You are on page 1of 1

Wilaya ya Karatu

Wilaya ya Karatu ni wilaya moja ya Mkoa wa Arusha. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Karatu ilihesabiwa kuwa 230,166. [1]

Marejeo
1. Jump up Sensa ya 2012, Arusha- Karatu DC

Kata za Wilaya ya Karatu - Mkoa wa Arusha - Tanzania Baray | Buger | Daa | Endabash | Endamarariek | Ganako | Kansay | Karatu | Mang'ola | Mbulumbulu | Oldeani | Qurus | Rhotia

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Karatu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Jamii:

Mbegu za jiografia ya Mkoa wa Arusha Wilaya za Mkoa wa Arusha Wilaya ya Karatu

You might also like