You are on page 1of 1

MKATABA WA UPANGISHAJI

____________________________________________________________________
MAKUBALIANO HAYA YAMEFANYIKA siku ya tarehe…………….. ya
mwezi…………..wa mwaka 20..
BAINA YA
Ndugu..................................................................wa sanduku la barua .........ambaye ndani
yamkataba huu atakua anatajwa kama
MPANGISHAJI
NA
Ndugu................................................................... wa sanduku la barua ................, ambaye
ndani ya mkataba huu atakua anatajwa kama
MPANGAJI

KWA KUWA:
a) MPANGISHAJI ndiye, na ataendelea kuwa mmiliki halali wa nyumba ya kupangisha
iliyopo........................................, nyumba ambayo ndani ya mkataba huu inatajwa kama
nyumba ya makazi
b) Na kwamba MPANGISHAJI ana hiyari, kwa kuzingatia kufuatwa kwa masharti
yanayoainishwa kwenye mkataba huu, ya kumpangisha MPANGAJI nyumba ya makazi;
c) na kuwa MPANGAJI kwa hiyari yake yuko tayari kupanga nyumba inayopangishwa kwa
kufuata na bila kuvunja masharti yanyoainishwa katiba mkataba huu;
MASHARTI YAFUATAYO:
a)Endapo
katika kipindi cha upangaji kodi haitokua imelipwa kwa muda wa siku ishirini na moja na au
zaidi

You might also like