You are on page 1of 3

Fomu ya ardhi ya vijiji Na.18.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA


SHERIA YA ARDHI YA VIJIJI,1999
(Na.5 ya 1999 )

OMBI LA HAKIMILIKI YA KIMILA


( Chini ya Fungu la 22 )
SEHEMU ya I: (Ijazwe na mwombaji/waombaji )
i.

Jina la Mwombaji:*

A. Jina/Majina Kamili ya Mwombaji/Waombaji kwa herufi kubwa:


i) ............................
Jinsia/Umri: ...
ii)
* Je,maombi ni ya wanandoa?

( Ndiyo/Hapana

B. Majina Kamili ya wanafamilia inayoomba kwa herufi kubwa:


i)
JInsia/umri: ..
ii)
Jinsia/umri
( Angalau wanafamilia wawili wawasilishe maombi).
C. Jina la chombo au taasisi inayoleta maombi

i)

Ambatanisha nakala ya hati ya usajili wa chombo au taasisi


* Jaza kifungu kinachoendana na ombi lako
2. Anuani Kamili ya mwombaji ( kwa mkazi kijijini taja mahali ndani ya kijiji).

3. Uraia :
4. Sijaoa/Sijaolewa/nimeoa/nimeolea/mjane/mtaliki (inahusika na vifungu A na B hapo
juu )
5.Watoto na miaka (inahusika na kifungu A na B hapo juu )

6. Mahali ilipo ardhi inayoombwa:


Kitongoji: ..
Kijiji:
Wilaya:
7. Wastani wa eneo la ardhi: .

8. Matumizi ya ardhi kwa hivi sasa ( kama vile kilimo,ufugaji,makazi)

9. Matumizi yanayopendekezwa au yanayokusudiwa katika (kama ni tofauti na


inavyotumika hivi sasa.

.
Saini/kidole gumba cha mwombaji/waombaji
Jina .. Saini/Dole gumba
Jina .. Saini/Dole gumba
Jina ..Saini/Dole gumba .

Saini za wadau wanafamilia wawili,Viongozi wawili wa kijadi,au maafisa wateule wawili


wa chombo.
Jina ..Saini/Dole gumba
Jina ..Saini/Dole gumba
Endapo maombi yanawasilishwa na mtu/watu ambao kwa kawaida si wakazi wa kijiji ombi
liwekwe saini na WANAVIJIJI WATANO
Jina .. Saini/Dole gumba
Jina .. Saini/Dole gumba
Jina ..Saini/Dole gumba .
Jina .. Saini/Dole gumba
Jina ..Saini/Dole gumba .
Tarehe ya maombi ..
SEHEMU YA PILI: (Kwa matumizi ya Ofisi tu )
Maoni na mapendekezo ya Halmashauri ya Kijiji */Halmashauri ya Wilaya
(* Futa isiyohusika )

You might also like