Ikiwa una uwezekano au umethibitishwa kuwa na COVID-19:
1. Kaa nyumbani sio kazini 6. Unapokohoa au kupiga
wala shuleni. Na ukae mbali na maeneo mengine ya chafya, funika mdomo umma. Ikiwa ni lazima utoke wako na mapua kwa nje, epuka kutumia njia tishu au tumia sehemu ya yoyote ya usafiri wa umma, ndani ya kisugudi chako. kushiriki usafiri, au teksi.
2. Fuatilia dalili zako kwa 7. Nawa mikono yako mara kwa
makini. Ikiwa dalili zako mara kwa maji na sabuni kwa zitazidi kuwa mbaya zaidi, angalau sekunde 20 au nawa pigia simu kituo chako cha mikono yako kwa kutumia matibabu mara moja. sanitaiza ya mikono yenye pombe ambayo ina angalau asilimia 60 ya pombe. 3. Pata kupumzika na 8. Kadri inavyowezekana, kaa uwe na maji ya kutosha mwilini. katika chumba mahususi na mbali na watu wengine walio nyumbani kwako. Pia, unapaswa kutumia bafu tofauti, ikiwa ipo. Ikiwa ungetaka kuwa miongoni mwa watu wengine 4. Ikiwa una miadi ya walio ndani au nje ya nyumba kimatibabu, pigia simu yako, vaa maski. mhudumu wako wa matibabu ya kiafya kabla ya wakati na 9. Epuka kushiriki vitu vya umwambie kwamba una kibinafsi pamoja na watu ugonjwa wa COVID-19 wengine walio ndani mwa au huenda unao. nyumba yako kama vile vyombo vya chakula, taulo, na matandiko. 5. Iwapo una dharura ya kimatibabu, pigia simu 911 na wafahamishe 10. Safisha sehemu zote ambazo huguswa mara kwa wahudumu kwamba mara, kama kaunta, sehemu unao, au unaweza kuwa za juu ya meza, komeo za na COVID-19. mlango. Tumia kipulizio cha usafishaji cha nyumbani au pangusa, kulingana na maagizo yaliyo kwenye lebo.