You are on page 1of 3

MKATABA WA MAUZIANO YA ENEO

KATI YA

JOSHUA HURUMA MITIMINGI

NA

PATRICK ROBERT TARIMO

UMEANDALIWA NA
PASTORI DEOGRATIUS SAWERE (WAKILI)
S.L.P 5836
NAMBA YA SIMU +255 715 121 465
EMAIL: louissawere11@gmail.com
TANCORT HOUSE 1ST FLOOR
DAR ES SALAAM

Saini ya MUUZAJI ……………………….. Page 1 of 3

Saini ya Mnunuzi ………………………….


KATABA WA MAUZIANO YA ENEO

Huu ni mkataba uliofanywa leo tarehe ………. Mwezi February, 2024.


KATI YA
JOSHUA HURUMA MITIMINGI wa Anuani ya Posta, Dar es Salaam na Namba ya Simu
0654 559 660, ambapo katika Mkataba huu atajulikana kama “MUUZAJI”, (akiwahusisha
warithi, wasimamizi na wawakilishi wake kisheria pale itakapobidi) kwa upande mmoja.
NA
PATRICK ROBERT TARIMO, wa Anuani ya Posta 5836 Dar es Salaam, Namba ya Simu
+255 652 369 194 ambapo katika Mkataba huu atajulikana kama “MNUNUZI”, (jina ambalo
litahusisha warithi, wasimamizi na wawakilishi wake kisheria pale itakapobidi) kwa upande wa
pili.
AMBAPO; MUUZAJI anaidhinisha kuwa ni mmiliki halali wa Kiwanja chenye urefu wa Mita
26 na upana wa mita 22 ilichopo katika eneo la Sagale, Kata ya Viziwaziwa, Wilaya ya Kibaha,
Mkoa wa Pwani, na anania yakukiuza ENEO hilo kwa MNUNUZI amekubali kununua eneo
hilo kwa masharti na makubaliano yaliyopo katika mkataba huu.
MASHARTI YA MKATABA HUU NI KAMA IFUATAVYO:
1. MUUZAJI anamuuzia MNUNUZI ENEO hilo kwa bei ya Shilingi za Kitanzania Milioni
Tatu na laki Tatu (Tsh 2,800,000/=). Ambapo MUUZAJI atahamisha umiliki wa Eneo hilo
na mastawisho mengine yote yaliyopo katika eneo hilo kwenda kwa Mnunuzi bila kikwazo
chochote na Mnunuzi atakuwa Mmiliki halali wa ENEO hilo.
2. Malipo yote yatafanyika kwa awamu mbili ambapo Mnunuzi atalipa kiasi cha Shilingi za
Kitanzania Milioni Mbili tu (Tsh 2,000,000/=). siku yakusaini makubaliano na kiasi
kilichobakia kitalipwa tarehe 15th March 2024, na kwakusaini makubaliano haya
MUUZAJI anakiri kupokea kiasi cha Shilingi za Kitanzania Milioni Mbili tu (Tsh
2,000,000/=).
3. Malipo yote yatafanyika kupitia akaunti ya MUUZAJI yenye taarifa zifuatazo Account
Namba: 0152456021800 Jina la Akaunti: JOSHUA HURUMA MITIMINGI, CRDB
BANK PLC. Na MUUZAJI atatakiwa kumkabidhi mnunuzi nyaraka zote muhimu za
umiliki wa ENEO hicho siku yakusaini makubaliano haya.
4. Kwakusaini makubaliano haya MUUZAJI anafungwa kisheria na hataruhusiwa kuuza eneo
hilo kwa mtu mwingine yoyote iwapo watakiuka makubaliano haya atatakiwa kumlipa
mnunuzi gharama zote alizoingia pamoja na fidia kama inavyoelekezwa katika kipengele
kinachofuata
5. MUUZAJI anakiri kuwa hilo ni eneo lake binafsi na siyo eneo la wanandoa au la ushirika
na kwamba ana haki ya kuuza eneo hilo kwa MNUNUZI na kwamba hakuna jambo lolote
lililojificha juu ya umiliki wa eneo hilo, na iwapo utatokea mgogoro wowote wa juu ya
umiliki wa eneo hilo MUUZAJI atawajibika kumrudishia MNUNUZI kiasi chote
alicholipia pamoja na fidia ya asilimia kumi na tano (15%) ya kiasi kilicholipwa na
gharama zozote za usumbufu MNUNUZI atakaopitia.
6. Mkataba huu umeprintiwa kwa nakala tatu ambapo nakala moja imetolewa kwa MUUZAJI
nakala ya pili imetolewa kwa MNUNUZI na nakala ya tatu imebaki kwa WAKILI wa
MNUNUZI.

Saini ya MUUZAJI ……………………….. Page 2 of 3

Saini ya Mnunuzi ………………………….


KWA USHUHUDA WA PANDE ZOTE MBILI, Mkataba huu umesainiwa na pande zote mbili
yaani MUUZAJI na MNUNUZI, leo tarehe, Mwezi na Mwaka kama ilivyoonyeshwa hapo
chini:-

UMESAINIWA hapa Dar es Salaam na


JOSHUA HURUMA MITIMINGI picha
ambaye ametambulishwa kwangu na ……………
….……………. ambaye nina mfahamu mbele ………………….
yangu leo tarehe ……. Mwezi February, 2024. SAINI YA MUUZAJI

MBELE YA
Jina: ………………………………………………
Saini: ………………………………………………
Namba ya Simu: ………………………………….
Wadhifa: SHAHIDI WA MUUZAJI

UMESAINIWA hapa Dar es Salaam na


PATRICK ROBERT TARIMO picha
ambaye ametambulishwa kwangu na ……………
….……………. ambaye nina mfahamu mbele ………………….
yangu leo tarehe ……. Mwezi January, 2024. SAINI YA MNUNUZI

MBELE YANGU
Jina: PASTORI DEOGRATIUS SAWERE

Saini: ………………………………………………
Anuani: S.L.P 5836
DAR ES SALAAM muhuri
Wadhifa: WAKILI

MJUMBE

Jina:

Sahihi: ………………………………………………. Muhuri

Namba ya Simu:

Saini ya MUUZAJI ……………………….. Page 3 of 3

Saini ya Mnunuzi ………………………….

You might also like