Demo financial service company limited wa s.l.p 114, mwanza (Ambaye ktk mkataba huu atajulikana kama ‘’MKOPESHAJI’’ MKOPESHAJI ameridhia kwa nafsi yake mwenyewe kumkopesha mkopaji kiasi kitakachoainishwa hapo chini na mkopaji ameridhia kukopa kiasi hicho pasipo shuruti yoyote na kukubaliana na masharti ya mkataba huu. 1. Mkopeshaji ameridhia kumkopesha mkopaji kiasi cha Tsh ___________ kwa maneno _________________________________ na atabakiwa kurejesha kiasi cha Tsh ___________________ 2. Mkopo huu utakuwa ni wa muda wa siku/wiki ____________ 3. Mkopo huu utaanza kuhesabiwa kuanzia tarehe __________ mwezi __________ mwaka __________ na mwisho wa kukamilisha mkopo ni tarehe ______ mwezi ______ mwaka ________ 4. Mkopaji ameweka dhamana ya ________________________ 5. Kwamba mkopaji anakubali kuwa akishindwa kurejesha baada ya siku mbili (2) baada ya mkataba kuisha ataripa kiasi cha 1% kila siku zaidi ya rejsho lake analo daiwa kuanzia siku ya kishidwa kulipa hadi siku ya ulipaji wa deni.
Sahihi ya mkopeshaji sahihi ya mkopaji
______________________ ____________________
Tarehe Tarehe __________________ ______________________________