You are on page 1of 1

E e B w ana N ipokee

By Sangu
    
   

  
        
 

     
  
 
 
         
   
Ee Bwa na Mu ngu ni po ke e ni po mbe le ya ko.
       
   
       
  
        


 
   
     
       
 
               
             
Ta za ma Ee Bwa na, ni me ku ja ni po ke e
             
           
            
             
        
  
    
       
    


         
Ni ya fa nye ma pe - nzi ya ko Ee Bwa na.
         
            
         
         
 

  
       
   
1. Ee Bwana wanijua ninapoketi/ wewe wanijua mimi ninaposimama.

2. Nitazunguka katika hema yako/ nikutolee sadaka ya shukrani.

3. Bwna ndiye nuru yangu na wokovu wangu/ nitamwogopa nani?

4. Mtukuzeni Bwana pamoja nami/ na tuliadhimishe jina lake pamoja.

You might also like