You are on page 1of 14

10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

 Forums  General Forums  Kilimo, Ufugaji na Uvuvi 

Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya

mahindi
 Molembe ·  Jul 30, 2023

1 2 3 4 Next 

Molembe
M JF-Expert Member
 Dec 25, 2012  9,791  11,393

Jul 30, 2023  #1

Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1. Kukodi shamba ekari 1 - 70,000/-
2. Kulima shamba mara 2 - 60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12 - 72,000/-
4. Kupanda mahindi - 30,000/-
5. Mbolea 2 - 140,000/-
6. Palizi 2 - 60,000/-
7. Kuweka mbolea - 30,000/-
8. Kuvuna/kupukuchua/mifuko - 100,0000/-

Jumla ya gharama huwa ni 550,000/- ~ 600,000/-

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 1/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

Mavuno
Mara nyingi mavuno hutegemea ubora wa ardhi na matunzo ya mazuri ya mazao,
lakini mara nyingi ekari moja ya mahindi hutoa gunia 15 ~ 25, sasa ukipata kiwango cha
chini gunia 15 ukauza kwa bei ya sasa 80,000/- unapata Tsh 1,200,000/- faida ya Tsh
600,000 kwa ekari.

Padone EPM, GoldDhahabu, Trimmer and 14 others

Wadiz  Nov 10, 2022  4,760  9,444

JF-Expert Member

Jul 30, 2023  #2

Molembe said: 

Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1.kukodi shamba ekari 1=70,000/-
2.Kulima shamba mara 2=60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12=72,000/-
4.kupanda mahindi =30,000/-
5. Mbolea 2 = 140,000/-
6. Palizi 2 = 60,000/- Click to expand...
7 k k b l 30 000/

Safi hio ni specific kwa eneo gani na wilaya ipi?

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 2/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

makaveli10  Mar 27, 2013  25,280  71,435

JF-Expert Member

Jul 30, 2023  #3

Mzee we umefanya?

vctor123, Nihurumie nihurumie, Equation x and 1 other person

Espoir_jnr  Aug 8, 2020  260  852

JF-Expert Member

Jul 30, 2023  #4

Napenda aina hizi za vilimo, zina nivutia sana.

vctor123, Majan, Introsagvert and 1 other person

mbarika  Apr 1, 2015  4,804  5,822

JF-Expert Member

Jul 30, 2023  #5

Kilimo cha kwenye karatasi safiii Sana

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 3/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

 vctor123, Ironbutterfly, Evelyn Salt and 6 others Log in Register   Search

Sports &
General Forums Sinoni  May 16, 2011  5,159  8,053
Entertainment
JF-Expert Member

Education, Tech JF English Only Jul 30, 2023  #6

& Professional Forums

Natumai nitaelewa mbele kadiri wadau wa kilimo watakavyozidi kulima.

East African michael92 and wangatala

Members Only
Forums

RO7 ZA MGOS  Sep 27, 2016  1,512  4,017

Stories of Change JamiiCheck
JF-Expert Member

Jul 30, 2023  #7

 Fichua Uovu

Mchanganuo mzur kabsa ingawa hiyoo n maximum calculator...lzm vbarua uwalalie

kidogo ku minimize cost of running...

Rumi96   Sep 17, 2019  748  1,663

JF-Expert Member

Jul 30, 2023  #8

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 4/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

Kwa huku niliko, nimekodi ekari 3 Tsh 80,000/

Palizi ya kwanza kila ekari Tsh 21000 mara 3 63000

Ya pili napiga dawa ya magugu 25 kila ekari pamoja na mpigaji.

25000×3= 75000
Mbegu 30 Kg kila kg 10 ni 70000 jumla 210,000/
Kuvuna kila ekari ni 15000 mara 3 45000

Kupiga kila gunia 1000,

Watani gunia 60, so 60,000.

Mbolea mifuko 9 *70000

80000+65000+75000+210000+45000+630000
Total 115000, naongeza laki dharura. So 1,205,000.

Minimum bei ni 50k mara 60 ni 3M.

Manjagata, Momentuum, Southern Highland and 14 others

Mpaji Mungu  Apr 24, 2023  3,028  8,172

JF-Expert Member

Jul 30, 2023  #9

Molembe said: 
https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 5/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

kukodi shamba ekari 1=70,000/-

2.Kulima shamba mara 2=60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12=72,000/-
4.kupanda mahindi =30,000/-
5. Mbolea 2 = 140,000/-
6. Palizi 2 = 60,000/-
7. kuweka mbolea 30,000/- Click to expand...
/ / /

Kwa mazingira nlotoka

Kukodi ekar 1 =150k
Mbegu mahindi pakiti Moja =12k
Kulima ekari moja trekta =45k
Mbolea 120k
Palizi 2 50k

Equation x

G.25  Jun 12, 2013  1,694  1,781

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #10

Molembe said: 

Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1.kukodi shamba ekari 1=70,000/-
2.Kulima shamba mara 2=60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12=72,000/-
https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 6/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

4.kupanda mahindi =30,000/-

5. Mbolea 2 = 140,000/-
6. Palizi 2 = 60,000/- Click to expand...
/

Ekari moja huhitaji mbegu ya mahindi kiasi gani? Ni umbali gani kutoka mche hadi
mche?

Mi nilikuwa najua ni kg 4 kwa ekari.

Equation x

ankai  Nov 25, 2017  3,279  4,226

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #11

Narudi apa

Equation x

ERoni  Jan 9, 2013  40,574  78,504

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #12

Rumi96 said: 
https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 7/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

Kwa huku niliko, nimekodi ekari 3 Tsh 80,000/

Palizi ya kwanza kila ekari Tsh 21000 mara 3 63000

Ya pili napiga dawa ya magugu 25 kila ekari pamoja na mpigaji.

25000×3= 75000
Mbegu 30 Kg kila kg 10 ni 70000 jumla 210,000/
Click to expand...

Umekimbia mbio sana kwenye uandishi mkuu, ungeandika taratibu kidogo.

Tunatamani kujifunza.

Equation x and wangatala

genius_  Aug 22, 2018  369  932

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #13

Molembe said: 

Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1.kukodi shamba ekari 1=70,000/-
2.Kulima shamba mara 2=60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12=72,000/-
4.kupanda mahindi =30,000/-
5. Mbolea 2 = 140,000/-
6. Palizi 2 = 60,000/- Click to expand...
/

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 8/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

Ungemalizia pia hii faida ya laki 6 unaipata baada ya mda gani..

Kwangu mm ukilima chini ya ekari 10 bas faida na muda utakaotumia kupata iyo faida
ni sawa na bure

wangatala

ankai  Nov 25, 2017  3,279  4,226

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #14

Molembe said: 

Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1.kukodi shamba ekari 1=70,000/-
2.Kulima shamba mara 2=60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12=72,000/-
4.kupanda mahindi =30,000/-
5. Mbolea 2 = 140,000/-
6. Palizi 2 = 60,000/- Click to expand...
7 k k b l 30 000/

Samahani ndugu ni mkoa gani huu naweza kupata nami eneo la kukodi ata kama ni
ekari mbili huu ni mkoa gani ndugu yetu naomba nipe muongozo ndugu yangu!!

wangatala

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 9/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

ankai  Nov 25, 2017  3,279  4,226

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #15

Mpaji Mungu said: 

Kwa mazingira nlotoka

Kukodi ekar 1 =150k
Mbegu mahindi pakiti Moja =12k
Kulima ekari moja trekta =45k
Mbolea 120k
Palizi 2 50k

Ni.mkoa ganu huu ndugu yangu nahitaji hii kitu taifadhari kama hutojali share na mi
zaidi maana nami nahitaji kulima ndugu yangu

Unasemeje  Apr 29, 2021  249  910

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #16

Mwaka huu heka 3 nimepata gunia 8 tu boss.

Spliffcharm, Abie, Mahotera and 3 others

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 10/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

ankai  Nov 25, 2017  3,279  4,226

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #17

Rumi96 said: 

Kwa huku niliko, nimekodi ekari 3 Tsh 80,000/

Palizi ya kwanza kila ekari Tsh 21000 mara 3 63000

Ya pili napiga dawa ya magugu 25 kila ekari pamoja na mpigaji.

25000×3= 75000
Mbegu 30 Kg kila kg 10 ni 70000 jumla 210,000/
Click to expand...

Mkuu hii ni mkoa gani ambapo na mimi naweza kupata na mimi eneo la kulima!!

wangatala
W JF-Expert Member
 Apr 4, 2022  2,391  4,963

Jul 31, 2023  #18

Unasemeje said: 

Mwaka huu heka 3 nimepata gunia 8 tu boss.

Pole sana,hawaweki wazi changamoto ya hali ya hewa.

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 11/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

Unasemeje

ERoni  Jan 9, 2013  40,574  78,504

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #19

Unasemeje said: 

Mwaka huu heka 3 nimepata gunia 8 tu boss.

Ilikuwaje mkuu?

EmmanueldTz

Unasemeje  Apr 29, 2021  249  910

JF-Expert Member

Jul 31, 2023  #20

ERoni said: 

Ilikuwaje mkuu?

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 12/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

Mvua

Equation x

1 2 3 4 Next  You must log in or register to reply here.

Similar Discussions

Biashara ya mahindi mabichi

Started by Mashima Elias · Aug 24, 2023 · Replies: 21
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Kilimo kinalipa kama ukikifanya kama kazi

Started by Mkulima na Mfugaji · Aug 13, 2022 · Replies: 81
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

M Zuio la mahindi nje litawanufaisha wachache na kuwapa hasara wengi

Started by Molembe · Jun 18, 2023 · Replies: 89
Habari na Hoja mchanganyiko

Wakulima Jiandaeni Kisaikolojia na Kuporomoka Kwa Bei ya Mahindi Mwaka huu

2023, Kenya Gunia la Mahindi Imeshuka hadi Tsh. 80,000
Started by The Sunk Cost Fallacy 2 · Feb 5, 2023 · Replies: 59
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

A Makadirio ya gharama na mapato ya ekari moja ya mkonge

Started by Agricultural Reseacher · Jun 11, 2022 · Replies: 31
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 13/14
10/27/23, 5:07 PM Mchanganuo wa gharama ya kulima ekari moja ya mahindi | JamiiForums

Share:      

 Forums  General Forums  Kilimo, Ufugaji na Uvuvi  Contact us | Terms | Privacy Policy | Help

https://www.jamiiforums.com/threads/mchanganuo-wa-gharama-ya-kulima-ekari-moja-ya-mahindi.2123769/ 14/14

You might also like