Professional Documents
Culture Documents
Kiwango (Tsh) Kutuma Pesa kwa Kutuma Pesa kwa Kutuma Pesa kwenda Kutoa Pesa kwa wakala/ATM Kutuma Pesa Benki
wateja waliosajiliwa wateja Wasiosajiliwa mitandao mingine
Kuanzia Hadi Ada ya M-Pesa Tozo ya serikali Jumla tozo zote Ada ya M-Pesa Tozo ya serikali Jumla tozo zote Ada ya M-Pesa Tozo ya serikali Jumla tozo zote Ada ya M-Pesa Tozo ya serikali Jumla tozo zote Ada ya M-Pesa Tozo ya serikali Jumla tozo zote
5,000 6,999 130 70 200 1,080 70 1,042 180 70 250 950 70 1,020 800 70 870
7,000 9,999 150 88 238 1,150 88 1,123 180 88 268 1,000 88 1,088 800 88 888
10,000 14,999 350 224 574 1,800 224 1,844 495 224 719 1,450 224 1,674 1,200 224 1,424
15,000 19,999 360 427 787 2,210 427 2,416 495 427 922 1,450 427 1,877 1,200 427 1,627
20,000 29,999 380 672 1,052 2,230 672 2,679 540 672 1,212 1,850 672 2,522 1,800 672 2,472
30,000 39,999 400 770 1,170 2,750 770 3,245 612 770 1,382 1,850 770 2,620 2,400 770 3,170
40,000 49,999 410 1,050 1,460 3,110 1,050 3,849 675 1,050 1,725 2,350 1,050 3,400 2,400 1,050 3,450
50,000 99,999 720 1,435 2,155 4,370 1,435 5,368 1,125 1,435 2,560 2,700 1,435 4,135 2,800 1,435 4,235
100,000 199,999 1,000 1,771 2,771 6,300 1,771 7,441 1,440 1,771 3,211 3,650 1,771 5,421 3,600 1,771 5,371
200,000 299,999 1,200 2,058 3,258 7,700 2,058 8,988 1,710 2,058 3,768 5,300 2,058 7,358 5,000 2,058 7,058
300,000 399,999 1,500 2,450 3,950 8,500 2,450 10,100 2,070 2,450 4,520 6,500 2,450 8,950 6,000 2,450 8,450
400,000 499,999 1,500 2,870 4,370 9,000 2,870 10,970 2,250 2,870 5,120 7,000 2,870 9,870 6,000 2,870 8,870
500,000 599,999 2,200 3,640 5,840 10,200 3,640 12,820 2,880 3,640 6,520 7,500 3,640 11,140 8,000 3,640 11,640
600,000 699,999 3,300 4,480 7,780 11,300 4,480 14,650 3,870 4,480 8,350 8,000 4,480 12,480 8,000 4,480 12,480
700,000 799,999 3,300 4,970 8,270 11,300 4,970 15,140 3,870 4,970 8,840 8,000 4,970 12,970 8,000 4,970 12,970
800,000 899,999 3,500 5,264 8,764 11,500 5,264 15,614 3,870 5,264 9,134 8,000 5,264 13,264 9,000 5,264 14,264
900,000 1,000,000 3,500 6,230 9,730 11,500 6,230 16,580 5,400 6,230 11,630 8,000 6,230 14,230 9,000 6,230 15,230
1,000,001 3,000,000 5,000 6,580 11,580 11,500 6,580 16,930 5,400 6,580 11,980 8,000 6,580 14,580 11,100 6,580 17,680
>3000001 5,000 7,000 12,000 11,500 7,000 17,350 5,400 7,000 12,400 10,000 7,000 17,000 11,100 7,000 18,100
Lipa taasisi za serikali kwa Jinsi ya kulipa taasisi za serikali kwa Baadhi ya taasisi unazoweza kulipa
ku-scan na M-Pesa App QR (Hatua 3 rahisi) kwa ku-scan na M-Pesa App QR
ku-scan na M-Pesa App QR Wizara ya ardhi,
Nyumba na
maendeleo ya
makazi
Njia rahisi,
salama, na
haraka
zaidi! M-Pesa App
3. Scan picha ya QR
2. Fungua M-Pesa App iliyoko kwenye bili yako,
1. Pata bili yako ya kisha weka PIN ya M-Pesa
malipo kutoka taasisi kisha bonyeza kitufe Wizara ya
Pakua M-Pesa App bure kinachoonyesha QR kukamilisha muamala. Nishati na
husika
madini
*KUMBUKA
• Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa
• Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako
• Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye akaunti yako ya M-Pesa wakati wowote ukikamilisha usajili wako
• Hakikisha kama umesajiliwa kikamilifu kwa kupiga *106#
• Unapotuma pesa, siku zote kumbuka kuhakikisha namba ya mpokeaji kuepuka usumbufu
• Unapofanya muamala kwa wakala utahitajika kuonyesha kitambulisho chako
• Baada ya ku swap namba yako ya Vodacom, unaweza kuanza kutumia M-Pesa baada ya masaa 48
• Kupata vigezo na masharti ya kutumia M-Pesa tembelea duka la Vodacom lililopo karibu nawe au www.vodacom.co.tz
• M-Pesa huonyesha salio kwenye SMS ya kila muamala BURE. Endapo utafanya muamala wa kuangalia salio, utatozwa gharama ya Tsh 60
• Unapofanya malipo kwa wafanyabiashara waliosajiliwa na huduma ya LIPA KWA SIMU kupitia M-Pesa, utatozwa gharama za kawaida za kutuma pesa kwa wateja waliosajiliwa
• Ada za M-Pesa zilizoainishwa zimejumuisha ushuru (Excise Duty na VAT)
• PIN yako ya M-Pesa ni SIRI yako. Usimpatie mtu yeyote, hata kama ni wakala wa M-Pesa au mfanyakazi wa Vodacom
• Kwa msaada zaidi wasiliana na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 bure
Pamoja tunaweza