You are on page 1of 1

MSS: 2022/10/22/07 Saturday, October 22,

NEGRO W CHANGA

IRINGA MAFINGA.

YAH: MAOMBI YA TSHS 857,000 KWA AJILI YA SIKU 58 ULIZO FANYA


UKIWA KATIKA MAPUMZIKO YAKO YA LIKIZO ZOTE MBILI YA MWAKA 2020 NA 2022

Husika na kichwa hapo juu.

Tunapenda kukujulisha kuwa maombi yako ya kulipwa siku ulizo fanya kazi
kipindi cha likizo yamepokelewa na tunashukuru sana kwa kujitolea kwako kufanya
kazi hata kipindi upo mapumzikoni.

Hata hivyo tungependa kukulipa kiasi tajwa hapo juu lakini kutokana na changamoto
za kiuchumi tunazo pitia kama kampuni kwa sasa tumeonelea tukupatie mapumziko ya
siku 28 kama fidia ya siku hizo. Ingawa ni ukweli kuwa si siku zote ulifanya siku nzima
zingine zilikuwa hazichukui hata masaa 4.

Hivyo basi unaptiwa mapumziko kuanzia tarehe 25/10/2022 mpaka tarehe


22/11/2022 kama fidia ya siku ulizo zitumia katika likizo yako .

NB : Unakumbushwa kuwa kwa kipindi hicho chote kama patakuwa kuna kazi inayo
muitaji afisa masoko wa mkoa tungependa umkasimishe Bwana Aponary haule ili
kuepuka kutumia tena siku zako za mapumziko.

…………………………………………

Afisa utawala

You might also like