You are on page 1of 6

Maudhuiyautenganoukizingatianadhariayauhalisia.

Utangulizi.
Maudhuihurejeleayaliyomokatikakazi Fulani yafasihi au
jumlayamasualayanayozungumziwanamwandishi au
mtunzikatikakaziyakeyakifasihi.Baadhi yay a
wahakikihuyachukuamaudhuikamamawazoyakijumlayamwandishi.Maudhuinimadambali
mbalianazojishughulishanazomwandishi.Riwayayautenganoniriwayaambayoimejikitakati
kakujadilimaudhuimbalimbalikwamapananamarefu.Maudhuikatikariwayayautenganohuc
hangiwanawahusika wake
kwaniwaondiowajenziwamaudhuimbalimbali.Riwayayautenganoimezungumziamasuala
mbalimbaliyanayoikabilijumuiyayamwandishi.BaadhiyamaudhuikatikariwayayaUtengan
onikamaUtengano,Visasi,Ufisadi,Uhurunanafasiyamwanamkekatikajamii,Ukahaba,Ukolo
ni-mambo leo,UnafikinaDhulumadhidiyawanawake.

Nadhariayauhalisianimsomajikuvaasura,matendonatabiazamhusikamkuunawasaidiziwake
.Mudhuiyautenganoukizingatianadhariauhalisiabasinikuangaziamaudhuihayoukijiwekaka
tikahalizamhusikamkuunawasaidiziwake.Maudhuinikamayafuatayo.

MaudhuiyariwayayaUtengano.

Utengano.
MaudhuiyaUtenganoyamefafanuliwasanakatikasehemunyingizariwayayenyewe.Utengan
ounajitokezakatikasurambalimbali.Kunautenganowakifamiliaunaoshuhudiwakatikafamili
ayaBw.Maksudi.Kiini cha
utenganohuunimaovuyanayosababishwanaBw.Maksudimwenyewe.Maksudianatenganish
wanamwanaweMussakupitiakisasi cha
Bi.Farashuu.HiinikwasababuMaksudialikuwaamemtendeaukatiliMwanasururu,mwanawe
Farashuu.AidhaunafikiwamaksudiunasababishamvuruganokatiyakenabintiyeMaimunana
mkeweTamima.UovuwaMaksudipiaunfanyayeyekutengananandunguyeInspektaFadhili.Pi
atunapatautenganowakijinsia.Jamiiinaonyeshamapendeleokwajinsiayakiumenakutengajin
siayakike.Hlihiiimesababishautenganokatiyawanaumenawanawake.Wanaumehupewanafa
si bora
katikajamiihukuwanawakewakiachiwakazizakinyumbani.Utenganowakitabakapiainaonek
anakatikariwayahii.Kunayopengokubwakatiyamatajirinamaskinikatikajamiihusika.Mataji
rihuishikatikamajengokubwahukumaskiniwakijilazakatikavibanda.Uhusianokatiyamaskin
inamatajiriumejaaunafikinausaliti.Matabakayamatajirihuhusishwakatikauongoziambaohu
wapafursayakuwakandamizamaskini.Hivyobasikunahajayakuwanaumojakatikawanajamii
,katikamataifayaliyojikomboakutokananaukoloni.Utenganounadidimizajuhudizakujengaj
amiimpya.

Kisasi.
Maudhuiyakisasiyanabainikakatikariwayahii.Mtindowakulipakosakwakosaummendelezw
asananamwandishiwariwayahii.Whusikawengiwanaonekanawakilipizakisasiwanapokose
wa.Maudhuiyakisasindiyoyanayozingiramgogoromkuukatikariwayahii.Kunakisasibainay
aMaksudinaFarashuu.FarashuuanakisasinaMaksudikwa vile
Maksudianamtesanakusababishakifo cha
mwanaweMwanasururu,kwasababuhiiFarashuuanaamuakulipizakisasikwaMaksudi.Kwan
za,anamfumanizaMussanaMaksudikwakeKazija.PilianamtoroshaMaimunahukoPumzikoa
kaharibikenamnamwanaweMwanasururualivyoharibikiahukoBobeabaadayakutalakiwana
kufisidiwanaMaksudi.MpangohuuunafanikishwanaBitiKocho,mtumishiwaMaksudi.Kisas
ikinginekinaonekanakatikamkutanowakisiasakatikauwanjawaUhuru.Hikinikisasi cha
Ummanaviongoziwanafikinadhalimu,ZanganaMaksudi.Kazijaanapoudokezaunafiki,ukati
li,ufisadinaudhalimuwaMaksudinaZanga.Mudhuiyakisasiyanadhihirikatenariwayanikupiti
auhusianowaMaimunanaShoka.MaimunaanapomkataliaShokaombi lake la
kimapenzi.ShokaanamtumiaKijakaziilikumjaziaMaimunahisiazawivunapiaanachochea
vita
iliMaimunawapiganenaKijakazikisanamaanaanatakaionekanekuwaniyeyewanayempigani
a.Hivyobasisivizurikwawanyongekujikomboakwanjiayakulipizakisasikwanikisasiniitikad
iinayowezakuwapawanyongeuwezowakujikomboa.

Ufisadi.
Maudhuiyaufisadiyameendelezwakatikasurakadhaazariwayahii.Viongozinaasasizakitawal
akama vile idarayapolisi,ndiowanaoendelezaufisadi.Ufisadiunajitokeza pale
BitiKochoanapolazimishwanakaraniwaviwanjaamlipeshilingimiambilindiponaeamsaidiek
upatakiwanjaanachohitaji.InabidiBitiKochokuombamsaadawapesakutokakwamnyongem
wenzakeFarashuu.UfisadipiaunajitokezakatikauongoziwaBw.Maksudi.Akiwamkurungen
ziwashirika la Bima la
Taifa,Maksudianakulanjamanamzungummoja,Mr.Smith,kuliporashirikahili.Maksuudiana
kubalikumlipaSmith
fidiaasiyonahakiyakuipata.Katikanjamahii,Maksuudianakirikuwaatatumiapesakuwanyam
azishapolisiwasiifuatiliekesihiyo.Maksudipiaakiwakatikashirikahilianakabiliwanakesimb
ayayaufisadinanaonekanaakiombamsaadawandunguyeinspektaFadhiliamsaidiekudidimiz
akesihiyoiliisimharibiekrawakatiwauchaguzi.KatikamazungumzobainayaMaksuudinaInsp
ektaFadhilitunabainikuwapolisihuchukuahongo,Maksuudianasemahivi:
Hapondiponinapokuonamjinga.Wenzioaskarikamawewewanakulamirungura,weweninani
hasakukataa?.UfisadipiaunajitokezakatikamaelezoyamtaawaTweninamjiwaPumziko.Ma
maJenibaadhiyabidhaazakimagendoalizohodhikatikadukalake.Hiziamezifichakatikaduka
lake zisionekanenawaliokaribunaserikali.Ufisadi pale
umeelezwakamakikwazokinachodumazajuhudizaserikalinavyombovyahabarikuangamiza
biasharaharamu.Kunapiaufisadiunaotokananamatumizimabaya yay a
mamlaka.MaksuudianatumiacheochakekamamkuuwawilayakurithishambananyumbayaB
uheti,MwarabutajirihukoVia,baadayanchiyakekujikomboanapiatunammwonaakiuzasahihi
yakekamamkuuwawilayakwashilingimiambili.Ufisadibasiunastahilikukashifiwavikalikwa
maendeleomemayauongozikatikajamii.

Uhurunanafasiyamwanamkekatikajamii.
Licha ya kuwa ni jumuiya inayosimuliwa imeondosha minyororo ya utumwa na ukolni
bado mwanamke ni mtumwa wa utamaduni wa jamii yake.Jamii hii imejengeka katika
mfumo wa kuumeni ambao unampa mwanamume mamlaka zaidi kuliko
mwanamke.Wanawake katika riwaya hii wanaonekana kunyimwa uhuru wa
kibinafsi.Maksuudi anawatawisha bintiye Maimuna na mkewe Tamima,hawakurusiwa
kutoka nje wala kumruhusu yeyote kuingia huko bila idhini ya Maksuudi.Tamima
ananyimwa uhuru wa kuchagua mkunga atakayemzalisha na pia haki ya kujifungua
hospitalini.Tamima wanapokosana na Maksuudi hana haki ya kukataa talaka kisheria au
kiukoo.Suala la uhuru wa mwanamke ndilo linaloamua hadhi yake katika jamii.Ukosefu
wa uhuru unamfanya mwanamke kukosa elimu,kazi bora na haki katika jamii
anamoishi.Katika riwaya hii wanawake wanasawiriwa kama viumbe wasio na ukomavu
wa kiakil.Maimuna anapata uhuru wa kufanya atakavyo pale ambapo anatoroka kwao
nyumbani lakini uhuru anaopata Maimuna sio halisi kwani anapata uhuru
asiotarajia.Anaishi kuwa kahaba wa Mama jeni na Biti Sururu.Mwandishi anadhamiria
kuonyesha,mwanamke anaponyimwa uhuru kunamfanya kuwa mtegemezi na anpojipatia
uhuru huo anakuwa mhitaji na hii ndiyo sababu Kazija ,Maimuna,Dora,Kijakazi na
wengine wanakuwa makahaba.Wanawake wengine pia wanajipata wakifanya biashara
duni kamakuendesha madanguro,kuoka mandazi, na kupika pombe ya kienyeji huku
wanaume wakiwa vingozi,madaktari,madereva,wenye maduka makubwa.Selume
anateswa na mumewe huku Maksuudi akiwatesa wake zake.Hata hivyo tunawaona
wanawake wakipigania uhuru wao kama Kzija,Biti Kocho,Farashuu na Maimuna.Serikali
pia inaweza kusaidia katika ukombozi wa wanawake.Mwandishi anasema hivi: 'Serikali
itafanya kampeni kubwa kuwaelimisha wanawake vijijini....kunatakikana maendeleo ya
haraka vijijini na maendeleo ya wanawake ni maendeleo ya jamii nzima,ni ukombozi wa
jamii nzima.

Ukoloni mambo leo.


Ukoloni mambo leo ni kati ya maudhui yaliyorejelewa na mwandishi katika riwaya ya
utengano.Licha ya jamii kujitoa katika minyororo ya ukoloni viongozi fulani wanachukua
hatamu na kuendeleza ukoloni uleule wa mkoloni wa awali.Maksuudi anfuata mienendo
ya wakoloni ,anatumia cheo chake kunyanganya na kuwadhulumu wanyonge,baada ya
kuchaguliwa kuliongoza wilaya Maksuudi anarithi nyumba ya tajiri mmoja mwarabu.Ple
ambapo Maksuudi anawatawisha Maimuna na Tamima ni ishara ya ukoloni aliyokuwa
akitenda Maksuudi.Maksuudi akiwa mkurungezi wa shirika la bima la Taifa,anaonekana
akishirikiana na wazungu kulipora shirika hilo,anamlipa Mr.Smith fidia
asiyostahiki.Kwake nyumbani kwa Maksuudi anamiliki Samani mbalimbali kutoka nchi
za ulaya,jambo hili linachangia kudorora kwa uchumi wa nchi yake.Katika maelezo ya
Shoka pia tunapata ukoloni mambo leo,huu ni wakati Shoka anamshawishi Maimuna
kuyapokea malipo duni ili wafanye mapenzi,Shoka anatetea unyonge wake hivi:"wewe
unafikiria pesa tuzipatazo sisi wachukuzi au wakulima au wafanyakazi za sulubu ni pesa
za mchezo?Mkulima anachuwana na jembe,nguvu zake huishia wapi?
Umarekani,Ujerumani au Ujapani wao ndio wanaopanga bei za mazao yetu,na
wafanyakazi wa karakana wanafanyia nani kazi,ukitazama sana wanamfanyia mkoloni
mambo leo; nasi;wapangazi bandarani tunampakilia nani bidhaa una.. unafikiria?
Mabeberu bado,bado hatuna uhuru kamili,hatujaudhibiti uchumi".Hivyo basi mataifa
yaliyostawi yanazorotesha ukuaji wa uchumi wa mataifa yanayoendelea kama
Afrika.Ukoloni mambo leo pia unadhihirika katika biashara zinazoendeshwa huko
Pumziko,inavyobainika,mali nyingi ya magendo inaingizwa pale kutoka nchi za
nje.Hatimaye mtaa wa Toweni unaonekana kumilikiwa na matajiri kutoka nje.Hwa ndio
wanaingiza mali ya nje katika mji wa Pumziko.

Mabadiliko.
Maudhui ya mabadiliko yamechukua nafasi kubwa katika riwaya hii.Mabadiliko
yanadhihirika kaika familia ya Maksuudi iliyokuwa na mshikamano wa
kifamilia,Utengano wa kifamilia unashuhudiwa pale Mussa,Miamuna na mama yao
Tamima wote wanatenganishwa,kila mmoja kaienda njia zake.Maksuudi anaachwa na
kitoto kichanga kilichozaliwa usiku ule wa utengano lakini kinaaga dunia.
Ktika enzi za ukoloni,Maksuudi alikuwa mtetezi wa wanyonge na wapiginiaji wa
uhuru,hii pia ni maudhui ya mabadiliko.Lakini kujitolea kwake kulikuwa nia ya
kibinafsi.Nchi iliponyakua uhuru,aliaminiwa na kuteuliwa mkuu wa wilaya,hapo ndipo
udhalimu wake unadhihiri.Anabadilika na kuwa mkoloni-mamboleo,mkatili na kiongozi
asiyejali wanyonge katika jamii.Licha ya kudai ucha-mungu,Maksuudi anatenda kinyume
na dini na hata kuwa na wake nje ya ndoa.Badiliko la maisha ya Maksuudi
linamsababishia kufungwa jela miaka miwili.Hata hivyo mwandishi amedhihirisha
kwamba kinchoweza kudumu maishani ni mabadiliko tu.Inabidi Maksuudi
abadilike.Maisha ya mjini na ya hadhi anayaacha na kurudi shambani.Utengano
anaojenga baina yake na wanyonge anauziba.Anaonekana akitangamana na wafanyakazi
wake Mabruki na Haji.Anatimuliwa kwa kazi anayojivunia.Juu ya haya anajaribu kuziba
utengano anaousababisha nyumbani kwake.Afya yake pia inadhoofika licha ya kuwa mtu
mwenye afya nzuri.Maksuudi pia anapokonywa mali aliyowapokonya watu hapo
awali.Mwandishi anaonyesha namna mabadiliko yanavyoweza kuwarudi viongozi katika
jamii.
Mabadiliko pia yanadhihirika kupitia mhusika Mussa.Mussa alikuwa mkware na mlevi
lakini baaada ya kufumaniwa na babake anamakinika katika masoma yake ya chuo na
kufuzu na kuwa daktari.Pia anaona si haba na kufuta yaliyojiri baina yake na
babake.Maudhui ya mabadiliko pia yanajitokeza kwa uhusiano baina ya familia ya
Farashuu na familia yake Maksuudi.Ingawa Farashuu anaweka kisasi dhidi ya familia ya
Maksuudi,hata kuitnganisha,hatimaye ndoa ya Maimuna na Kabi inaondosha kisasi
chake.Farashuu anaonekana akiwajibika kama mpatanishi baina ya familia hizi
mbili.Hata anasaidia kupatana kwa Mussa,Tamima na Maimuna.
Mabadiliko yamedhihirishwa hata na Maimuna.Maimuna ni mtoto aliyelelewa akaelekea
kupitia kutawishwa ili asije akachafuliwa na ulimwengu,hata hivyo anatoroka utawa na
kuenda kujitafutia uhuru anaotamani.Utoro wake unamgeuza mhitaji huku akiwa
akiukimbia ukwasi mkubwa.Anaanza maisha ya ukahaba ambayo yanambadilisha hata
na urembo wake lakini hatimaye anaurudia ustaarabu wake pamoja na afya baada ya
kuolewa na Kabi.Maudhui ya mabadiliko yamechangia sana katika kuleta uhalisia katika
riwaya hii.Kupitia hali hii wahusika mbalimbali wamesawiriwa katika mabadiliko ama
kwa wema au uovu.Ni kupitia mabadiliko ambapo vingozi kama Maksuudi
wameonjeshwa maisha ya mafukara na wanyonge,aidha mabadiliko ndiyo matumaini ya
wanyonge kwamba hali zinazowadhalilisha haziwezi kudumu milele.Hili linawapa
hamasaisho na hamasa kuendelea kupigania hali bora maishani.Hii ndyo sababu ya
mwandishi kutochorea taswira ya upatanisho mwishoni mwa riwaya na kuondosha
Maksuudi,ambaye ni kielelezo cha udhalimu na kikwazo kwa ujenzi wa jamii mpya.

Ukahaba.

You might also like