You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA


Kumb. Na. EA.7/96/01/D/32 13 Mei, 2013

KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 06 hadi 13 Aprili, 2013 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili. Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vipya katika

muda ambao umeainishwa katika barua zao za kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals) vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira. Barua za kuwapangia vituo vya kazi zimetumwa kupitia anuani zao. Aidha, wale ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba mara nafasi za kazi zitakapotangazwa tena.

Na. 1.

MAMLAKA YA AJIRA

TAALUMA/KADA

MAJINA YA WANAOITWA KAZINI

THE INSTITUTE OF SOCIAL WORK (ISW)

ASSISTANT LECTURER HUMAN RESOURCES MANAGEMENT

ASSISTANT LECTURER INDUSTRIAL RELATIONS ASSISTANT LECTURER SOCIAL WORK TUTORIAL ASSISTANT INDUSTRIAL RELATIONS TUTORIAL ASSISTANT SOCIAL WORK STORE KEEPER ASSISTANT LECTURER INSTITUTE OF COMMUNICATION FINANCE SKILLS MANAGEMENT ASSISTANT LIBRARIAN (IFM) CURRICULUM TANZANIA COORDINATOR GRADE I INSTITUTE OF - HISTORY EDUCATION SENIOR CURRICULUM (TIE) COORDINATOR IIPRIMARY SCIENCE SENIOR CURRICULUM COORDINATOR II-CIVICS SPECIALIST SENIOR COMPUTER TECHNICIAN GRADE II MWALIMU NYERERE ASSISTANT LECTURERGENDER STUDIES MEMORIAL ASSISTANT LECTURERACADEMY SOCIAL STUDIES ASSISTANT LECTURER ECONOMICS SENIOR TECHNICIAN TANZANIA GRADE II BROADCASTING PRODUCER GRADE II
2

1. CHARLES CLEOPHANCE NGIRWA 2. JERRY NDALANGA 3. CASTISSIMA MELLA 4. MASUNGA JOHN NSOLEZI 1. OMARI ISSA 1. PAUL MWANGOSI 2. PATIENCE KAWAMALA 1. ASTERIA MLAMBO 1. 2. 3. 1. 1. DANSTAN J. HAULE ABIGAELI S KIWERU TWAHA I. WAZIRI ELIZABETH DAUDI BARIKI J. URASA

2.

1. MUSSA H. LIPALA 1. WILBERT M. IJUMBA

3.

1. MARIETHA MODEST BELEGE 1. DAVIES J. MLAY

1. GODLOVE KYANDO 1. REGINA MAUNDE 2. FREDRICK ALLENI 1. SAHILA GISALUHARA WILFRED 1. MATHIAS JACKSON 1. ALEXANDER SIMON 1. ANGELA S. MDUNGU

4.

5.

Na.

MAMLAKA YA AJIRA

TAALUMA/KADA

MAJINA YA WANAOITWA KAZINI

CORPORATION (TBC)

JOURNALIST GRADE II

ICT OFFICER GRADE II LIBRARIAN II SENIOR ENGINEER II DRIVER GRADE II

SECURITY GUARD II
6.

THE COPYRIGHT SOCIETY OF TANZANIA (COSOTA)

COPYRIGHT LICENSING OFFICER GRADE II SENIOR SUPPLIES OFFICER GRADE II

1. MICHAEL GLORIA AGAPITI 2. DOREEN E MLAY 1. HIYANA A. CHANDE 1. PATRICIA N. MAKURU 1. CONSTANCE PROTAS MUHINDI 1. CHRISANTO C. MBENNA 2. JAMAL HAMISI ANGOVI 1. CHARLES ANDREA MGONOKI 1. EMMANUEL MATONDO 1. CASTOR KOMBA

X. M. DAUDI KATIBU

You might also like