari kuhubiri amani 3. Kuelimisha umma 4. Kushirikisha hadhira 5. Msamiati mwafaka kutumiwa 6. Itifaki katika maamkuzi HITIMISHO 1. Kurudia kwa mfupi mambo muhimu 2. Shukrani kwa hadhira 3. Kuwatakia heri

Alama za mtajo kuonyesha usemi halisi itumiwe Vita vya panzi furaha ya kunguru Tunga kisa kinachoishia kwa: kabla ya hapo sikuwa nikijua kuwa ukabila na ufisadi ni hatari kwa umoja wa nchi. Zingatia ubunifu wa mtahiniwa: K.m. Vita vya kikabila baada ya uchaguzi mkuu 2007 i. o la vita vya ukabila nchini ii. cha ufisadi iii. zinazochukuliwa kupunguza viwango vya umaskini

Suluhish Chanzo Hatua

Kumezuka ghasia shuleni mwenu kati ya makundi mawili kinzani. Jopo la kuchunza chanzo cha kupendekeza mikakati ya upatanisho imeundwa. Ukiwa katibu wake andika kumbukumbu za mkutano wenu. Chanzo cha ghasia mitazamo tofauti Wanafunzi wizi, wivu, chuki - jamii karibu na shule - wanafunzi kuharibu mali yao - jamii kuibia wanafunzi - ajali karibu na shule Wanafunzi na walimu Kutowajibika - Ukosefu wa nidhamu Mapendekezo Kutegemea mitazamo tofautitofauti Kujumuisha Msamaha Kuwajibika kuwatekeleza majukumu Kuwa na subira na uvumilivu

Kugharamia hasara Kuunda njia za mawasiliano bora Serikali ina kila sababu ya kuitunza na kuipanua misitu nchini. Jadili Kupongeza: Hurembesha nchi(kivutio cha watalii kama kitega uchumi) Wahifadhi wanyama pori Ni kivutio cha mvua muhimu kwa kilimo Miti na dawa, chakula kwa watu na wanyama Viwanda-vya karatasi, rangi, n.k. Miti husafisha hewa Kupinga: Idadi ya watu haja ya ardhi kulima vyakula Mawasiliano nafasi ya ujenzi wa barabara na viwanja vya ndege Misitu huhifadhi wanyama hatari (kwa watu na mimea shambani) Ustaarabu kuni hazihitajiki tena Ujenzi hutumia chuma (vyingi vya umemesiku hizi - seruji) Kunyunyizia maji (hamna haja ya mvua) Kidole kimoja hakivunji chawa Mwanafunzi aandike kisa kudhihirisha kuwa mtu mmoja hawezi kutatua shida Alhamdulilahi! Nimebahatika kurudi shuleni baaada ya muda mrefu. Lau kama si serikali(Endeleza) Kisa kidhiihirishe: Mwanafunzi kuwa nje ya shule kwa muda kwa sababu fulani Aonyeshe kuwa serikali imemsaidia kutatua shida Ikiwa ni shida za kibinafsi kama: - Kukosa karo - - - serikali ilimlipia kupitia mpango wa elimu ya bure, pesa za maendeleo ya maeneo ya bunge n.k. Ikiwa ni shida za shule kama: - Ukosefu wa vifaa kama madarasa - - - kuwe na pesa za ujenzi kutoka kwa serikali - Ikiwa ni alama za kujiunga na vyuo mbalimbali - - - kupunguziwa au kuongeza vitivo mbalimbali Andika hotuba ya mkuu wa wilaya kwa wananchi kwenye mkutano wa baraza itakayozungumzia uhalifu, chanzo chake na jinsi ya kusuluhisha tatizo hilo. Yaliyomo yalenge yafuatayo: Chanzo cha uhalifu umaskini, dawa za kulevya, ukosefu wa ajira kwa vijana, ukosefu wa elmu n.k. Namna uhalifu unavyotekelezwa vilabu vya pombe, utekaji nyara, ubakaji, ubomoaji wa nyumba, upokonyaji, mauaji n.k. Jinsi ya kuukabili uhallifu hatua kali za sheria, dini isaidie, ushauri na nasaha Madhara ya uhalifu thamani kubwa ya mali kuharibika, uoga, uchumi kuzorota, utalii kuzorota

Msimamo wa serikali kuangamiza kabisa uhalifu wilayani Mti mkuu ukigwa, wana wa nyuni huyumba Maana: Aghalabu mti kubwa huweka vitu vingi hasa ndege wanaojenga viota, hutaga na kuangua mayai yao pale. Ikiwa mti huu itaanguka, makinda (wana wa ndege) huumia kwa sababu hawawezi kujisaidia wanategemea usalama wao mti huo. Matumizi: Mtu anayetegemea mtu mwingine au kitu fulani kukidhi mahitaji yake, hupata shida kubwa iwapo kitu au mtu huyo ataondolewa kwa sababu moja au nyingine. Utovu wa nidhamu shuleni unasababishwa na mabadiliko katika sekta ya elimu. Jadili

Kuunga: Kuongoza masomo kwenye mitaala Kuondoa adabu ya kiboko Kuwepo kwa elimu ya bure Kuongezeka kwa vipindi vya kufundisha kwa walimu Uchache wa walimu shuleni Wanafunzi kuchunguza walimu kisha kuripoti Kukubakia wanafunzi kwenda shuleni na vifaa kama vile simu, tarakilishi, n.k. Kupinga: Wazazi kutowajibika Walimu kuzembea kazini Wanafunzi kuiga mienendo ya ugenini Athari za mabadiliko ya kiteknolojia Mabadiliko ya haraka ya kimaumbile Andika ripoti itakayotokea katika jarida la shule juu ya uharibifu wa mazingira

1. 2. 3. 4. 5. 6. 7.

Kichwa cha ripoti kiandikwe kwa herufi kubwa kikiwema na jina la chama na kupigiwa mstari Ripoti iandikwe kwa wakati iliyopita na usemi wa taarifa Mwandishi atumie nafasi ya tatu Hoja zizazotarajiwa: Chama na wanachama wa kulinda mazingira Kuabainisha aina za uharibifu wa mazingira Hatua aina mikakati iliyochikuliwa ili kuhifadhi usafi wa mazingira aina kuokoa uangamizi wa mazingira Mapendekezo yaliyo na lengo la kudumisha mazingira safi Hatua kali kudhuliwa kuadhibu wanaochafua mazingira Kuwatuza wale waliotoa for a katika kuhifadhi mazingira Misaada kutoka wizara husika na mashirika yasio ya kiserikali Sikio la kufa halisikii dawa Ugonjwa wa Ukimwi umeleta madhara mengi sana katika jamii. Fafanua. Ueneaji wa ugonjwo huu:

Mapenzi ya kiholela Magonwa ya zinaa Upataniaji wa damu iliyo na virusi vya ukimwi Utumiaji wa vifaa kama sindano usivyochemshwa na vilivyotumiwa na wagonjwa wengine Kutovaa glovu wakati wa huduma Kuzuia kuenea: Raia watembelee vituo vya VCT ili kupimwa damu Wakubali janga hili iwapo wanavyo virusi hivyo vya ukimwi Wajiepushe na mambo ya ngano Wawe waaminifu kwa wenzao wa ndoa Washauiriwe kupokea dawa za kinga Watumie mipira kabla ya kufanya tendo la ndoa, yaani ngono Wapewe lishe bora hasa wale waathiriwa Andika insha itakayomalizikia kwa:..Nilizusha pumzi, nikashukuru. Kwa kweli hiyo safari haikuwa rahisi kwangu. Andika barua kwa mhariri wa gazeti la Tujulisheni ukilalamikia dhuluma wanazofanyiwa wanawake.

Vidokezo: Hunyanyaswa kimapenzi k.m. kunajisiwa Hana fursa ya kurithi mali ya wazazi au ya mumewe Hana sauti katika maswala ya ndoa Hapewi nyadhifa muhimu serikalini k.m. makamu wa Rais Hupigwa na wanaume/mabwana zao Huchukuliwa kuwa mahali pake ni jikoni Huachiwa kazi za sulubu k.m. shambani Watoto wa kiume hupendelew dhidi ya wa kike Hutahiriwa kwa nguvu kwa madai ya kuzingatia mila na tamaduni Hulaumiwa katika maswala ya uzazi k.m. familia ipatapo watoto wa kike tu mke ndiye hulaumiwa Hulipiwa mahari na wanaume hivyo mume huchukulia kama mali yake Huozwa kwa lazima Ufisadi ni janga limekita mizizi katika jamii. Fafanua

Idara ya afya dawa zinauzwa Madaktari hawajibiki kazini Polisi huchukua hongo Raia wanatoa hongo wanapotaka huduma yoyote Kortini na mahakamani kesi hushughulikiwa kwa njia ya ufisadi Kupata nafasi ya mtoto katika baadhi ya shule Walimu hujihusisha kwa ufisadi kwa madai malipo zaidi ili kuwafunza watoto Kufika kazini ukiwa umechelewa na kuondoka mapema Kabla ya kuajiriwa kazi, mtu hulazimika kutoa hongo Wahubiri na mapadiri kulipwa pesa ili kutoa huduma ya maombi Wizi wa fedha za umma k.m. Anglo leasing

Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyaoga Matumizi: Ikiwa umekwisha jitayarisha kufanya jambo, basi bora ulikabili/ulifanye na ulimalize Andika mahojiano kati ya afisa ya mazingira na mwanakijiji kuhusu uchafuzi wa mazingira kijijini mwako Andika taarifa au makala yatakayosomwa katika kipindi cha redio kuhusu janga la njaa nchini. Mambo yanayosababisha njaa: Mvua kuchelewa / ukame Ukulima wa kiwango cha chini Wakulima kuuza mavuno yote Matajiri kuficha vyakula waviuze kwa bei ya juu baadaye Uvivu Mafuriko Vita vya kikabila Sera mbaya za uongozi Kutegemea mvua pekee Madhara ya njaa: Watu kufa kwa njaa Watu kulazimika kula majani na mizizi ya miti Watu kuhangaika na kutamauka Umaskini Wanyama kufa kwa njaa Kuzidi kwa maradhi na maambukizi Gharama ya juu ya chakulakwa watu binafsi na serikali Jinsi ya kukabiliana na jangaa la njaa: Kusafirisha chakula kilikoathiriwa na baa la njaa Kutumia maji ya visima na mfereji badala ya kutegemea mvua pekee Kubadilisha itikadi juu ya ulaji wa vyakula mbalimbali Kutumia mbinu za kisasa za kilimo Kuajiri maafisa wa ushauri wa kilimo Serikali ijiandae kukabiliana na tatizo kama hilo Pendekeza hatua zizazopaswa kuchukuliwa kukabiliana na janga la njaa Samaki huanza kichwani Andikainsha itakayomalizika kwa maneno haya..kumbe nilisahau kuwa si yote yaanzayo vyema huishia vyema Umealikwa katika hafla ya kuanzisha jopo la kuwahamasisha vijana kuhusu umuhimu wa kuwa na amani nchini. Andika hotuba yako. Chanzo:

Matokeo za kurayalizua utata Hisia za kikabila Ugavi wa mashamba usiafaa Ugavi wa rasilimali usio na usawa Kutozingatia mipaka hasa wakati wa kulisha mifugo Madhara: Raia wengi kupoteza maisha yao Mali nyingi kuharibiwa Kuibua hisia za kikabila moyoni mwa wakazi Wakaazi kuwa wakimbizi katika nchi yao Watoto kutoenda shuleni Shughuli za kawaida k.v. biashara na usafiri kuharibiwa Suluhisho: Wanasiasa wahuburi utaifa Usawa katika ugavi wa rasilimali Sheria zifaazo kufuatwa wakati wa ugavi wa mashamba katika tamati hatibu ashukuru hadhara kwa kumsikiliza Elimu ya bure katika shule za upili haina budi kuimarishwa. Jadili huku ukimzingatia mtoto wa kike Umuhimu wa mtoto wa kike Mikakati zilizowekwa na jamii au serikali kuinua hali ya mtoto wa kike Kuharamisha ndoa za mapema Kuharamisha tohara Kuanzisha mikundi ya kupigania haki ya watoto wa kike Mtoto wa kike anapata elimu sawa na mtoto wa kiume Ana haki ya kurithi mali ya wazazi Kupitisha sheria hali zinazolinda mtoto wa kike dhidi ya dhuluma mtahiniwa anaweza kupinga au kuunga mkono Usione kwenda mbele, kurudi nyuma si kazi Andika insha itakayomalizika na maneno haya:..nilipiga magoti chini na kushukuru Maulana kwa kuyanusuru maisha yangu. Wewe ni Katibu wa Chama cha kupambana na milungula Wilayani. Andika kumbukumbu za mkutano wa pili wa chama chako. Ungekuwa Rais wa Kenya, fafanua njia utakazo tumia kustawisha (kuimarisha/kuboresha) uchumi uliosambaratika(ulioharibika)

Njia za kutumia: Kukomesha ufisadi Ujenzi wa viwanda Kuongeza nafasi za elimu Kuimarisha usalama Utafiti

Mikopo kutolewa kwa raia kwa riba ya chini Kuhimiza watu kupenda na kuthamini bidhaa za humu nchini Kuwajibika na kupiga vita uvivu na uzembe Kuimarisha uchukuzi na mawasiliano Kuleta usawa wa kisheria Kuleta uhusiano mzuri kati ya Kenya na nchi zingine Andika insha itakayomalizika kwa maneno haya:..nilipokaa mezani kula chakula kitamu, nilikumbuka maisha magumuniliyoyapitia, nikatambua kuwa si rahisi kupatachakula kama hicho bila juhudi maishani.

You might also like