You are on page 1of 5

JENGO LA MAABARA-MKINGA

AINA YA KAZI KIASI KATIKA BOQ MHUSIKA WA KIASI FAIDA YA MAELEZO


KAZI ATAKACHOL KIKOSI
IPWA

Msingi wa Jengo (Sub-structure)


Kusafisha eneo
Kuseti jengo 143,434.83 INJINIA 0.00 143,434.83
Uchimbaji wa msingi 243,434.83 VIJANA 0.00 243,434.83
Kufukia

Kufunga mbao
Pembezoni mwa jamvi 139,105.62 VIJANA 0.00 139,105.62
Pembezoni mwa nguzo 69,552.81 VIJANA 0.00 69,552.81
Kuondoa mbao VIJANA 0.00 0.00

Kumwaga zege
Chini kwenye msingi wa tofali 278,211.24 VIJANA 60,000.00 218,211.24 Fundi mmoja atalipwa tsh 60,000 kwa
Chini kwenye msingi wa nguzo 69,552.81 VIJANA 0.00 69,552.81 ajili ya kupiga lati.(siku 3)
katika nguzo ya awali 208,658.43 VIJANA 0.00 208,658.43
kwenye jamvi Mafundi wawili watalipwa 120,000
783,632.77 VIJANA 120,000.00 663,632.77 kwa ajili ya kupiga lati.(siku 3)
Ujenzi wa tofali za msingi (2268 No) Fundi atalipwa tsh 250 kwa tofali moja
au atalipwa tsh 15,000 kwa siku na
atatakiwa kujenga tofali kuanzia 60 au
kazi yote kwa bei isiyozidi tsh
630,983.09 RAIA 567,000.00 63,983.09 567,000/=.

Mawe
Upangaji wa mawe na utandazaji wa DPM Fundi atalipwa tsh 1600/sqm au
617,316.86 RAIA 500,000.00 117,316.86 makubaliano ya jumla 500,000/=

Umwagiliaji wa maji
Jumla ndogo msingi wa jengo 3,183,883.29 0.00 1,247,000.00 1,936,883.29

Page 1 of 5
JENGO LA MAABARA-MKINGA

Kunyanyua jengo (Super-structure)


Ujenzi wa tofali za kuta na uwekaji DPC Fundi atalipwa tsh 300 kwa tofali moja
(6,145No) au atalipwa tsh 15,000 kwa siku na
atatakiwa kujenga tofali kuanzia 60 au
kazi yote kwa bei isiyozidi tsh
2,109,608.06 RAIA 1,843,500.00 266,108.06 1,843,500/=.
0.00 0.00
Kufunga mbao katika: 0.00 0.00
Nguzo mlalo 217,316.86 VIJANA 0.00 217,316.86
Nguzo wima 208,658.43 VIJANA 0.00 208,658.43

Kusuka nondo katika:


Nguzo mlalo 495,528.10 VIJANA 0.00 495,528.10
Nguzo wima 208,658.43 VIJANA 0.00 208,658.43

Kumwaga zege katika:


Nguzo mlalo 243,434.83 VIJANA 0.00 243,434.83
Nguzo wima 173,882.02 VIJANA 0.00 173,882.02
Umwagiliaji wa maji VIJANA BURE BURE
Jumla ndogo kunyanyua jengo 3,657,086.72 0.00 1,843,500.00 1,813,586.72

Kuezeka (Roof structure and covering)

Kuezeka na ufungaji wa gata


Fundi atauziwa kazi ya
2,295,242.71 RAIA 2,000,000.00 295,242.71 kuezeka+brandering+pvc (3,000,000)
Jumla ndogo kuezeka 2,295,242.71 RAIA 2,000,000.00 295,242.71
Milango
Kufitisha fremu za milango Fundi atalipwa tsh 7,000 kwa frame
280,837.30 RAIA 196,000.00 84,837.30 moja
Kufitisha shata za milango pamoja na
vitasa
Upakaji wa Varnishi katika milango na
fremu
Jumla ndogo milango 280,837.30 196,000.00 84,837.30

Page 2 of 5
JENGO LA MAABARA-MKINGA

Umaliziaji (Finishing)
Upigaji wa lipu pamoja na kutengeneza
koplo:
Nje ya jengo 1,217,316.86 RAIA 1,200,000.00 17,316.86 Fundi atauziwa kazi kwa bei ya jumla
Ndani ya jengo 1,882,397.76 RAIA 1,800,000.00 82,397.76 (lump sum 3,000,000)

Sakafu
Uwekaji wa sakafu ya kupokea vigae Fundi atauziwa uwekaji wa vigae kwa
(beds) 695,528.10 RAIA 500,000.00 195,528.10 tsh 2,400/sqm au tsh 600/tile au bei ya
Uwekaji wa vigae pamoja na grauti katika jumla isiyozidi 1,500,000.
sakafu (floor tiles) - 1,391,056.19 RAIA 1,000,000.00 391,056.19

Dali:
Ufungaji wa mbao za dali (Brandering) 695,528.10 RAIA 400,000.00 295,528.10 Fundi atauziwa kazi ya
Uwekaji wa dali na mikanda ya gypsum 1,043,292.14 RAIA 500,000.00 543,292.14 kuezeka+brandering+pvc (3,000,000)
Uwekaji wa dali ya pvc kuzunguka
nyumba kwa nje 347,764.05 RAIA 100,000.00 247,764.05

Uwekaji wa vigae katika kuta na upakaji


grout 521,646.07 RAIA 0.00 521,646.07
Jumla ndogo umaliziaji(finishing) 7,794,529.26 0.00 5,500,000.00 2,294,529.26

Rangi na Mapambo (Painting &


Decoration)

Kupaka rangi mikono mitatu pamoja n


a skimming katika
Kuta za nje 595,528.10 RAIA 400,000.00 195,528.10
Fundi atalipwa kazi yote kwa tsh
Kuta za ndani 1,091,056.19 RAIA 1,000,000.00 91,056.19
1,550,000.
Dali 158,658.43 RAIA 100,000.00 58,658.43
Kupaka rangi mikono mitatu katika:
Msingi wa nyumba 104,329.21 RAIA 50,000.00 54,329.21
Grill za milango na madirisha 229,524.27 VIJANA 0.00 229,524.27
Jumla ndogo Rangi na mapambo 2,179,096.20 0.00 1,550,000.00 629,096.20

Page 3 of 5
JENGO LA MAABARA-MKINGA

Umeme (Electrical installation)


Usukaji wa umeme awamu ya kwanza - 445,528.10 VIJANA 0.00 445,528.10
Usukaji wa umeme awamu ya pili (2nd
fix)-fittings 343,292.14 VIJANA 0.00 343,292.14
Jumla ndogo Umeme 788,820.24 0.00 0.00 788,820.24

Mifumo ya maji safi na taka (Water


Supply and Sewage
system)

Ufungaji bomba awamu ya kwanza


(Kuchimbia 695,528.10 VIJANA 0.00 695,528.10
bomba) VIJANA 0.00 0.00
Ufungaji bomba awamu ya pili (2nd fix) -
fittings 1,043,292.14 VIJANA 0.00 1,043,292.14
Ufungaji wa Mifumo ya maji ya mvua
kwenda kwenye tanki 104,329.21 VIJANA 0.00 104,329.21
Jumla ndogo Mifumo ya maji safi na
taka 1,843,149.45 0.00 1,843,149.45

Page 4 of 5
JENGO LA MAABARA-MKINGA

MAJUMUISHO (SUMMARY) Maelezo ya ujumla

Msingi wa Jengo (Sub-structure) 3,183,883.29 1,247,000.00 1,936,883.29

Kunyanyua jengo (Super-structure) 3,657,086.72 1,843,500.00 1,813,586.72

Kuezeka (Roof structure and covering) 2,295,242.71 RAIA 2,000,000.00 295,242.71


0.00

Milango 280,837.30 196,000.00 84,837.30


0.00

Umaliziaji (Finishing) 7,794,529.26 5,500,000.00 2,294,529.26

Rangi na Mapambo (Painting &


Decoration) 2,179,096.20 1,550,000.00 629,096.20

Umeme (Electrical installation) 788,820.24 0.00 788,820.24

Mifumo ya maji safi na taka (Water Ujenzi wa mashimo ya choo pamoja


Supply and Sewage system) na chemba zake tsh
1,200,000/=(milioni moja na laki
1,843,149.45 1,200,000.00 643,149.45 mbili).
Msimamizi wa mafundi (site foreman)
atalipwa 4,500,000 (milioni nne na laki
Msimamizi wa kazi (Site foreman) SITE FOREMAN 2,000,000.00
tano)kwa kusimamia mafundi wake
jengo la Maabara.

JUMLA KUU Shs. 22,022,645.19 13,536,500.00 8,486,145.19

Page 5 of 5

You might also like