You are on page 1of 7

KALOLENI A39

TIME 15.43 25.00


Paticipants: Fre On!an"#:Fre.
Ot$er spea%ers: Ot$& O2& O3
Fred: Huyu modoris anakuaga ametulia lakini ni mwadhara.
Eng: This woman is so quiet, but she is trouble.
Swa: Huyu mama ni mpole, lakini yeye ni mkorofi.
Oth: niga!
Eng: "hi#h one!
Swa: gani!
Fred: Husuyu, ukim#heki ulete mayhem ni matha mpoa, aki$am% anakupigia firimbi
%%%..hakuna tutoi hapa tutume, kafuaki%.
Eng: This one, if you see be #ool she is a good woman, but when she gets mad, she
blows the whistle%. &ren't there any kids to send some #igarettes.
Swa: Huyu, ukimwaona utulie, ni mama m(uri, akikasirika atakupigia firimbi%%
hakuna watoto hapa wakutuma sigara.
O): *le dem si ana ngu+u, ule amenda +ihi ame+a red, hubeba ma$i kwa head
Eng: That girl has got strength, that one going, dressed in red she #arries water on her
head.
Swa: ,ule msi#hana nan ngu+u, yule, anaenda kule, ame+alia ngua nyekundu, hubeba
ma$i kwa ki#hwa.
Fred: Enyewe si poa, huo ni onalisa fulani, $ana uli#heki fight ya -on$e!
Eng: That is not fair, she is like a onalisa, did you wat#h the fight of -on$estina
yesterday!
Swa: Hi+yo si +i(uri, huyo ni onalisa $ana uliona dondi ya -on$estina!
O): &ah $ana, niliku$a kum#hukia, huyo man(i amedose.
Eng: &ah yesterday, . really despise her, that girl is no good.
Swa: &ah $ana, nilimdharau, yule msi#hana si m(uri.
O/: -on$e alikuwa anapatia m(uri uyu man(i angedo(e.
Eng: -on$estina was hitting her alright.
Swa: -on$estina alikuwa nakim#hapa +i(uri.
Fred: &ah, we ulikuwa unaona (ako wewe, huyu dem si wa ku0do(e $amaa .
Eng: ,ou were hallu#inating, that girl #ould not been kno#ked out.
Swa: "ewe ulikuwa ukiona mambo (ako, yule msi#hana si wakushindwa.
1
O/: &ti huyo dem alitoa makondi.
Eng: That girl was dishing out blows.
Swa: ,ule msi#hana alikuwa akirusha ngumi.
Fred: "a#ha nikushow, alikuwa anapiga ngumi anaogopa kufatilia kwa sababu gani,
huyo dem ni m$an$a.
Eng: 2et me tell you, she was hitting but afraid of following up, why, that girl was
tri#ky.
Swa: "a#ha nikuele(e alikuwa ana rusha n$umi, anaogopa kurudia, kwa sababu yule
msi#hana ni m$an$a.
O): Eh a#hana na huyo dem.
Eng: ,es, let that girl be.
Swa: 3dio, wa#hana na yule msi#hana.
Fred: -on$e kuna dem ati alikuwa anarasha afuatile, kuta +itu, kuta +itu (a ki#hwa.
Eng: -on$estina, there is a girl that tried follow up beating, go hit, hit the head.
Swa: -on$estina, kuna msi#hana, alikuwa anampiga mgumi bila kumwa#ha, alimpiga
ki#hwa.
O): Huyo dem yuko poa, a$ab yaani huyo dem ndo alikwa anafaa ku#hukua iyo kitu.
Eng: That girl was good, . wonder, she should ha+e taken the fight.
Swa: Huyo msi#hana alikuwa mshindani, na a$abu huyu msi#hana aku#hukuwa hiyo
Ta$i.
Fred: &likuwa anashinda hiyo kitu.
Eng: She was the one who was winning the fight.
Swa: &likuwa anashinda hilo ta$i.
O): -on$e sasa, kama hangekuwa nyumbani sasa!
Eng: "hat if #on$e was not at home!
Swa: Sasa $e, kama #on$estina hangalikuwa nyumbani!
Fred: Si ata mi nilikuwa nasema i+yo, fala ingekuwa imetupa mbao ati iko 4imbabwe
sasa.
Eng: . said the same thing. The fool would ha+e lost it if she was in 4imbabwe.
Swa: Hata mimi nilisema hi+yo, m$inga angeshindwa huko 4imbabwe.
O): &ngekutwa, angekutwa huyu dem ndo ashaimpita kwao.
Eng: She #ould ha+e been beaten if she was not on home ground.
Swa: &ngeshindwa, yeye angelala, kama hangekuwa nyumbani.
Fred: -on$e ashai sindwa on#e, na muT4 akian(a an(a bado.
Eng: -on$estina was beaten on#e by a Tan(anian, when she $ust started bo5ing.
Swa: -on$estina alishindwa mara mo$a na mtan(ania alipokuwa akian(a dondi.
)
O): Eeh, -on$e, $o, kismat (i.
Eng: ,es, -on$estina, her lu#k is running out.
Swa: 3dio,-on$estina, hana bahati.
Fred: Huyo ni dem mgani, amengara hiyo nguo ya orange!
Eng: "ho is that girl wearing an orange dress!
Swa: Huyo ni msi#hana mgani ame+aa ngua ya rangi ya ma#hungwa!
O): Si$ui sista 6ayo ama ni nani!
Eng: .s she 6rians' sister!
Swa: Si$ui ama ni dadake 6rian!
Fred: *le mdark, si$ui niende nimkatie!
Eng: That dark one,should . enti#e her!
Swa: ,ule mweusi, si$ui nimtongo(e!
Oth: Sime(ei, anakaa thirties%
Eng: She looks thirty%
Swa: &nakaa wa miaka thelethini na%
Fred: &natembea na 7a#k.
Eng: She and 7a#k are friends.
Swa: 3i rafiki yake 7a#k.
-hris: 3a8 $a#k body.
Eng: "ho! 7a#k body.
Swa: 3ani! 7o#k body.
O): 7a#k mmo$a.
Eng: 7a#k the only one.
Swa: 7a#k ule mo$a.
O/: Si 9im pia hui#hapa,kim ui#hapa huyo bratha nani.
Eng: 9im also sleeps with her, that guys' brother.
Swa: Hata 9im pia humtongo(a, nduguye.
Fred: 9im ma(iwa.
Eng: 9im the milkman.
Swa: 9im wa ma(iwa.
O/: Huyu nani, huyu huwa na nare, nare hapo.
Eng: This guy, he is fire around here.
Swa: Huyu, ki$ana huwa moto hapa
O): Huyu $amaa mkikuyu ule anatoka, ule $unior wa(imu.
Eng: ,ule mkikuyu, anatoka kwa ule moto wa(imu.
/
Swa: That kikuyu guy, he #omes from where that #ra(y boy stays.
Fred: Huyu hu0keep nare na nani!
Eng: He #he#ks the ele#tri#ity with who!
Swa: Huyu huweka umeme na nani!
O): Huyu m$unior nare na 9ari( wanaenda kupimana mita hawa, nawaona tu kwa
mita kwa nare nashindwa hawa watu wanafanya ka(i gani.
Eng: This fier#e boy with 9ari( outdo themsel+es in their work, . see them at the power
metres, and wonder what they are doing.
Swa: Huyu mtoto mbaya na 9ari( wanaenda kupima ngu+u nawaona kwa mita ya stima
nashangaa hawa wanafanya ka(i gani hii.
Fred: Hiyo yao sasa, ni ku$ien$oy.
Eng: That is now kidding them sel+es.
Swa: Hapo sasa ni ku$idanganya.
O): "ana $ien$oy.
Swa: "ana$ifurahisha
Eng: They are en$oying themsel+es
Fred: "a#ha wa$ien$oy si mbaya nabado, si utume hawa watoi mtendo % :$unior
#ome;%
Eng: 2et them be, its not bad, % Send this kids to buy us #igarettes%;$unior #ome
here;.
Swa: "a#hana nao, sio +ibaya,%. "atume hawa watoto watulete sigara..;$unior ku$a;
Fred: 3ia$e! *naenda. Sie(i kutuma kwa oduko! safari kings eeh,, kwa ile duko ya
green.
Eng: "hat's up! "here are you going!%#an . send you to the shop to bring me safari
kings, yes, there at the green shop.
Swa: Habari! unaenda wapi! nawe(a kukutuma safari kings, ndio, pale kwa duka la
ki$ani kibi#hi.
O): 7unior huwa na adhabu sana.
Eng: 7unior is so dis#iplined.
Swa: 7unior huwa ana adhabu sana.
O/: Haka kamtoi ka ki#hwa ngumu labda angelenga na akuassume hu mtoi ki#hwa
ngumu sana.
Eng: This kid is +ery rude, he #an ignore you sometimes, this kid.
Swa: huyu mtoto ni ki#hwa ngumu, mara angekataa kuku$a.
Fred: 7ana kama tunaishia oyole, tuliona dem bana ha$a tinga ka0fly hhehehe
tulimuen$oy, hohoho halafu un$ua si ni ma#hali alafu tunamshow nia$e madam, si
<
ako ka0fly siukatinge ,heheheheh si ali$i#heki alafu mahali yuko ni mwadhara
baro, akigeuka mashop, eh tulimkuta, lakini si tumemsa+e.
Eng: ,esterday while we were going to 9ayole, we met a girl whose fly was open, we
teased her, you know we are men, then we said to her, .. =hi madam, your fly is
open, #lose it, she was really embarrassed, there she was in the open, shops
behind here.. but we sa+ed her.
Swa: 7ana tulipokuwa tunaenda 9ayole, tulikutana na msi#hana ambaye (ip ya suruali
yake ilikuwa wa(i, tulimuambia, madam funga hiyo (ip yako, ali$iangalia, alafu
mahali pale alikuwa ilikuwa n$e, hakuna mahali paku$ifi#ha, lakini tulimsaidia.
Fred: Hu m(ee anatunde+u hupleka nii ndiga yake mdogo mdogo%%%kangwanye
katai+a $o, ako ka$unior kanaenda hi+i.
Eng: This man with a beard dri+es his #ar slowly%.. that girl will grow to be beautiful,
that girl who has passby.
Swa: Huyu m(ee ana nde+u uendesha gari lake pole pole%. Huyu msi#hana atakuwa
mrembo akikuwa mkubwa, huyu amepita hapa.
O): &ko, miaka ingine tatu%..
Eng: That one, another three years%
Swa: Huyo, miaka mitatu i$ayo%
O/: &i bana mbili . #an see with something.
Eng: 3o, $ust two . #an see with something.
Swa: Hapana, mbili nawe(a kuona na kitu.
Fred: 3ia$e ume#hangamka, uli unleash, inamagan$i!
Eng: Hi, you look happy, did you finish,did you make money!
Swa: *me#hangamka ulitoa, iko na pesa!
O): mh, ina magan$i.
Eng: 3o, it doesn't ha+e money.
Swa: Hapana, haina pesa.
Fred: 2et me make a #all bwana.
Eng: 2et me make a #all buddy.
Swa: "a#ha nipige simu bwana.
O): Haina madoo, ukweli, usipige, $ust please don't #all.
Eng: .t doesn't ha+e money, don't #all, please don't #all.
Swa: Haina pesa, usipige, tafadhali usipige.
Fred: &i, hi umebuy leo nini hakuna ata mtu amekugotea, alarm .. yaani umeweka
alarm ya kukula.
Eng: Hey, ha+e you bought it today then, no one is #alling you, .. alarm, you ha+e set
an alarm for eating.
>
Swa: &la, kwani umenunua leo, hakuna mtu amekupigia,,,, alarm % umeseti alarm ya
kula.
Fred: Ha..ha ki$ana akisikia ubao, anasikia simu ina+ibrate, poa, :a#ha kuwa na n$aa ya
upu(i; %hhehehe anaweka alarm saa saba hahahahha.
Eng: Ha..ha.. when this guy is hungry, his phone +ibrates, :stop being an food idiot;,
this guy has set a one o'#lo#k alarm.
Swa: Ha.ha.. ki$ana akihisi n$aa, simu unalia, : wa#ha n$aa (a kipu(i; huyu $amaa
anaseti alarm ya saa saba.
O): :"e pia ni kanugu fulani;, ?rrr%%n$aaa n$aaaa%.. dish iko home, %%ni sa+e
na nare.
Eng: : ,ou are an idiot;, drrrrr%. .s there food at home%%. Help me with a lighter.
Swa: :"ewe ni m$inga;%drrrrr kuna #hakula nyumbani%% nisaidie na kibiriti.
O/: Hi masaa unsikia n$aa n$aa%%%%%% @as $ana ulienda tao.
Eng: 3ow you are hungry%%. @as did you go to town yesterday.
Swa: *nahisi n$aa saa hi(i%.. @as ulienda m$ini $ana.
Fred: Hi uli#hukuwa mapinga! Flat flat! i mpaka after siku mbili do unione na simu
sasa.
Eng: How mu#h did you pay for this! ,ou will see me with a phone after two days.
Swa: Hi ulinunua pesa ngapi! % mutaniona na simu baada ya siku mbili.
O): 9a mbulu ka o#hoge bado kako tu kwa hao, mmh mbulu ka ako ndo hauona
nako #up of nations
Eng: o#hoges' girlfriend is still at the house, mmh, he wat#hes the #up of nations
with her.
Swa: #humba wa o#hoge bado yuko kwa nyumba, yeye huona mpira wa &fri#a
naye.
O): "e uko$ob gani sasa!
Eng: "hat is your $ob now!
Swa: 9a(i gani unafanya sasa hi+i!
Fred: "e usi$ali.
Eng: ?on't you worry.
Swa: "ewe usi$ali.
O): *nare#ord, re#ord watu, hio ni kutumiwa.
Eng: ,ou are re#ording people. That is using people.
Swa: *na#hukuwa watu, hiyo ni kutumia watu.
Fred: a5i ni don, huyu $amaa kwa hukua wamemyunya wote, si$ui kwa nini.
Eng: a5i is a don, that guy is feared by e+eryone and . don't know why.
Swa: a5i ni mkubwa, watu wote wanamuogopa, si$ui kwanini.
A
O): 3a0ani ndo kama ame#hukua tabia (a mbuyu.
Eng: That one has taken after his dad.
Swa: 3a yule ame#hukuwa tabia (a baba.
Fred: &lafu un$ua kitu inafanya wanamnyunya (aidi, iyo kutulia.
Eng: ,ou know what makes them fear him more, is the way he is quiet.
Swa: Halafu un$ua kitu kina#homfanya kuogopwa (aidi, ni +ile ana+onyama(a.
B

You might also like