You are on page 1of 1

AJENDA ZA KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA WATAALAMU

(TECHNICAL COMMITTE) KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA

MAHALI: JENGO LA PSSSF

TAREHE: 1 & 2 DESEMBA 2022

i. Kufungua kikao;

ii. Muhtasari wa dhana ya nishati safi ya kupikia;

iii. Kupokea Maelekezo ya kikao cha Waziri Mkuu kuhusu Nishati Safi ya Kupikia;

iv. Kujadili mpango kazi wa Kikundi Kazi;

v. Kupitia muundo wa Mfuko wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia;

vi. Kujadili vyanzo vya mapato kuwezesha utekelezaji wa majukumu ya Kikundi Kazi;

vii. Kujadili jinsi ya kushirikisha sekta binafsi na wadau wa maendeleo;

viii. Kujadili muundo wa Dira ya Miaka 10 ya Mkakati wa Taifa wa kuhamia Kwenye


Nishati Safi ya Kupikia;

ix. Kujadili ratiba ya vikao vya Kikundi Kazi;

x. Mengineyo;

xi. Kufunga kikao.

You might also like