MKATABA WA KUPANGISHA CHUMBA CHA BIASHARA.BAINA YABi.
AZARIA THOMAS WA MWANZA TANZANIA, Ambaye katika mkataba huu atajulikana kama mwenye nyumba (Mpangis haji),na __________________________________ ambaye katika Mkataba huuatajulikana kama Mpangaji.Mpangaji amekubali kupanga kwa makubaliano haya yafuatayo:- 1. Kuanzia leo tarehe ___________ mwezi __________ mwaka ________ _____ hadi tarehe ______________________ 2. Mpangaji atalipa kodi ya pango _____________________________ kwamaneno ____________________________________________________ambayo italipwa kwa mkupuo mmoja wakati wa kuthibitisha. 3. Mpangishaji akishapokea fedha lazima atoe Stakabadhi kuonyeshaamepokea fedha. 4. Gharama za kodi zinaweza kubadilika muda wowote kwa kupewa taarifana Mpangishaji. 5. Kodi iliyokwishalipwa hairudishwi endapo utavunja Mkataba mwenyeweMpangaji. 6. Mpangaji haruhusiwi kupangisha chumba alichokipanga au kumwachiamtu mwingine wakati wa mkataba wake bila ruhusa ya mwenye nyumba. 7. Mpangaji atatakiwa kutunza mazingira ya chumba na vitu vyote kwa wakatimmoja (usafi). 8. Usiweke kitu chochote bila ruhusa. 9. Ifikapo mwisho wa mkataba mpangaji atakabidhi chumba husika kwenyenyumba kikiwa katika hali ya usafi kama ulivyokabidhiwa wakati wakuingia. 10. Kama utaendelea na mkataba mpya utamjulisha mwenye nyumbana kama hauendelei pia utamjulisha mwenye nyumba.Kwa kuthibitisha mkataba huu kwa pande zote zinaweka sahihi zao kwamakubaliano yote yaliyoandikwa kwenye mkataba kwa hiari yao.Jina kamili la mwenye nyumba Bi. AZARIA THOMAS Sahihi _____________________ Tarehe _____________________Jina kamili la Mpangaji ___________________________________________Sahihi ___________ __________ Tarehe _______________________ Anatambulika biashara yake ni ___________________________