You are on page 1of 1

CHUO CHA BAHARI DAR ES SALAAM

RATIBA YA BONANZA LA DMI LA MWAKA MPYA LITAKALOFANYIKA TAREHE


05.01.2024 KATIKA VIWANJA VYA GWAMBINA (TTC CHANG’OMBE)
Na MUDA TUKIO/MCHEZO WAHUSIKA
1. 12:00-1:00 Wanamichezo kuwasili Wote
2. 1:00-2:00 Jogging Wote
3. 2:00-2:20 Ufunguzi Mgeni rasmi
4. 2:30-2:50 Riadha Wanariadha
5. 2:50-3:30 Kukimbia na mayai Wanariadha
6. 3:30-3:50 Kukimbia kwenye gunia (Mita 50) Wanariadha
7. 3:50-4:10 Kuvuta Kamba Wavuta kamba
8. 4:10-4:30 Kukimbiza kuku Wakimbiza kuku
9. 4:30-5:30 Bao/Karata/Draft Wacheza bao, karata na draft
10. 5:30-6:00 Rede Wacheza rede
11. 6:00-7:30 CHAKULA WOTE
12. 7:30-8:10 Netball Wacheza netball
13. 8:20-9:20 Volleyball Wacheza volleyball
14. 9:30-11:00 Football Wacheza football
15. 11:00-11:05 Neno la Shukrani DP/ARC
16. 11:05-11:15 Kufunga Bonanza Mkuu wa Chuo

You might also like