Professional Documents
Culture Documents
MATOKEO YA UTEKELEZAJI WA
SERIKALI YA AWAMU YA TANO
(2015-2020) KATIKA SEKTA
MBALIMBALI
1. HALI YA UMASIKINI 1991-2020
Na Kiashiria Awamu ya Kwanza Awamu Pili Awamu ya Tatu Awamu ya Nne Awamu ya Tano
(1964-1985) (1985-1995) (1995- 2005) (2005- 2015) (2015- 2020)
01 Umasikini wa
mahitaji ya msingi Hakuna
taarifa
39 36 28 26.4
(Asilimia)
01 Kiwango cha
26.4 36.8 38.2 55.5 54.4 72.3
Umasikini
01
2. MABORESHO KWENYE SEKTA YA AFYA
Na. Shughuli Hali ilivyokuwa Hali ilivyo Ongezeko Ongezeko (%)
mpaka 2015 sasa 2020
Tangu mwaka 2015 hadi 2020 Serikali imetumia zaidi ya bilioni 232.1 kununua vifaa tiba
katika vituo vya ngazi mbalimbali kuanzia afya ya msingi hadi taifa
Kupungua kwa idadi ya wagonjwa wanaokwenda kutibiwa nje ya nchi kwa kipindi cha
mwaka 2015 - 2019 kumeiwezesha Serikali kuokoa jumla ya shilingi bilioni 329
02
3. MABORESHO KWENYE SEKTA YA ELIMU
03
Na. Eneo Hali ilivyokuwa Hali ilivyo Ongezeko Ongezeko
mpaka 2015 sasa 2020 (%)
Ukarabati wa mabweni, mabwalo na vyumba vya madarasa katika vyuo vya ualimu 18 kati ya vyuo 35 vya Serikali kwa shilingi bilioni 24.1,
Ujenzi wa jengo katika taasisi ya DIT lenye maabara 6, madarasa 9 na kumbi za mihadhara mbili (2) kwa shilingi bilioni 9.07
Ujenzi wa mabweni mapya 26 katika vyuo vikuu kama ifuatavyo: Mzumbe (4 yenye uwezo wa wanafunzi 1,024 kwa shilingi bilioni 6.5) UDSM
(mabweni 20 yenye uwezo wa wanafunzi 3,840 kwa takribani bilioni 10 na ukarabati wa mabweni Na. 2 na Na. 5 yenye uwezo wa wanafunzi
788 kwa shilingi 4.9; ARU (bweni moja lenye uwezo wa wanafunzi 372); na Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere bweni lenye uwezo
wa kuchukua wanafunzi 716 kwa shilingi bilioni 3.44. Vilevile, ujenzi wa kafteria yenye thamani ya Shilingi Milioni 700 kwenye mabweni mapya
04
ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo
4. MABORESHO KATIKA SEKTA YA MAJI
05
5. MABORESHO KATIKA SEKTA YA NISHATI
06
6. MABORESHO KWENYE SEKTA YA MAWASILIANO
Na. Shughuli
1 Ujenzi wa Mkongo wa Taifa umepunguza gharama za kupiga simu za mkononi kutoka shilingi 349 kwa
dakika mwaka 2010 hadi shilingi 70 kwa dakika mwaka 2020;
2 Matumizi ya mifumo mipya ya mawasiliano kama vile Mfumo wa Pamoja wa Ukusanyaji Kodi na Maduhuli
ya Serikali (Government Electronic Payment Gateway-GePG), TTMS (Teletraffic Monitoring System)
imewezesha kuongeza mapato ya Serikali kwa zaidi ya shilingi bilioni 100 hadi Januari 2020;
3 Ujenzi wa minara 704 kwa gharama ya shilingi bilioni 151.97 kumewezesha huduma za mawasiliano
kufikia wananchi kwa asilimia 94.
07
7. UJENZI WA BARABARA NA MADARAJA
08
8. MABORESHO KATIKA SEKTA YA MADINI
Na. Eneo Hali ilivyokuwa Hali ilivyo Ongezeko Ongezeko (%)
mpaka 2015 sasa 2020
Ongezeko la thamani ya mauzo ya dhahabu nje ya nchi limefanya madini hayo kuwa chanzo kikubwa
09 cha dola za kigeni
9. MASLAHI YA WATUMISHI
10
10. MWENENDO WA ULIPAJI MADENI 2015-2020
1 Watumishi 267
2 Wazabuni 519
3 Huduma 188
4 Wakandarasi 1,997
5 Mengineyo 172
Jumla 3,143
11
Wizara ya Fedha na Mipango
Mji wa Serikali - Mtumba
Mtaa wa Hazina
S.L.P 2802, 40468 Dodoma
Tanzania