Professional Documents
Culture Documents
MAAGIZO
Jibumaswalimanne.
Swali la kwanza ni la lazima
Chaguamaswalimenginematatukutokakwasehemuzilizosalia:
Riwaya, Tamthilia, HadithifupinaUshairi.
Usijibumaswalimawilikutokasehemumoja.
1
KAPSABET BOYS HIGH SCHOOL
SEHEMUYA A
1. SWALI LA LAZIMA
a) i) Semi nini? (alama 1)
ii) Fafanuasifannezamisimu (alama4)
b) Soma wimboufuataokishaujibumaswali
Ewe kilizi
Ulozoweakujificha
Nyumaya mama kujikinga, dhidiyamilio
Yanadiilojuumbinguni
Juakeshonisikuyasiku
Sikuyakujuambivunambichi
Kutofautishajogoonavipora
Naribatakaposhika, chakekisu
Ndipoutakapojuabayana
Ukoowetusiwakunguru
ikiwahutayari
kisukukidhihaki
sithubutukamwe, wanjanikuingia
sijekuniaibishamiye, amiyonaakrabanzima!
Maswali
i) Huuwimbohuitwaje? (alama1)
ii) Elezamajukumuyoyotemanneyanayotekelezwanawimbohuukatikajamii (alama4)
c) i) Mivighaninini? (alama2)
ii) Elezasifatatuzamivigha (alama 3)
d) Fafanuamatatizomatanoambayoyanaikumbwafasihisimuliziduniani (alama5)
2
KAPSABET BOYS HIGH SCHOOL
SEHEMU YA B
RIWARA: CHOZI LA HERI: ASUMPTA MATEI
2. “…haifaikuchezanauwezowavijana, waonikamananga.
Huwezikuzamishanakuiongeamerikebu.”
a) Elezamuktadhawadondoohili (alama4)
b) Bainishatamathalimbilizausemizilizotumikakatikadondoo (alama 4)
c) Kwakurejeleariwayahii, onyeshajinsivijanawamezamishamerikebuyawahafidhina
(alama12)
3. Baadayadhikifaraja. Onyesha vile ukweliwamethalihiiunavyodhihirikakwenyeriwaya
(alama20)
SEHEMU YA C
TAMTHILIA: KIGOGO: PAULINE KEA
4. “Sitakikuaibishwanamwanamkemimi, siwezi.”
a) Yawekemanenohayakatikamuktadha wake. (alama 4)
b) Fafanuakwahojananekuwamsemajiwamanenohayaanafaakuaibishwa (alama16)
5. a) JadilijinsikumiambazokwazomaudhuiyaukatiliyanajitokezakatikatamthiliayaKigogo
(alama10)
b) ElezamifanomitatoyamatumiziyakinayakatikatamthiliayaKigogo (alama10)
3
KAPSABET BOYS HIGH SCHOOL
8. SEHEMU YA E: USHAIRI
Soma shairilifuatalokishaujibumaswali
Barabarabadonindefu
Namitayarinimechokatiki
Natamanikuketi
Ni’nyooshemisuli
Nitulizeakili
Lakini
Azmayanisukuma
Mbeleikinihimizakuendelea
Baadayamiinukonakuruba
Sasanaonaunyoofu wake
Unyoofuambaounatishazaidi
Pundenatumbukiakatikashimo
Nahitajisihazaidiilikupandatena
Ghaflanakumbukailivyosema
Ile sautizamanikidogo
“Kuwatayarikupandanakushuka”.
Ingawanimechoka
Jambomojadhahiri
Lazimahufuatebarabara
Ingawamachweoyaingia
Nizamenakuibuka
Nipandenakushuka
4
KAPSABET BOYS HIGH SCHOOL
Jambomojanakumbuka; Mungu
Je nimwombetena?Hadilini?
Labdaamechoshwanaombaombazangu
Nashangaatena!
Kitukimojanakiamini
Lazimaniendeleekujitahidikwakilahatuampya
Nijikokotekuiandamahiibarabarayenyeukungu
Nikinaswanakujinasua
Yumkininitafikamwisho wake
Ikiwawangumwishohaitauwahikabla.
Maswali
a) Tajanauelezeainayashairihili (alama 2)
b) Elezatoniyashairihili (alama 2)
c) Hukuukitoamifanomwafakaelezatamathalitatuzausemiambazozinajitokezakatikashairi
(alama 3)
d) Mshairiametumiauhuruwake wautunzi. Elezamifanomitatuhukuukitoleamifano.
(alama 3)
e) Fafanuadhamirayamtunziwashairihili (alama 2)
f) Andikakifungu cha mwishokatikalughayanathari. (alama 4)
g) Elezamaanayamsamiatiufuataokamaulivyotumikakatikashairi (alama 4)
i) Kuruba
ii) Siha
iii) Machweo
iv) Kujinasua
5
KAPSABET BOYS HIGH SCHOOL