You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA PICHA

FOMU YA TAARIFA MUHIMU ZA MWOMBAJI WA AJIRA


(Ijazwe kwa HERUFI KBWA na kwa umakini mkubwa)

Sehemu A: Taarifa Binafsi za Mwombaji:

(i) Jina Kamili (Majina matatu):……………………………………………………………………………………………………....


(ii)Tarehe ya Kuzaliwa:……………………………………………….Jinsia: *Ke/Me Hali ya ndoa:…………………………….....
(iii)Mahali ulipozaliwa : Mkoa:...........................................Wilaya:................................Tarafa:…..….........…Kata….......................
Namba ya Nyumba:..............................................................
(iv)Uraia:…………………………………………Kwa kuzaliwa Kwa kuandikishwa
(v)Taarifa ya Elimu
Kiwango cha Elimu ulichofika:…………………………….Cheti ulichonacho.............................................................................

Sehemu B: Taarifa ya Makazi ya Sasa ya Mwombaji

(i)Mahali unapoishi kwa sasa


Mkoa:……………………..........…Wilaya……………...……….Mtaa/Kijiji…………...…………..Kata…….....……………........
(ii)Anwani ya Posta: S.L.P:…………….....................................
(iii)Jina la Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa/Kijiji:…………………………………………………………………...........................

Sehemu C: Taarifa ya Wazazi wa Mwombaji

(i)Jina kamili la baba:……………………………………………… Kazi ya baba...............................................................................


Namba ya Simu:..............................................................................
(i)Jina kamili la mama:……………………………………………… Kazi ya baba............................................................................
Namba ya Simu:..............................................................................

Sehemu D: Hali ya Afya ya Mwombaji

Je una ulemavu wa aina yoyote? Ndiyo Hapana Kama jibu ni ndiyo taja aina ya ulemavu.......................................

Sehemu E: Uthibitisho wa Taarifa za Mwombaji wa Kazi

Mimi…………………………………………………..ninathibitisha kwamba,taarifa nilizojaza katika fomu hii ni sahihi na kweli


tupu kwa kadri ya ufahamu wangu na kwamba, sijaficha chochote wa kuandika taarifa yoyote ya uongo.
Sahihi:…………………………………………….Tarehe……………………………………..Mahali………………………...........

Sehemu F: Tamko na Uthibitisho wa Mwenyekiti/Mtendaji wa Mtaa/Kijiji

Mimi………………………………………………………..Simu…………………………….,nina tamka na kuthibitisha kwamba,


mtajwa hapo juu ni mkazi wa Mtaa/Kijiji…………………………………………………………......................................................
Muhuri wa Serikali ya Mtaa/Kijij:………………………………………………………….................................................................

You might also like