You are on page 1of 5

Our Vision

Kuwa kuku mwenye kuchaguliwa


katika masoko yetu yote

Our Values
Watu
Tunadumisha utamaduni wa mahala pa kazi ambao
unaweka kipaumbele ushiriki wa wafanyakazi, fursa
za ukuaji katika kazi, na hisia za pamoja za umiliki.

Wateja
Tunajenga mahusiano ya kudumu na wateja, kwa
kutoa ufumbuzi bora kwa njia ya ushirikiano

Ufanisi
Tunasimamia shughuli zetu na kuhakikisha zinakua
na ushindani katika soko, kwa kuzingatia gharama
za uzalishaji, bei kwa wateja, na kupunguza uharibifu

Afya
Tunazalisha bidhaa za kuku zenye afya/ubora kupitia
uzingatiaji madhubuti na wa viwango vya hali ya juu
wa usalama wa viumbe hai, ufuatiliaji na usalama wa
chakula
Ladha halisi
ya kuku
Our Vision
To be the Chicken of Choice in all
our markets

Our Values
People
We maintain a workplace culture that prioritizes
Staff engagement, opportunities for career growth
And a shared sense of ownership.

Customers
We build lasting customer relationships by delivering
The best solutions in a spirit of partnership

Efficiency
We manage our operations to be competitive, both
On cost of production and price to customer, and to
Minimize wastage.

Health
We produce healthy poultry products through strict
Adherence to the highest standards of bio-security,
Traceability and food safety
For the Real
Taste of chicken

You might also like