.
Biashara ya Vinywaji Baridi na Juice za Matunda
• Mchanganuo wa Gharama:
o Friji kubwa: TZS 2,000,000 mawili
o Blender mbili: TZS 600,000
o Malighafi (matunda, sukari, maji, vifungashio): TZS 500,000
o Mashine ndogo ya kuzalisha barafu: TZS 1,000,000
o Usafiri: TZS 1,000,000
o Leseni na vibali: TZS 300,000
o Jumla: TZS 5,400,000
• Faida:
o Mauzo ya kila siku: TZS 50,000
o Faida kwa mwezi (ukiondoa gharama za uendeshaji): TZS 800,000
• Hasara:
1. Matunda yanaweza kuharibika haraka.
2. Ushindani mkali kwenye eneo.
3. Matumizi ya umeme yanaweza kuwa ya juu.
2. Duka la Vifaa vya Simu na Laini
• Mchanganuo wa Gharama:
o Stendi ndogo ya biashara: TZS 1,500,000
o Simu ndogo za bei rahisi (10): TZS 2,000,000
o Vifaa vya simu (chargers, earphones, etc.): TZS 2,500,000
o Ufungaji wa rafu na vifaa: TZS 800,000
o Leseni: TZS 200,000
o Jumla: TZS 7,000,000
• Faida:
o Kiasi cha faida kwa mwezi: TZS 500,000 - 1,000,000
• Hasara:
1. Teknolojia hubadilika haraka.
2. Ushindani mkubwa kutoka kwa maduka makubwa.
3. Kupata vifaa vya ubora wa juu inaweza kuwa changamoto.
3. Biashara ya Mitumba ya Nguo
• Mchanganuo wa Gharama:
o Malipo ya fremu ndogo: TZS 1,000,000
o Nguo za mtumba (bale mbili): TZS 4,000,000
o Vifaa vya kufungashia: TZS 500,000
o Jumla: TZS 5,500,000
• Faida:
o Faida kwa mwezi: TZS 600,000
• Hasara:
1. Kubadilika kwa mitindo ya mavazi.
2. Sehemu ya biashara kuwa na wateja wachache.
3. Ushindani kutoka kwa wauzaji wengine.
4. Salon ya Kiume/Kike
• Mchanganuo wa Gharama:
o Kiti cha kunyoa: TZS 1,500,000
o Mashine ya kunyoa: TZS 400,000
o Vifaa vya usafi (shampoo, mafuta): TZS 800,000
o Kupangisha fremu: TZS 1,000,000
o Jumla: TZS 3,700,000
• Faida:
o Mauzo ya kila siku: TZS 40,000
o Faida kwa mwezi: TZS 500,000
• Hasara:
1. Upatikanaji wa wateja wa kudumu.
2. Gharama za umeme.
3. Ushindani.
5. Uuzaji wa Urembo (Make-Up)
• Mchanganuo wa Gharama:
o Vipodozi vya awali: TZS 5,000,000
o Shelfu na fremu: TZS 1,500,000
o Jumla: TZS 6,500,000
• Faida:
o Faida kwa mwezi: TZS 400,000 - 800,000
• Hasara:
1. Bidhaa kuisha muda wa matumizi.
2. Ushindani wa bei.
3. Ushuru wa bidhaa za urembo.
6. Biashara ya Chakula cha Haraka (Fast Food)
• Mchanganuo wa Gharama:
o Gas cooker: TZS 1,000,000
o Vyombo vya jikoni: TZS 800,000
o Malighafi (unga, nyama, mafuta, n.k.): TZS 1,000,000
o Kupangisha fremu: TZS 1,500,000
o Jumla: TZS 4,300,000
• Faida:
o Mauzo ya kila siku: TZS 70,000
o Faida kwa mwezi: TZS 1,000,000
• Hasara:
1. Chakula kuharibika haraka.
2. Haja ya kuhudumia wateja vizuri.
3. Ushindani wa eneo.
7. Duka la Vyakula (Kiosk)
• Mchanganuo wa Gharama:
o Fremu na vifaa: TZS 2,000,000
o Bidhaa za awali (unga, sukari, mafuta): TZS 5,000,000
o Jumla: TZS 7,000,000
• Faida:
o Mauzo ya kila siku: TZS 30,000 - 50,000
o Faida kwa mwezi: TZS 700,000
• Hasara:
1. Bidhaa kuharibika.
2. Ushindani wa bei.
3. Kudhibiti wizi wa bidhaa.
8. LBL Projects
Hii inahitaji Imani kiasi kwa7b ni online platform ambayo utakacho kiwekeza ndo utakacho kipata ndani
ya mwezi husika ina grade 3
Ya kwanza ni 50,000 kwa mwezi
Inakua 50,000 ÷30 = 1,666 ndo kias utachopata kila siku na baada ya kukiweka unaweza kukitoa
Yapili ni 150,000 kwa mwezi
Inakua 150,000 ÷ 30 = 5,000 ndo kias utachopata kila siku na baada ya kukiweka unaweza kukitoa
Yapili ni 540,000 kwa mwezi
Inakua 540,000 ÷ 30 = 18,000 ndo kias utachopata kila siku na baada ya kukiweka unaweza kukitoa
Ukiwekeza mwezi mmoja unaofata huweki tena wewe unapokea tuu
Project hii nimejaribu kui hack na kuona ina expire mwezi wa 7 so kama unajaribu hakikisha mwezi wa
sita ndo mwisho wako utoe pesa zote kama ikilipiwa tena utatoa dmain yake basi utaendeleza mwez
unaofata kaba la basi unaacha
Nimesisitiza kama unaimani unaweza kuifanya hii utatumia seemndogo kabisa ya mtaji wako na
haitaweza kukuzuia kufanya project zingine
9. Boda Boda wastani ni
1= 3,100,000 unaweza nunua mbili ama 3 maingizo yake kwa mwezi ni 300,000 kwa moja hapa
nitaomba nikupigie ama tuongee nikufahamishe vizuri
PROJECTS KUBWA AMBAZO ZINAWEZA KUANZA NA MTAJI MDOGO NABAADAE
KUA KUBWA NA KUKUSABABISHIA FAIDA KUBWA