You are on page 1of 6

MAKABURI YA HALAIKI -ZANZIBAR

Idadi hasa ya wazanzibari waliokuwa katika Mapinduzi haijulikani. Inakisiwa tu kuwa ni kiasi ya
watu 2,000 hadi 20,000. Hata hivyo, kilicho bayana ni kuwa idadi ya wahanga - miongoni mwa
jeshi la serikali na lile la Mapinduzi ilikuwa ndogo mno. Kiongozi wa Mapinduzi hayo anaripoti
kuwa alipokea taarifa ya wahanga hao tarehe 13 Januari, saa 9:30 alasiri baada ya sultani
kukimbia na vikosi vyote vya serikali kwisha kushindwa. Anaadika kuwa katika ushindi wao wa
Zanzibari - yaani ule wa ghala ya silaha na ule wa vikosi vya serikali - upande wake ulipoteza
askari 2 na kujeruhiwa wengine 18. Ama kwa upande wa serikali, katika mapigano haya mawili
yaliyopishana kwa takribani masaa 2, majeshi 16 waliuawa na 81 wakaachwa majeruhi.

Wakati wa kuziteka ngome nyengine za serikali asubuhi hiyo, mauaji zaidi yalitokea. Hata
hivyo, hisabu ya jumla ya wahanga wote katika "medali ya vita", ikijumuisha na ya ziwani,
ilikuwa ni askari 9 tu waliouawa na 173 tu walijeruhiwa kwa upande wa jeshi la Mapinduzi,na
70 tu waliouawa na 401 walijeruhiwa kwa upande wa vikosi vya serikali. Askari na wapiganaji
wengine 818 wa serikali walijisalimisha aidha wakati ama baada ya mapambano. Idadi hii ya
wahanga 653 tu miongoni mwa waliouawa na waliojeruhiwa, kwa pande zote mbili, hailingani
kabisa na ile idadi ya maelfu ya wahanga waliopoteza maisha, viungo katika pirika-pirika za
muendelezo wa Mapinduzi.

Viongozi wa Mapinduzi hawakuwa na mpango wa kabla juu ya nini wawafanye "maadui" zao
endapo wangeliwashinda. Ukosefu huu wa mpango ulizaa dalili za ukosefu wa nidhamu katika
kupeana vyeo vya Mapinduzi, huku uchu, ulafi na uoga zikiongoza nidhamu hii. Uporaji ulianza
mara tu baada ya Mapinduzi kutangazwa, bali khofu na mateso dhidi ya wapinzani
(waliopinduliwa) vikaonekana kuwa vitu vilivyotawala hisia za watu kwa siku mbili mutawaliya
zilizofuatia Mapinduzi . Khofu hizi ndizo silizowaruhusu baadhi ya watu wajiingize katika
uvunjaji mkubwa wa sheria, kwa bahati mbaya, kiongozi wa Mapinduzi hayo alionekana kuwa
mmoja miongoni mwa hao. Sio tu kwamba yeye binafsi alishiriki katika ukatili wa hali ya juu,
bali pia aliendelea kutumia Redio akitangaza njia ya mikakati ya kuwahamasisha watu wake
wamwage damu.

Vingi miongoni mwa vyombo vya nyumba za Zanzibar kwa wakti huo vilijumuisha silaha,
miongoni mwao zikiwa bunduki kongwe zilizonakshiwa kwa mkono na ambazo zilikuwa urathi
wa kizazi hadi kizazi. Watu walioishi maisha ya nafuu katika sehemu za mashamba, pia
walikuwa na silaha walizopewa kwa ajili ya kujilinda. Mambo haya mawili, pamoja na ukweli
kuwa wengi wa wakaazi wa mjini walikimbilia kwa ndugu zao wa mashamba pale ghasia
zilipokaribia mji mkongwe yakawa ni kichocheo kikubwa cha mauaji ya maangamizi.
Ubinadamu uliopo kisiwanii kwa mara ya mwanzo ukatikiswa najazba ya safisha-safisha ya
kikabila isiyopata kuonekana hapo mwanzoni katika upwa huu. Haya hapa maelezo kutoka
kiongozi wa Mapinduzi mwenyewe yakisimulia mkasa huu.
"Vita ni dhamana ya kuogofya na matokeo yake daima ni uharibifu mkubwa. Hakuna chochote
kiwezekanacho kuthibitisha hili zaidi ya vita vilivyotokea tarehe 12, Bubwini Kaskazini Unguja,
eneo ambao waliishi waarabu wengi. Eneo hili lilikuwa ni kituo cha kuhifadhia silaha ambazo
waarabu hawa walikusudia kuzitumia katika mauaji ya maangamizi dhidi ya waafrika.

Kwa hakika walipanga kufanya shambulizi hilo siku ya tarehe 13 Januari. Nilipata habari hizi
kutoka kwa kijana aliyekuwa karibu kuuawa na wanajeshi Wazungu. Wanajeshi hawa walikuwa
tayari wameshawaua watu 40 katika eneo hilo na nilikuwa na bahati ya kuwasili hapo wakiwa
wanataka kummaliza kijana huyu kwa risasi. Nilipomsaili zaidi, kijana huyu aliniambia kuwa
silaha zilikuwa zimehifadhiwa katika eneo hili na waarabu walishapanga kuzitumia hivi punde
tu; pia aliniambia kuwa wengi miongoni mwa wale waliouawa na askari wazungu hawakuwa
wakaazi wa nyumba walizokutwa. Habari hizi za uovu zilithibitisha habari nilizozipata hapo
kabla na nilichukizwa sana. Niliwaamuru askari wangu wafyatue risasi kila upande na wakiuwe
kiumbe chochote kilicho mbele yao- wanaume, wanawanake, watoto, walemavu na hata kuku na
mbwa"
Wimbi la mauaji huko mashamba na mashambulizi katika sehemu nyengine zilizochukuliwa
kuwa za "maadui" yalikuwa yanatishia sana. Habari zinazosimuliwa zaidi ni zile baadhi ya watu
wasio na hatia wakiwa na silaha zao duni ambao walihiyari kujifungia katika majumba yao huku
umma usiozuilika ukiwazingira. Vikosi vya Askari wa Mapinduzi vilikuwa vikipita nyumba hizi
moja baada ya nyengine katika magari ya doria; na walipowasili kwenye nyumba ya aina
waliyokuwa wakiishambulia kwa bunduki za automatiki. Akizungumzia ubaya wa "mapambano"
haya, kiongozi wa Mapinduzi alisema: "Ni Mungu tu awezaye kuujua ubaya wa mapigano haya
kwa wakati huo; risasi zilimiminika mithili ya wingu la mvua, na mashambulizi yalisambaa
kisiwa chote".

Baada ya muda. "maadui" waliyakimbia majumba yao kukimbilia vichakani na pengine pwani.
Wachache walinusurika kwa kusafiri na vimashua walivyovikuta pwani. Wengine waliuawa ama
kuchukuliwa mateka. Mauaji ya wafungwa yalikuwa jambo la kawaida na wengi wao walikufa
baadaye kutokana na mateso mabaya gerezani au katika kambi mpya za wafungwa
zilizofunguliwa baada ya kiu ya damu kwisha.
Siku mbili baada ya Mapinduzi, mpiga picha wa kitaliano alipiga picha zilizozaa makala hii.
Picha hizo zinaonesha misururu mirefu ya wafungwa, watu wakikimbia kupitia pwani, maiti
waliozagaa ufukweni, mauaji ya wafungwa, usafishwaji wa miili ya wahanga na makaburi ya
halaiki.
Makala hii imeandikwa kama ni kumbukumbu ya wale wote waliopoteza
maisha yao wakati wa Mapinduzi.

Na Barghash 2001 Barghash@msn.com

You might also like

  • Annuur 1091
    Annuur 1091
    Document16 pages
    Annuur 1091
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1092
    Annuur 1092
    Document16 pages
    Annuur 1092
    annurtanzania
    No ratings yet
  • Rasimu Ya Katiba (Toleo La Pili)
    Rasimu Ya Katiba (Toleo La Pili)
    Document0 pages
    Rasimu Ya Katiba (Toleo La Pili)
    Muhidin Issa Michuzi
    0% (1)
  • Annuur 1076
    Annuur 1076
    Document12 pages
    Annuur 1076
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1077
    Annuur 1077
    Document12 pages
    Annuur 1077
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1082
    Annuur 1082
    Document16 pages
    Annuur 1082
    MZALENDO.NET
    100% (1)
  • Annuur 1087
    Annuur 1087
    Document7 pages
    Annuur 1087
    annurtanzania
    No ratings yet
  • Annuur 1063
    Annuur 1063
    Document16 pages
    Annuur 1063
    Hassan Mussa Khamis
    No ratings yet
  • Annuur 1078
    Annuur 1078
    Document12 pages
    Annuur 1078
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1065
    Annuur 1065
    Document12 pages
    Annuur 1065
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1062
    Annuur 1062
    Document16 pages
    Annuur 1062
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1067
    Annuur 1067
    Document12 pages
    Annuur 1067
    annurtanzania
    No ratings yet
  • Annuur 1072
    Annuur 1072
    Document12 pages
    Annuur 1072
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • An-Nuur 1071
    An-Nuur 1071
    Document12 pages
    An-Nuur 1071
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1049
    Annuur 1049
    Document12 pages
    Annuur 1049
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1059
    Annuur 1059
    Document16 pages
    Annuur 1059
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1057
    Annuur 1057
    Document16 pages
    Annuur 1057
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1061.
    Annuur 1061.
    Document16 pages
    Annuur 1061.
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1031
    Annuur 1031
    Document16 pages
    Annuur 1031
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1060
    Annuur 1060
    Document16 pages
    Annuur 1060
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1027
    Annuur 1027
    Document16 pages
    Annuur 1027
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1030
    Annuur 1030
    Document16 pages
    Annuur 1030
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1022
    Annuur 1022
    Document12 pages
    Annuur 1022
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1029
    Annuur 1029
    Document20 pages
    Annuur 1029
    annurtanzania
    100% (1)
  • Nadharia Ya Meli
    Nadharia Ya Meli
    Document6 pages
    Nadharia Ya Meli
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Zaka 3
    Zaka 3
    Document61 pages
    Zaka 3
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1046
    Annuur 1046
    Document12 pages
    Annuur 1046
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 1028
    Annuur 1028
    Document16 pages
    Annuur 1028
    MZALENDO.NET
    No ratings yet
  • Annuur 117
    Annuur 117
    Document16 pages
    Annuur 117
    annurtanzania
    No ratings yet