You are on page 1of 5

Sote tuwe na umoja (Yn. 17:21) Nimesoma kwa kina Tamko la Maaskofu Thelathini na Wawili wa Kanisa Katoliki Tanzania.

Pia nimepitia taarifa za magazeti yote nchini yaliyoandika kuhusu salamu za Sikukuu ya Pasaka kwa Wakristo nchini na Watanzania kwa ujumla. Mwenendo wa unge la Kati!a umeshamiri katika matamko ya "iongozi wetu wa #ini katika mahu!iri yao ya Sikukuu ya Pasaka. Napenda kuwashukuru kwa Maaskofu wetu kwa $ekima na usara ya hali ya juu katika matamko yao na wito wa kutaka mchakato wa Kati!a uendelee kwa kuheshimu maoni ya Wananchi na ku!oresha inapo!idi ili kupata Kati!a !ora. Kama nili%yopata kusema hapo awali& Kati!a ni Mwafaka wa Taifa kwa hiyo ni lazima kila mmoja wetu awe na moyo wa maridhiano. Makundi maku!wa ya Kisiasa nchini yanapasa kuunga mkono kwa %itendo Tamko hili la Maaskofu pamoja na rai m!ali m!ali am!azo "iongozi wetu wa kiroho wametoa wakati huu wa Sikukuu ya Pasaka. Maaskofu wanatukum!usha Nanukuu' (Tulichukua hatua ku!wa kuunganisha nchi m!ili huru& Tanganyika na )anzi!ar& na kuifanya kuwa nchi moja ya *amhuri ya Muungano wa Tanzania ikiwa kielelezo kwa ara la +frika cha kujenga umoja,. Wanaendelea (Pamoja na mafanikio hayo maku!wa& zimejitokeza dosari kadhaa katika umoja zilizofanya umoja wetu upoteze !aadhi ya sifa zake za awali. Kupungua kwa hisia za kujisikia

watu wote ni taifa moja& ni dosari iliyoanza kukua tarati!u na sasa inaonekana kuwa ndio ukweli. aadhi ya Watanzania wanafikiri kuwa umoja unaofuta tofauti haufai ila umoja unaosisitiza tofauti kama uli%yo umoja wa kikanda -kama ili%yo S+#.& /.0W+S& n.k1 ndio unafaa2 Wakati mataifa mengine yanatamani umoja unaofanana na ule umoja wetu wa awali& !aadhi yetu tunatamani kurudi nyuma kwenye umoja wa mpito2, Ni dhahiri %iongozi wetu wa kiroho wanaumizwa na juhudi zinazoendelea za kuuzongazonga Muungano na hata kuhoji uhalali wake kiasi cha !aadhi ya Watanzania kutaka tuwe *umuiya ya Kiuchumi tu. Tunaonywa pia kuhusu Muungano wenye Serikali ya Muungano 3egemezi na tegemezi4 iwapo hatuta!oresha 5asimu ya Kati!a. "ile%ile %iongozi wetu wa dini wanasikitikia uwezekano wa Muungano ku%unjika. $ata hi%yo wanaonyesha kwam!a 5asimu ya Kati!a imeweka misingi mizuri ya kuendeleza Mshikamano na 6moja wetu. Wanasema' Vigezo vyote muhimu kwa maisha ya mshikamano kitaifa vimean ikwa katika !asimu ya "ati#a Su$a ya 1 ha i ya %. &ukisha kuku#a'iana na ya'iyomo katika su$a hizo( muun o wowote wa Se$ika'i unawezekana kwa kuzingatia kanuni za uwiano wa ma a$aka na waji#u wa mihimi'i mitatu ya )o'a kwa muji#u wa Su$a za * ha i 1%. +anaen e'ea( ,haguo 'a muun o wa )o'a( sha$ti 'iongozwe na ma'engo

na ma humuni ya umoja wetu wa kutaka tuishi kwa mshikamano wa hati. -.haguzi wa muuungano wa se$ika'i moja( m#i'i au tatu sha$ti ufanywe kwa hami$i safi i'iyo na ue'ewa u'io.ham#ua matatizo ya'iyo/o ya 0uungano na ku$i hia mfumo utakaosu'uhisha matatizo hayo /asi/o mashaka yoyote Katika Salamu zake na Pasaka& +skofu wa Kanisa la +nglikana #ayosisi ya #ar es Salaam #kt. "alentino Mokiwa naye pamoja na kulaani %ikali mwenendo wa unge la Kati!a ametaka pia Muundo Muungano iki!idi uwe na 5ais mmoja tu na wengine wawe wasaidizi wake. $ii inarutu!isha hoja ya ku!oresha 5asimu ya Kati!a ili kupata Kati!a inayopendekezwa itakayopelekwa kwa Wananchi na kuamuliwa kwa kura. Kwa maoni yangu& ni %ema Wajum!e wote wa unge la Kati!a kuweka mawazo yao wazi !adala ya kung4ang4ania misimamo ya "yama %yao %ya siasa au Makundi yao. Wanaotaka Serikali M!ili -S71 wawasikilize wanaotaka Serikali Tatu -S81 kama zili%yo kwenye 5asimu na %ile%ile wanaotaka Tatu zilizo!oreshwa -S8z1 nao pia wasikilizwe. $atimaye tupate Kati!a !ora inayopendekezwa. Neno #hamira Safi ni neno la msingi na la kuzingatia sana katika mchakato huu. Ni %ema wenzetu wasiotaka Muungano wawe wazi !adala ya kujificha kwenye miundo. Maaskofu wetu wanatusihi nanukuu& (Tunalisihi na kulishauri unge Maalum la Kati!a kuheshimu mawazo yaliyowasilishwa na kutumia !usara

zilizopendekezwa za kujenga muundo wa Muungano utakaokidhi mahitaji ya utangamano& mshikamano& amani& maadili& uhuru na uwaji!ikaji wa %iongozi na raia wa Tanzania,. Kwa upendo ka!isa %iongozi wa #ini wanatuom!ea& (+akati huu wa 1asaka( tuen e'ee ku'iom#ea 2unge 0aa'umu 'a "ati#a i'i wajum#e wawe wazingatifu wa matakwa na mata$ajio ya +atanzania ya'ivyoainishwa katika !asimu ya 1i'i ya "ati#a na &ume ya ma#a i'iko ya "ati#a kwa kuheshimu maoni ya +atanzania na ku#o$esha maoni hayo kwa hekima na #usa$a i'i ku'in a mstaka#a'i wa &aifa 'etu,. 9icha ya kuom!ewa na %iongozi wetu hatuna !udi sote kwa pamoja kulaani na kukataa lugha za matusi na ki!aguzi zilizogu!ika majadiliano ya unge Maalumu la Kati!a. +skofu Mkuu wa KKKT #kt. +le: Malasusa amekemea %itendo %ya ki!aguzi na kusisitiza umuhimu wa kusikilizana& kuheshimiana na kuridhiana. Wakati Kardinali Pengo anasihi Wajum!e waliotoka nje kurejea ungeni ni %ema !asi %iongozi wa dini zetu zote kuu& Waislam na Wakristo& pamoja na 5ais wa *amhuri ya Muungano wa Tanzania wachukue waji!u wa kwanza& kuendelea kukemea %ikali lugha za ki!aguzi& matusi na kejeli. "iongozi wa unge la Kati!a wachukue jukumu la kuwaadhi!u Wajum!e wanaotoa lugha za namna hii wakati wa mijadala na %iongozi wa %yama %ya siasa waweke nidhamu kwa wanachama wao. Ninashauri "iongozi wetu wa #ini kukaa pamoja na "iongozi

wa makundi ya kisiasa katika unge Maalumu ili kupata maridhiano& kujenga kuaminiana na kusonga m!ele. Ni %ema mkutano huu wa maridhiano chini ya "iongozi wakuu wa #ini zetu ufanyike ka!la ya Sikukuu ya Muungano. Nawasihi %iongozi wetu wa kisiasa kuku!ali maridhiano kupitia kwa %iongozi wa dini zetu kwani maridhiano yanajenga Mwafaka na Kati!a ni Mwafaka Mkuu wa Kitaifa. Maaskofu wamenena. Tusikie. Pasaka iwe ya Maridhiano katika kuandika Kati!a. Mateso aliyopata wana ;esu na kisha kufufuka kwake iwe rejea yetu na kusameheana pale tulipokoseana na kuweka misingi ya kuheshimiana& kusikilizana na kuridhiana. )itto Ka!we& M #ar<es<Salaam& *umatatu 7=>?@>7?=@

You might also like