You are on page 1of 3

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII



TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI DHIDI
YA UGONJWA WA EBOLA
Mnamo mwezi wa Machi 2014 Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ilipokea
taarifa kutoka Shirika la Afya Duniani W!"# kuhusu u$on%wa wa &'ola
katika nchi za Afrika Ma$hari'i am'ao ulianzia katika ya (uinea na
kusam'aa katika nchi za Siera )eone* )i'eria na +i$eria, !a-i tarehe .1
Julai* 2014 i-a-i ya wa$on%wa ilikuwa 1.2. na /ifo 021,
U$on%wa wa &'ola husa'a'ishwa na /irusi /ya &'ola, Dalili zake ni homa
kali ya $hafla* kule$ea mwili* maumi/u ya misuli* kuuma kichwa* na
/i-on-a kooni, Mara nyin$i -alili hizo hufuatiwa na kutapika* kuharisha*
/ipele /ya n$ozi* fi$o na ini kushin-wa kufanya kazi na kwa 'aa-hi ya
wa$on%wa kutokwa -amu n-ani na n%e mwilini, 2ipin-i cha kuonekana kwa
-alili za u$on%wa ni kati ya siku 2 ha-i 21 'aa-a ya kupata maam'ukizi,
U$on%wa wa &'ola unaam'ukiza kwa kasi na unaenea kati ya mtu na mtu
kwa3
o ku$usa -amu na ma%ima%i kutoka mwilini mwa mtu aliyeam'ukizwa
u$on%wa huo
o ku$usa maiti wakati ya mtu aliyekufa kwa u$on%wa huu,
o ku$usa wanyama walioam'ukizwa Mizo$a na wazima kama /ile
sokwe na swala wa msitu,
Ai-ha U$on%wa wa &'ola hauna ti'a wala chan%o.
1
Hadi sasa hapa nchini Tanzania hakuna mgn!"a ##$% a&i#%hisi"a
au ku$hi'i$ish"a ku"a (i)usi (#a *'&a.
Wizara ya Afya na ustawi wa Jamii imean-aa mikakati ya kuzuia u$o%nwa
huu usiin$ie hapa nchini na ikiwa utaiin$ia uweze ku-hi'itiwa ka'la
hau%asam'aa, Mikakati hiyo ni pamo%a na3
o 2uun-a kikosi kazi 4ask 5orce# kinachohusisha wa%um'e
m'alim'ali wakiwemo wa-au wa maen-eleo ikiwa ni pamo%a na
W!"* U+67&5* USA6D na 7D7 kwa a%ili ya kuweka mikakati ya
kuka'iliana na u$on%wa huu ikwa ni pamo%a na kusimamia
utekeleza%i wa mpan$o wa -harura wa kuka'iliana na &'ola am'ao
tayari umean-aliwa,
o 2utoa taarifa ya taha-hari ya u$on%wa huu kupitia kwa Makati'u
4awala na Wa$an$a Wakuu wote wa Mikoa, Ai-ha taarifa hii pia
ime%umuisha namna m$on%wa ana/yoweza kutam'uliwa Ainisho la
U$on%wa#* 85act sheet9 ya u$on%wa* Mwon$ozo kwa watumishi wa
afya wa namna ya kuchukua sampuli* na na namna ya
kuwahu-umia wa$on%wa,
o 2u'oresha ufuatilia%i na utam'uzi wa u$on%wa katika maeneo ya
/iwan%a /ya n-e$e na mipakani ili kuweza ku'aini wasafiri
watakaoonyesha -alili za u$on%wa au wenye /iashiria hatari, ,
o Mion$ozo ya utoa%i elimu imean-aliwa ikiwemo :ipeperushi, Ai-ha
watalaamu wa Afya wanaen-elea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu
-alili za u$on%wa huu kupitia /yom'o m'alim'ali /ya ha'ari ili
en-apo u$on%wa huo ukitokea uweze kutolewa taarifa mapema
o :ifaa kin$a +,%)sna& ,)$%c$i(% G%a)s- /ipo /ya kutosha na
Wizara imeanza ku/isam'aza kutoka 'ohari za kan-a za MSD na
kuzipeleka kwenye /ituo /ya kutoa hu-uma za afya ili watumishi wa
afya waweze kutumia iwapo m$on%wa ata%itokeza, Ai-ha i-a-i
itaon$ezwa ka-iri ya mahita%i yataka/yo%itokeza,
2
o Wizara ime'ainisha /ituo /ya kutolea hu-uma kwa mikoa yote iwapo
en-apo u$on%wa huu utatokea hapa nchini, Ai-ha katika /ituo hi/i*
/ifaa kin$a pamo%a na ma-awa /imeshaan-aliwa,
o 2uwasiliana na wa-au m'alim'ali ikiwemo wa-au wa maen-eleo ili
kuweza kupata msaa-a wa mahita%i m'alim'ali kama
yali/yoainishwa kwenye mpan$o wa -harura wa kuka'liana na
&'ola ulioan-aliwa,
Hi$imish
Wananchi wanashauriwa kutokuwa na hofu ila kuen-elea kuchukua
taha-hari za ku%ikin$a na u$on%wa huu, Ugn!"a "a *'&a una"%za
kuzui&ika, +%ia kuu za ku%ikin$a na u$on%wa huu ni3;
o 2uepuka ku$usa au kuin$iwa na mate* -amu* mko%o* %asho* kinyesi*
machozi na ma%ima%i men$ine yanayotoka mwilini mwa mwenye
-alili za u$on%wa wa &'ola
o Wananchi wanataha-harishwa kuepuka kushu$hulikia maiti ya mtu
aliyekufa akiwa na -alili za &'ola< 'a-ala yake watoe taarifa kwa
uon$ozi wa kituo cha hu-uma za Afya kwa ushauri,
o Wananchi waepuke mila na -esturi zinazoweza kuchelewesha
kupata hu-uma muhimu na kuzi-i kueneza u$on%wa wa &'ola,
o =in$atia usafi wa mwili ta'ia na kiroho,
o 2utoa taarifa mapema kwa /ion$ozi wa Serikali na wa hu-uma za
Afya katika n$azi zote pale anapotokea mtu mwenye -alili za &'ola,
o 2uwahi katika /ituo /ya hu-uma za Afya pale mtu anapoona -alili
za u$on%wa huu,
Wizara itaen-elea kushirikiana na sekta m'alim'ali kuimarisha ufuatilia%i ili
ku-hi'iti u$on%wa huu usiin$ie nchini,
.ha)&%s A. ,a&&ang#
2ati'u Mkuu
/0 Augus1$ 2/03
3

You might also like