You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

Simu: 255 22 2460735/2460706


FAKSI: 255 22 2460735/2460700
Barua pepe: met@meteo.go.tz
Tovuti: www.meteo.go.tz
Unapojibu tafadhali nakili:
Kumb. Na.: TMA/1622

S.L.P. 3056
DAR ES SALAAM

12 Septemba, 2015.

Taarifa kwa umma: Upepo mkali unaoambatana na mawimbi makubwa


unatarajiwa katika maeneo ya mwambao wote wa Pwani.
Taarifa Na.
Muda wa Kutolewa
Saa za Afrika Mashariki
Daraja la Taarifa:
Kuanzia:
Tarehe
Mpaka:
Tarehe

201509-01
Saa 6:00 Mchana
Tahadhari
13 Septemba, 2015
15 Septemba, 2015

Aina ya Tukio Linalotarajiwa

Hali ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa (hadi


kilomita 50 kwa saa katika baadhi ya nyakati) pamoja na
mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 (hadi mita 3.0 katika
baadhi ya nyakati) inatarajiwa katika ukanda wote wa pwani.

Kiwango cha uhakika:

Juu: (80%)

Maeneo yatakayoathirika

Maelezo:

Angalizo:
Maelezo ya Ziada

Mwambao wa bahari ya Hindi katika mikoa ya Tanga, Dar es


Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja
na Pemba.
Hali hii inatokana na kuimarika kwa mgandamizo mkubwa wa
hewa katika eneo la Kusini-magharibi mwa bahari ya Hindi na
hivyo kusababisha upepo mkali wa Kusi katika pwani ya Afrika
Mashariki.
Mamlaka zinazohusika na maafa, watumiaji wa bahari na
wakazi wa maeneo yaliyotajwa wanashauriwa kuchukua
tahadhari.
Mamlaka ya Hali ya Hewa inaendelea kufuatilia hali hii na
itatoa mrejeo pale itakapobidi.

Imetolewa na
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania.

You might also like