You are on page 1of 1

Uhai Tanzania

Ending Maternal
Deaths in Tanzania
Date: 1-2 July 2017,
Time: 0700-1159pm
Venue: Landmark hotel, Dar
Presenters
Dr. Chris Mauki [PhD],

Reuben Ndimbo [DUCE]

Deo Nshekanabo, Mkurugenzi Mtendaji Uhai Tanzania

Kiingilio: Tsh.10,000/= ada hii iatakupa faida za kuwa Balozi au Rafiki Bora
kulingana na chaguo lako kwa miaka 10. Soma faida za kuwa Balozi

Fursa: Ufadhili maalum elimu, kupewa semina za mafunzo bure, Bima ya


Afya, kuingia Tamasha la Mama Kwanza Bure, usafiri kwenda kupewa
Vyeti, na mengine. Wanatakiwa washiriki 710

Jiandikishe: Tuma SMS Jina lako kwenda 0714418190 [Uhai Tanzania;


Mayela Lasi 0683561862; Ombeni Utembele 0744525792; Masoud
Hemed 0778665042

[kiingilio ni kimoja tu Tsh 10,000/= kwa semina za siku zote 3], Soda
bure; Bali chakula utajitegemea]

Vigezo. Semina hii itafanyika kama idadi inayotakiwa itafikiwa.

You might also like