Taka Zisizohatarisha Taka Hatarishi Talka Hatarishi Sana Taka Ncha
● Sindano za dripu ● Gazeti/ Karatasi za kufungia vitu ● Pamba zenye damu au ● Viungo vya binadamu ● Slaidi zilizovunjika majimaji ya mwili ● Chupa/makopo ● Mirija ya dripu za damu/maji ● Meno ● Vichupa vilivyovunjika ● Kondo la nyuma/Placenta ● Sindano na bomba lake ● Mabaki ya chakula ● Glovu/mipira ya kuvaa ● Chombo cha makohozi ● Visu vya oparesheni mikononi ● Maganda ya matunda kama ● Taka za madawa ● Vichupa vya maabara vyenye ● Sindano ndizi/chungwa/ embe damu au majimaji ya mwili