You are on page 1of 5

Appendix One Comments from Mwananchi readers of the articleDk Slaa ampiga chenga JK msibani akwepa kukaa jukwaa

kuu, wengi wamzika regia 1. In my opinion I think Dr Slaa has shown an immense level of immaturity. The whole occasion was about to bring the nation together in respect of the deceased. Dr Slaa was supposed to show respect to the deceased but instead he behaves like spoilt child. I 'll say 2 words to him "GROW UP" and stop yourself centered attitude. DEGRADE HIM 2. Mi sijawaelewa mnamaasha nini ,hakuna matatizo yanayowakabilia wananchi wa eneo hilo .hiyo ilikuwa ni fursa pekee mjifunnze badala yake mnaleta habari nusu nusu toeni habari za kueleweka mi siwaelewi mna maanisha nini hakuna matatizo mliyojifunza yanawakabili wakazi wa eneo hilo ambapo ingekuwa ni wakati wa kuujulisha umma .msilete habari nusu nusu hapa. Criticize 3. Asingeweza kukaa na mwizi wa kura!! CONFLICT 4. Hivi huyu mwandishi alikua ana maana gani sijaelewa kwanini ana sema alimkwepa Kwanza mwandishi anasema ilikuwa nyumbani ambako Dr. Slaa aliamua kujichanganya na wabunge badala ya kukaa sehemu ya watu maalum, hata hivyo JK hakuwepo. Mara ya pili ni baada ya kwenda uwanjani pia Dr. hakukaa sehemu maalum na JK hakuwepo vile vile. Ukiisoma kwa undani habari hii utagundua kuwa imeandikwa kiudaku sana! Naliheshimu sana gazeti la Mwananchi lakini naona sasa linazidi kupoteza Credibility kadri siku zinavyozidi kwenda. Kama hata rais hakuwa jukwaani ni nani alimkwepa mwenzie? Mwananchi jirekebisheni kabla hamjaharibika zaidi! Criticize 5. Mm nilikuwepo kwenye mazishi jana hakukua na kiti kilichobaki wazi upande wa viongozi wakuu,mwananchi ni gazeti linalopendwa na watu ila mnaelekea gazeti hili kua la kidaku Criticize 6. Kweli mwananchi habari mlotoa ni kutaka kui[NENO BAYA]za chadema na ccm nampongeza mh slaa kwa kutambua na kujua kinachoendelea kati yake na rais ndio akamkwepa nawapa pole sana wana chadema na tanzania kwa ujumla 7. Hii inadhihirisha kuwa Dr Slaa ni mpinzani wa kweli na hapendi utawala/kuwepo kwa kikwete madarakani. Ni mpizani wa kweli si wa kupandikizwa. Utamchekea vp adui wako wakati hataki kubadili mwenendo wa uwadui wake kwa familia yako.PRAISE TO SLAA 8. Sisi watanzania tuna akili ndogo sana. Hivi mtu asipoketi jukwaa kuu ndo kusema anamwogopa mwingine? Kwani Baba Ridhiwan anang'ata hata Dr. amwogope? Yamkini Dr. aliona asijikweze kihivyo, bali aamue kukaa mbali. Au kama angeketi pale yamkini waombolezaji wangeanza kushangilia na kusahau kuwa wako msibani. Tatizo la wabongo tunapenda vyombo vya habari vitusaidie kufikiri. Hii tabia siipendi na nailaani. Kila wanachosema waandishi wa habari ni lazima kiwe cha ukweli? Ndo maana tumekuwa tunasema "Tumezoea" Huu ni ugonjwa wa kitaifa.TUBADILIKE CRITICSM

9. Dr slaa sio mbaya sana,kama kweli unauchungu na nchi yako usikae nao karibu wale unaohisi hawana uchungu na nchi yaoPRAISE 10. Mimk nadhani Dr.Slaa anafanya sahihi kuonyesha hisia zake waziwazi badala ya kuwa mnafiki,Mpinzan i ni mpinzani hususani mtu ambaye walicchuana nae katika Kushika Dola. PRAISE 11. Shida, Slaa sio mnafiki na anaonyesha dhamiri yake ya kusimamia Ukweli na haki mpaka kufa,Tuache unafiki hakuna wakati wa kusimamia ukweli na wa kusimamia uongo hembu wengine tutoe coment zenye mantic kwasababu kunakila dalili ya kumsifia marehemu hata kama alikuwa mbayaa, Slaa kwenye majonzi na kwenye raha anasimamia ukweli na haki hakuona sababu ya kuuhadaa umma kwa kujifanya mshirika kwa anyewasababishi a mateso na hali ngumu ya kimaisha.Tufike wakati sasa ukweli utawale na tuchangie kama watu wenye uwezo wa kutambua watu na mambo.Baada ya Nyerere na sokoine Tanzania Hatuna kiongozi Mzuri kama Slaa the time will come to realise that but it will be too late to do!and history will judge us what a shame we wll be hata kamatutakuwa makaburini.Slaa ana Hofu ya kweli kwa Mungu ningemshangaa sana kama ningemuona eti kwasababu tuu ya msiba anakuwa ndumilakuwili.He lives what he say and he walk what he talks. PRAISE 12. Ni haki ya kila binadamu kuchagua marafiki zake japo hatuna uhuru wa kuwachagua maadui zetu. sasa Dr (wa kweli) ni mtu wa watu na aliamua kuchanganyika na watu. angalienda kumsalimia huyu dr.(?) kama nani kwake?. jadilianeni siasa au uchwara wowote mnaotaka lakini jaribuni kuheshimu uhuru wa mtu wa kuchagua. 13. Slaa anaona aibu kwa makele yake na domo lake kubwa la kishenzi kutukana watu kila siku.CRITISE SLAA 14. Pia simuelewi alikuwa Padri gani mwenye kinyongo na watu. Kwani Mheshimiwa Kikwete ndiye aliye sababisha yeye kupigiwa kura chache na watu wake? Hapo ndipo sasa mjue Watanzania, mkipa Uraisi Slaa mtaona watu watakavyo nyongwa na kuchinjwa maana ana hasira ya kulipiza visasi au kuua hana jingine, He is a mass marderer and nothing else SLAA MBAYA 15. Muongopeni Slaa kama ukoma nawambieni. Ana roho mbaya mno.SLAA MBAYA 16. Sasa ninyi waandishi wa habari mnaangalia nani kamsalimia nani? KOSOA GAZETI 17. Dr Slaa yupo sahihi, hata ingekuwa mimi ningemkwepa kuepuka shari CHEDEMA malizeni mgogoro, tunawategemea kututetea sana maana tunaelekea kubaya APONGEZWA 18. Jamani,wakati wa huzuni ni muda wa kuuheshimu sana,Kwanini mambo ya malumbano yaendelee kupata nafasi? tumuenzi Regia kwa mema alotenda. KOSOA GAZETI

19. Napenda sana kusoma gazeti la mwananchi. Binafsi napenda kujua zaidi habari zilizoandikwa na magazeti mengi ya tarehe 19 january 2012 kuhusu Dr,slaa amkwepa Rais wa nchi,nasikitika kusoma taarifa hii. Ndugu mhariri habari hii inatufundisha nini,kwanini waandishi wengi hakupenda kujua zaidi kwanini Dr slaa hakupenda kuonana na Rais wa nchi.ila wako tayari kuandika Slaa amkwepa kikwete, Wakati huo Rais kikwete pia hakuwepo jukwaani nani kamkwepa mwenzake Wazo napenda kushauri kam kuna tatizo liwekwe mezani na kujadiliwa kumfuta Dr slaa kujua undani wa habari zaidi Wanchi wanaka kufahamu zaidi 20. Nafikiri hii habari kuhusu Dr. Slaa na Kikwete imekaa kiudaku zaidi kwani katika kukaa huwa kuna mpangilio maalum na kuwa watu hawajikalii jinsi watakavyo. Mwananchi kama gazeti linaloheshimika nchini kote ni vyema mkajiepusha na habari za kiudaku kama hiiUDAKU

21. Hawa waandishi wa habari,nadhani wanakosa maadili,huu si uchochezi wa wazi wazi kabisa?i don't buy this idea KOSAO GAZETI 22. Jamani Mwananchi hivi Msiba wa Regia imekuwa sehemu yakuelezea tofauti za wanasiasa, kwa hili mmepotoka, Ningetegemea kuona mazuri aliyo yatenda Regia wakati wa Uhai wake na hasa yanayogusa maslahi ya Nchi yetu. lkn mara JK. hajakutana na Slaa au Mgogoro wa CHADEMA wa hao vingozi unatufundisha nini sisi wasomaji? Aksante...!KOSOA GAZETI 23. Nianze na suala la Dkt. W. Slaa kumkwepa Mheshimiwa Rais. Ukweli hali hii inaonesha ni kwa kiasi gani hawa wanasiasa na viongozi wetu wasivyokuwa na hali ya kiuongozi ndani yao. Kiongozi mzuri hataki makuu, kiongozi mzuri hajengi finina, kiongozi mzuri ni mcheshi na huwafanya hata maadui kubadili misimamo yao. Kwa mtindo huu Watanzania hatuwezi kuwa wamoja maana tayari itikadi zetu zinaanza kuchukua hali ya utu wetu na kutugawa katika matabaka. Viongozi hawa wanaonesha wazi kuwa hawana uwezo wa kuongoza ila wapo kwa ajili ya maslahi yao tu, na wanaposhindwa kuyafikia matarajio yao basi hawako tayari kukubali matokeo, hii ni mbaya sana. Sisi hatupo kwa ajili ya vyama vyetu vya siasa bali ni vyama vya siasa ndivyo vilivyopo kwa ajili yetu. Hivyo tusitoke kwenye lengo mahususi la kuwa na vyama vya siasa tukaanza kufuata matakwa yetu binafsi. Nanyi viongozi badilikeni ili mtufae, maana chuki zenu zimewaambukiza watu wengine nao bila kufikiri wanakosana bila sababu maalum. Watanzania tuwe macho tusikubali kuwapa watu wasio wastaarabu nafasi ya kutuongoza kisa wana maneno matamu ya ulaghai. Mungu awaponye UPANDE WA SLAA 24. Siasa tu. Mwananchi angalia msifikie kwenye hadhi ya magazeti ya UDAKU. OASOA GAZETI

25. Naona kwa upande wa slaa kumpiga chenga mkuu wa nchi sio kitu kizuri kwani inaleta picha mbaya kwa watanzania.Kama tu hutaki kumsalimia sasa je ukipewa utraisi si utawasweka ndani hata marafiki zake. Jaribu kuonesha picha ambayo watanzania watakA..SLAA AKOSOLOWA 26. R.I.P our beloved though our everlasting father loved you much , amen 27. Slaa muungwana hanuni shavu, inaonekana wewe ndio hata utumishi wa mungu ulikushinda. Sasa huku ulikokimbilia ktk siasa ndo kabisa huwezi nakushauri utafute kazi nyingine. Siasa uwachie watoto hao akina Mbowe watakuja kuwa warithi wazuri baadaye. Uhasama wote wa CCM na CDM unauchochea ww. KOSOLEWA 28. MH WA CHAMA PINZANI ANAMUOGOPA JKCRICISM 29. Mungu amlaze mahali pema regia mtema amen 30. Huyu slaa uzee unamvaa vibaya, hata kwenye msiba unaendeleza uadui,hiyo ni akilio au matope? Eti huyu ndio mtu aliyekuwa anataka ridhaa ya watanzania kuongoza nchi,kwa nini asiige ustaarabu wa Mbowe au Zitto(nasema kuiga maana hawezi kuwa mstaarabu). Kama bado ana ndoto za kuwa rais atakufa na ndoto hizo za mavi. Sijawahi kuona kiongozi mnafiki,mwenye roho mbaya,mkatili,m babe,mwenye uchu wa madaraka na muhuni kama huyu mzee. Slaa na huyo baamedi wake wataishia kwenye hizi siasa za majitaka..KAKOSOLEA SLAA 31. Huyu anaonesha sifa za kuwa mbinafsi na chuki zisizo na maana, hata kama umeibiwa kura kiongozi hutakiwa kukubali yaliyotokea ili kujipanga upya na kuandaa mazingira ambayo jamii inaweza kubali kuwa alidhulumiwa na hivyo kueka mambo sawa kwa muhula ujao ila ubinafsi kama hukosa nafasi na silaa hatoshinda kura milele huwezi kuwa kiongozi wa namna hii Seif Shariff ameanza kushinda na kuibiwa tangu mwaka 1985 aliposhindana na idrisaa abdulwakil ndani ya ccm wakamuibia kura akaendelea kushinda tena 1995-hadi 2010 pia ameibiwa, alikuja mwinyi na mkapa kapa kushindikiza atangazwe shein lakini Seif Shariff amekuwa akianzisha mijadala ya mazungumzo kila baada ya kuibiwa na kushiriki bila kinyongo, sasa silahaa yeye hata hakuna ushahidi kuwa alishinda ananuna kisenge halafu anatoa [NENO BAYA], manake anakubali posho za serikali hiyo hiyo anayoinunia,,,, KAma ananuna basi mawili afanye AINGIE MSITUNI AU AHAME NCHI TUONE AMENUNA,,,,LAKI NI ANANUNA KISENGE BWANA,,,,hawezi shinda hata siku moja [NENO BAYA] huyu.(AKOSOLEWA)

32. Ni vema wanasiasa mkamaliza hyo mgogoro yenu mapema kabla ya 2015 il kuweza kuleta mshikamano ktk vyama venu USHAURI 33. Msimamo wa Dr.slaa unanipa changamoto kubwa sana kimaisha, pia napenda kuwasii watanzania wenzangu kufanya kazi kwa bidii ili kulijenga taifa letu,tusiipe siasa kipaumbele sana 34. Anayemkimbia mwenzie ni yupi? Tafakarini kwanza na mtaona ya kuwa Dr. Slaa hana wajibu wa kujipendekeza kwa JK hata Jk aweza kumjua hali kwanza............ 35. Na ninyi Mwananchi acheni uchochezi mnaheshimika sana musijiharibie. Kwani lazima Dk Slaa akae jirani na rais? Hata kama basi eneo hilo ilipaswa akae mwenyekiti mbowe na dk slaa. Mnaanza kutafutiza habari za bifu tu bila sababu. Na muwe mnatoa maoni ya wote au kuna watu special tu?KOSOA GAZETI 36. Binafsi nilitarajia mngeeleza jinsi Mazishi yalivyoenda..,kuanzia mapokezi..,suala la mvua..na vitu vingine muhimu..,Suala la Dr Slaa kumkimbia JK sidhani kama hapa ni Mahala sahihi pake..,by the way Mwananchi mmepotoka katika hili..WAKOSOLEWA 37. Mmmmmm Kama ni kweli then, nadhani ni vema Dr. Slaa akamsamehe huyu bwana. Naona JK nchi imemshinda kabakia kuwa bingwa wa kuhudhuria misiba.MATUSI 38. Slaa sio mwanasiasa. Style zake hazifai tanzania. Inabisi awaige wenzake kama zitto kabwe na mbowe. AKOSOLEWA SLAA 39. Hawa waandishi juma mtanda na shakila kweli nyinyi ni vichekesho hapa cha kujiuliza kati ya slaa na raisi nani anashida ya kumuona mwenzake,slaa ni mtu mdogo sana kwa rais mnakuza jambo halina kichwa wala miguu kweli gazeti la mwananchi linazidi kupoteza muelekeo na mvuto halina tofauti na magazeti ya udaku hii habari ni u[NENO BAYA] mtupu. AKOSOLEWA GAZETI 40. Badala ya ku ripoti safari ya mwisho ya mtema unaleta habari za akina slaa na JK amabzo tumechoka kusikia.AGENDA.. Ipi ni habari kuu hapa. Ni "mchanganyo tupu"

You might also like