You are on page 1of 1

FOMU YA KUJIUNGA NA JUMUIYA YA MT.

FRANSISCO XAVERY

Mimi …………………………………………………………………………………

Ninajiunga upya na jumuiya ya MT.FRANSISCO XAVERY kwa kukubaliana na haya


yafuatayo:

a) Nitahudhuria bila kukosa jumuiya


b) Nitatoa ushirikiano kwa viongozi
c) Nitatoa zaka na michango yote inayotakiwa kwenye jumuiya
d) Nitatoa ushauri unaotakiwa ili kuweka uhai katika jumuiya
e) Nitakuwa mtiifu na mwenye nidhamu katika jumuiya na kwa Yesu kristo
f) Nitahakikisha kutokuwa chanzo na kikwazo katika jumuiya kwa
i. Kukwamisha michango
ii. Maneno yanayobomoa jumuiya
iii. Vikundi visivyokuwa na maana

Kwakukubaliana na haya naahidi kuwa mwanajumuiya mwema na kujenga na kuweka


misingi imara ya kanisa Katoliki

Sahihi ya mwana jumuiya……………………

Sahihi mwenyekiti…………………………..

Sahihi ya katibu………………………………

TUMSIFU YESU KRISTU

You might also like