You are on page 1of 2

MKATABA WA KUUZIANA GARI

MKATABA HUU umefanyika leo________ Tarehe __mwezi _ mwaka______

KATI YA
________________________wa sanduku la posta ________ Dar es Salaam
ambaye katika mkataba huu atajulikana kama (Muuzaji) kwa upande mmoja.

NA

__________________________wa sanduku la posta________________


ambaye katika mkataba huu atajulikana kama (Mnunuzi).

KWA VILE mnunuzi akiwa na akili zake timamu anayo nia ya kununua gari hili kutoka
kwa muuzaji gari lenye maelezo yafuatayo:-

Registration number; __________

Make __________

Model ___________

Body Type ___________

Engine No. ___________

Chassis No. ____________

Colour ____________

Year _____________

NA KWA VILE Mnunuzi anayo nia ya kununua gari hilo kutoka kwa muuzaji

HIVYO BASI pande zote mbili katika mkataba huu zinakubaliana kama ifuatavyo,

1. Kwamba bei ya mauziano ni Tshs____________kwa maneno


________________________________ fedha ambazo zitalipwa zote wakati wa
kusaini mkataba huu.

2. Kwamba gari hilo linauzwa kama kama lilivyo hivi sasa.

3. Kwamba mmiliki anakiri ndiye mmiliki halali wa gari tajwa hapo juu, hivyo basi anayo
haki ya kuuza gari kwa mnunuzi.
KWA USHUHUDA wa makubaliano haya pande zote mbili zimetia sahihi kama ilivyo
hapa chini;

UMETIWA SAHIHI na kutolewa na }


__________________ambaye namfahamu na }
ametambulishwa kwangu MUUZAJI
leo______ tarehe __ mwezi ___ Mwaka ____ } ………………………………

Jina _____________________
Anwani : _____________________

Wadhifa _____________________

Sahihi _____________________

UMETIWA SAHIHI na kutolewa na }


____________________Ambaye ametambulishwa kwangu
Leo_____ tarehe___ mwezi _______ }
} --------------
MNUNUZI

Jina _____________________

Anwani: _____________________

Wadhifa: _____________________

Sahihi _____________________

You might also like