Professional Documents
Culture Documents
HABARIZA
ZA
NISHATI
NISHATI&MADINI
&MADINI
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Toleo
Toleo No.
No. 51
72
LimesambazwaLimesambazwa
kwa Taasisi nakwa
Idara
zotenaMEM
Taasisi
Idara zote MEM Tarehe
- 23-29 Januari , 2015
Juni 19-25, 2015
Wabunge
Somahabari Uk.2
Waziri wa Nishati
na Madini, Profesa
Sospeter Muhongo
HABARI ZA NISHATI/MADINI
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Msemaji wa Wizara, Badra Masoud (wa tatu kulia) akizungumza na wadau wa maendeleo wakiwemo Umoja wa
Ulaya (EU), Ubalozi wa Canada nchini, Benki ya Dunia (WB), Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) na
Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ). Kikao hicho kilikuwa mahususi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau hao
kwenye rasimu ya Mkakati wa Mawasiliano kwenye Sekta ya Mafuta na Gesi.
Sehemu ya wanajamii
wa mikoa ya Lindi na
Mtwara walioshiriki
mkutano ambao
ulilenga kujadili
Rasimu ya Mkakati
wa Mawasiliano
kitaifa katika sekta
ndogo ya Mafuta na
Gesi uliofanyika mjini
Mtwara hivi karibuni
NewsBulletin
HABARI ZA NISHATI/MADINI
http://www.mem.go.tz
Tahariri
Na Badra Masoud
Waziri umenena
mabadiliko
TIPER
apema wiki hii Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene alifanya ziara katika kampuni ya kuhifadhi mafuta ya
TIPPER ambayo serikali ni mbia kwa asil-
imia 50.
Katika ziara hiyo, Waziri Simbachawene aliambatana
na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava, Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo ya Petroli, James Andilile na Mwenyekiti wa Bodi ya TIPER, Profesa Abdukarim Mruma
Lengo la ziara hiyo lilikuwa ni kujionea maendeleo ya
kampuni hiyo, kuzungumza na uongozi na wafanyakazi
wa kampuni hiyo ili kubaini changamoto wanazokabiliana nazo katika utendaji wa majukumu yao na kuzitatua.
Akizungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo,
Simbachawene alisema serikali iko katika hatua za kujenga upya mifumo ya kiutendaji ya kampuni hiyo ili
kuongeza ufanisi ambao utawezesha kampuni hiyo kuchangia zaidi katika ukuaji wa uchumi wa nchi.
Alisema TIPER ina umuhimu mkubwa katika sekta
ya mafuta nchini, hivyo mabadiliko ni lazima kwa kuwa
hivi sasa serikali inahitaji kampuni hiyo kuliko wakati
mwingine wowote.
Mabadiliko makubwa ambayo yanatakiwa kufanywa
ikiwemo kuweka mikakati zaidi ili kuhakikisha kwamba
kampuni hiyo inazidi kulinufaisha taifa.
Serikali imeweka mikakati bora na mawazo mazuri
hususan katika kupitia upya mikataba ya kampuni hiyo
hali itakayopelekea mabadiliko makubwa na kuboresha
huduma zake.
Tunapongeza juhudi zinazofanywa na Serikali kuwataka wadau mbalimbali kuunga mkono juhudi za Serikali katika uboreshaji wa kampuni ya TIPER
Na Asteria Muhozya,
Dar es Salaam
TEL-2110490
FAX-2110389
MOB-0732999263
BODI YA UHARIRI
MHARIRI MKUU: Badra Masoud
MSANIFU: Essy Ogunde
WAANDISHI: Veronica Simba, Asteria Muhozya, Greyson
Mwase Teresia Mhagama, Mohamed Saif, Rhoda James
na Nuru Mwasampeta
FIVE
PILLARS OF
REFORMS
INCREASE EFFICIENCY
QUALITY DELIVERY
OF GOODS/SERVICE
SATISFACTION OF
THE CLIENT
SATISFACTION OF
BUSINESS PARTNERS
SATISFACTION OF
SHAREHOLDERS
HABARI ZA NISHATI/MADINI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mhandisi Edwin Ngonyani
akisaini kitabu cha wageni katika banda la Wizara ya Nishati na Madini katika maonesho
ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
Baadhi wa wananchi wakipata maelezo katika Banda la Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania
(TMAA) katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Mtaalam kutoka Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Rayson Nkya ( wa pili kutoka kulia) akitoa
maelezo kwa mwananchi aliyetembelea banda la Wizara katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi
wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Mtaalam kutoka Kitengo cha Mazingira, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ephraim Mushi
(kushoto) akielezea namna wizara inavyoshiriki katika shughuli za utunzaji wa mazingira
kwenye migodi kwa mwananchi aliyetembelea banda la Wizara katika Maonesho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Nishati na Madini
yangara Wiki ya
Utumishi wa Umma
Naye John Peter ambaye ni mkazi
wa Tegeta Salasala alisema kuwa kutokana na elimu aliyoipata katika
banda la Wizara, aliweza kufahamu
kwa kina jinsi shughuli mbalimbali za
utafutaji wa gesi zinavyofanyika na kuwataka wadau wengine kufika katika
banda hilo kujifunza.
HABARI ZA NISHATI/MADINI
u
Banda la Wizara ya
Nishati na Madini katika
monesho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma
yanayoendelea katika
viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es
Salaam. Maonesho
hayo yaliyoanza Juni
16, 2015 yanatarajiwa
kumalizika tarehe 23
Juni, 2015.
Banda la Wizara ya
Nishati na Madini
katika monesho ya
Wiki ya Utumishi
wa Umma
yanayoendelea
katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam.
Maonesho hayo
yaliyoanza Juni 16,
2015 yanatarajiwa
kumalizika tarehe 23
Juni, 2015.
u
Kaimu Katibu
Mkuu Ofisi ya RaisMenejimenti ya
Utumishi wa Umma,
HAB Mkwizu akisaini
kitabu cha wageni
katika banda la Wizara
ya Nishati na Madini
katika maonesho ya
Wiki ya Utumishi wa
Umma yanayoendelea
katika viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar
es Salaam.
u
Mtaalam kutoka
Wizara ya Nishati
na Madini Mhandisi
Rayson Nkya ( wapili
kutoka kulia) akitoa
maelezo kwa Kaimu
Katibu Mkuu Ofisi ya
Rais -Menejimenti ya
Utumishi wa Umma,
HAB Mkwizu mara
Kaimu Katibu Mkuu
huyo alipotembelea
banda la Wizara katika
maonesho ya Wiki ya
Utumishi wa Umma
yanayoendelea katika
viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es
Salaam.
HABARI ZA NISHATI/MADINI
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
Watalaam wa
Wakala wa
Jiolojia Tanzania
(GST) wakifanya
utafiti wa Jiolojia
katika ukanda
wa Dhahabu wa
Lupa(Lupa Gold
Field), wilayani
Chunya mkoani wa
Mbeya
NewsBulletin
HABARI ZA NISHATI/MADINI
http://www.mem.go.tz
http://www.mem.go.tz
STAMICO KUWEZESHA
WANAWAKE KUTOA
HUDUMA BORA KWA UMMA
Na Bibiana Ndumbaro,
Dar es Salaam
amesema, STAMICO inajitahidi kutoa nafasi za uongozi kwa wanawake wenye sifa
stahili, kuhakikisha usawa na
kuandaa mazingira wezeshi
na rafiki katika utendaji kazi
kwani watumishi wamekuwa
wakipewa mafunzo dhidi ya
vihatarishi katika mazingira
ya kazi.
Aidha, amesema Shirika
limepanua wigo katika kutoa huduma kwa Umma katika kuwasaidia wachimbaji
wadogo wanawake ambao
wameonesha uwezo wa kuendesha miradi. Shirika limekwisha watambua wachimbaji wanawake wasiopungua
saba katika mikoa ya Singida, Arusha na Geita ambao watapewa kipaumbele
katika upataji wa Ruzuku na
msaada wa kiteknolojia.
Kwa upande wa maonesho, amesema maonesho ya
mwaka huu yanazidi kuimarika na ameelezea utofauti
mkubwa kwani sasa washiriki wameongezeka pia mas-
oanzishwa ni Kyerwa Awamu ya Pili utakaosaidia kujenga Mtambo wa kuchenjulia madini ya Bati na pia kushirikisha wataalamu
katika mradi wa Rwamgasa ili kuwasaidia wachimbaji wadogo
kitaalamu.
Mhandisi Ngonyani alitumia nafasi hiyo kumshukuru Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
kwa kuiwezesha STAMICO kurudi katika nafasi kama ilivyokuwa
awali na kueleza kuwa, anayo imani na Rais ajaye kuwa ataendeleza yaliyoachwa na mtangulizi wake kwa kuhakikisha ushiriki wa
sekta binafsi na taasisi za umma katika uzalishaji mali ili kuyafanya
maeneo yote nchini kuwa ya uzalishaji na hatimaye kuongeza pato
la Taifa.
u
Kaimu Mkurugenzi wa
STAMICO Mhandisi Edwin
Ngonyani (kulia) akijibu
maswali ya mwananchi
katika maonesho ya Wiki
wa Utumishi wa Umma.
HABARI ZA NISHATI/MADINI
NewsBulletin
http://www.mem.go.tz
kjavik Geothermal (RG), Mikael nyuma katika nishati hii lakini sasa
Andren alieleza uzoefu wa kampuni tunataka kuwa mbele na kuhakikihiyo katika masuala ya Jotoardhi sha kuwa nishati hii inakuwa moja
huku akieleza namna nchi ya Island ya vyazo vikubwa vya kutupatia
iliyopiga hatua na uzoefu wake ka- umeme.
tika nishati hiyo.
Kwa upande wake, Mkurugenzi
Si tu Island imeendelea kupi- Mtendaji wa Kampuni ya TGDC,
tia nishati hii, lakini pia wengi wa- Mhandisi Boniface Njombe alieleza
nafika kujifunza na kuona namna kuwa, kampuni hiyo imekubaliana
tunavyofanya kazi katika sekta hii. kukutana na wawekezaji hao kuzunTumeonesha mafanikio ya jotoar- gumza na kuona namna gani wadhi katika nchi ya Ethiopia, tuna naweza kufanya kazi pamoja.
uwezo, wataalamu katika masuala
Aidha, Mhandisi Njombe
ya Jiofizikia na Jiosayansi ikiwemo alieleza hatua kadhaa ambazo tayari
teknolojia ya juu, tunapenda kufanya zimekwisha kufanywa na kampuni
kazi pamoja na TGC kwa manufaa hiyo katika uendelezaji wa chanzo
ya Tanzania,
hicho Naibu
kipya Waziri
cha wa
nishati
Wananchialisema
wa kijijiAndren.
cha Sambaru wakimsikiliza
Nishatiikiwemo
na
Tunataka
jotoardhi
kuwa
chan- (hayupo
tafiti pichani)
mbalimbali
kubaini
maeneo
Madini (Madini),
Charles
Kitwanga
wakatiiliwa
ziara yake
ya
ukaguzikikubwa
wa shughuli
za uchimbaji
kijijini
hapo. vya jotoardhi nchini.
zo kingine
cha
umeme madini
yenye
viashiria
Kwa wadau wa sekta za Nishati na Madini, tembelea kurasa mpya za Wizara kwenye Mitandao
ya Kijamii ya Twitter na Facebook kwa anuani ya Nishati na Madini Karibu tuhabarishane na
tujadili kuhusu sekta za Nishati na Madini kwa maendeleo ya Watanzania wote.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini