Professional Documents
Culture Documents
Fomu Na:
___________________________
2. Jinsi KE ME
Asubuhi Mchana
Mimi ________________________________________________________________
Nathibitisha kuwa maelezo niliyotoa hapo juu ni ya kweli na sahihi, endapo
nikibainika nimedanganya hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yangu.
Angalizo:
Siku ya kurudisha fomu njoo na vitu vifuatavyo :
a) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
b) Nakala ya cheti cha shule ya msingi/sekondari au barua kutoka shule
uliyomaliza
c) Picha ndogo nne
d) Barua ya afisa mtendaji wa Mtaa/Kijiji
e) Barua ya maombi ya mafunzo
f) Nakala ya Kitambulisho cha mpiga kura/taifa/Wenye umri chini ya miaka
18 cheti cha kuzaliwa kitatumika
g) Barua ya hali ya afya yako toka Hospitali inayotambulika na serikali