You are on page 1of 1

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI


JESHI LA POLISI TANZANIA
____________

Ofisi ya Mapokezi,
Kikosi cha Matengenezo
ya Magari ya Polisi,
S.L.P 9141
DAR ES SALAAM

16/10/2019

CO T & L,
MAKAO MAKUU YA POLISI,
S.L.P. 9141,
DAR ES SALAAM.

YAH: TAARIFA YA MATENGENEZO YA MAGARI/PIKIPIKI KUANZIA TAREHE 01


OCTOBER - 15 OCTOBER, 2019.

Tafadhali rejea kichwa cha habari cha hapo juu.

Nakutumia taarifa ya nusu mwezi ya Magari na Pikipiki yaliyoingia, yaliyotoka na yaliyobaki


Karakana yakiwa yanaendelea na matengenezo katika section mbalimbali kama inavyoonesha
kwenye mchanganuo hapo chini.

S/N GARI/PIKIPIKI JUMLA


1 Magari yaliyoingia kwa matengenezo 94
2 Magari yaliyotengenezwa na kutoka 93
3 Magari yaliyobaki ili kuendelea na matengenezo 01

1 Pikipiki zilizoingia kwa matengenezo 03


2 Pikipiki zilizotengenezwa na kutoka 02
3 Pikipiki zilizobaki ili kuendelea na matengenezo 01

MAGARI/PIKIPIKI YALIYOBAKI KARAKANA KUENDELEA NA MATENGENEZO


S/N REG. NO TYPE DIVISION REMARKS
1 PT. 3374 MITSUBISH PHQ Engine over hall
2 PT. 2475 Honda twister Polisi railway Engine over hall

Ninaleta kwako kwa kumbukumbu za kiutendaji.

____________
JOSEPH V. MARO - SP
WORKSHOP MANAGER
KIKOSI CH MATENGENEZO YA MAGARI YA POLISI DSM

You might also like