You are on page 1of 5

KISWAHILI TEST

1. Unda sentenci sahihi kutokana na jina hizi.

Basi
......................................................................................................................................................
.............................

ila

juu ya hayo

2. piga mstari viunganishi katika sentenci hizi.

a. wewe utakula pilau ama ugali?

b. yeye anapenda kucheza ingawa sio sana.

c. utaenda dukani bila yeye.

d. ili ijulikane nani atasoma kitabu

e. tutaenda mskitini kisha sokoni

f. samaki au kuku, unapenda kipi?

g. kaka ataenda kununua badala ya dada mdogo

3. jaza nafasi wazi kwa kutumia maneno yaliyo katika mabano.

a. hukushiba ................................... sababu chakula kilikuwa kidogo. ( ili, kwa

sababu, na )

b. nilikwenda ....................... nisisumbuwe ( kwa, ili, bali )

c. walikuja wote ............................ ali ( lakini, kwa kuwa, isipokuwa)
d. john alikwenda ................................ miguu ( na, kuwa, kisha)

e. halima anauza samaki ................... pilipili ( na, kuwa, kisha)

4. piga mstari viunganishi katika sentenci hizi.

a. mtoto aliondoka na dada yake

b. askari alipigwa kwa mawe

c. alishuka kwenye mti huku alilia

d. mwalimu alimsindikiza mpaka kwao

e. prosper anapenda mandazi ya pilipili

5. zungushia duara viunganishi katika maswali haya.

a. nyumba ya mbuzi inavuja.

b. wezi wameiba vitu vya abiria

c. amepata mtoto wa kike

d. maganga alijificha nyuma ya mlango

e. hajujiandikisha kwa mwenyekiti

f. sio kuwa simpendi ila ananiudhi sana

g. mimi na yeye hatukufaulu mtihani

h. hata hivyo, hakuwa mtu mzuri.

6. piga mstari neno ambalo ni tafauti na mingine

a. punda, chui, paka , kuku

b. kikombe , sahani , jiko , bakuli

c. kalamu , penceli , meza , karatasi
d. gari , meli , daraja , ndege

e. samaki , saa, dagaa, maharage

7. Unda sentenci sahihi kutokana na jina hizi.

juu ya

......................................................................................................................................................
.............................

mbele ya

mbali na

chini ya

nyuma ya

8. andika kwa maneno

a. 22  2

......................................................................................................................................................
.............................

b. 100 - 1

c. 11 x 11

9. andika wingi wa maneno haya.

a. miguu - .................................

b. mkono - .................................

c. mshumaa - .................................

d. mkebe - .................................

e. mpira - .................................

10. andika sentenci 7 za kiwahili zenye viulizi ndani yake.

------------------------------------------------------------------------

11. baadilisha sentenci hizi kuwa katika swali

a. alikula pilau
------------------------------------------------------------------------

b. anachapwa na baba yake?

------------------------------------------------------------------------

c. alifuga gali?

------------------------------------------------------------------------

d. utasema nini ukikutwa na mwalimu

------------------------------------------------------------------------

e. amesema nini tusile nyama

------------------------------------------------------------------------

f. wameenda kunywa maji

------------------------------------------------------------------------

g. alifanya shughuli hizo

------------------------------------------------------------------------

h. huwezi fsnanishwa na yeye

------------------------------------------------------------------------

You might also like