100% found this document useful (9 votes)
35K views8 pages

MAWAZO YA BIASHARA (BUSINESS IDEAS) Godi

Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd
100% found this document useful (9 votes)
35K views8 pages

MAWAZO YA BIASHARA (BUSINESS IDEAS) Godi

Copyright
© © All Rights Reserved
We take content rights seriously. If you suspect this is your content, claim it here.
Available Formats
Download as PDF, TXT or read online on Scribd

VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA

1. Usimamizi mzuri
2. Kuchagua eneo sahihi na linalofaa kwa biashara.
3. Kuimarisha na kutoa huduma bora zaidi
4. Ubunifu

MAWAZO YA BIASHARA YATAKAYO INUA NA


KUONGEZA KIPATO CHATO

1. Wazo la Biashara ya Ufugaji wa kuku wa mayai au nyama


2. Kuwa wakala wa kutuma, kuweka, na kutoa pesa.
3. Wazo la Biashara ya Kufungua saluni ya Kike au Kiume
4. Wazo la Biashara ya Kutengeneza dawa za Miti shamba
5. Wazo la Biashara ya Ufugaji nyuki
6. Wazo la Biashara ya Uchapishaji nguo
7. Wazo la Biashara ya kutengeneza Maji safi ya Kunywa
8. Wazo la Biashara ya Ukusanyaji taka
9. Wazo la Biashara ya Kilimo cha Mboga na Matunda
10. Wazo la Biashara ya Kushona na Kutarizi
11. Wazo la Biashara ya Kutengeneza bidhaa kutoka kwenye Ngozi
12. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Mabegi ya Shule
13. Wazo la Biashara ya Ukusanyaji makopo na vyuma
14. Wazo la Biashara ya Kufungua Mashine ya kukoboa mpunga
15. Wazo la Biashara ya Ufugaji Nguruwe
16. Kuuza vyakula vya mifugo kama vile, pumba, mashudu na kadhalika.
17. Wazo la Biashara ya Usajili wa Laini za Simu
18. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Dawa na Sabuni za Usafi
19. Wazo la Biashara ya Kufungua Mgahawa wa chakula
20. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Viungio vya kupikia
21. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Majani Chai
22. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Hereni na bidhaa za urembo
23. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Chokaa na chaki za kuandikia
24. Wazo la Biashara ya Kujenga sehemu ya magari kupaki usiku
25. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Bolti na Nati za kufungia
26. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Mafuta ya kujipaka
27. Wazo la Biashara ya Uuzaji Mayai
28. Wazo la Biashara ya Kusindika Mayonaise
29. Wazo la Biashara ya Kufungua Sehemu ya Chakula
30. Wazo la Biashara ya Huduma za Ufundi magari
31. Wazo la Biashara ya Kufuma na Kutengeneza Vikapu
32. Kufungua gereji ya magari, bajaji, na pikipiki na kuuza spare parts.
33. Wazo la Biashara za Kusindika Matunda kama juisi
34. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Mishumaa
35. Wazo la Biashara ya Stationery
36. Wazo la Biashara ya Internet
37. Wazo la Biashara ya kutengeneza Video za matukio
38. Wazo la Biashara ya Ukumbi wa Video au Mpira
39. Wazo la Biashara ya Kusindika Nazi
40. Wazo la Biashara ya Kuuza maua
41. Wazo la Biashara ya Kutengeneza vyungu vya maua
42. Wazo la Biashara ya Kuotesha na kuuza miche ya miti na maua
43. Wazo la Biashara ya Kilimo cha Uyoga
44. Wazo la Biashara ya Kutengeneza sabuni ya kuoshea vyombo
45. Wazo la Biashara ya Useremala
46. Wazo la Biashara ya Kuchomelea vyuma
47. Wazo la Biashara ya kutengeneza rangi za kuchorea wasanii
48. Wazo la Biashara ya Kutengeneza vifungu vya nguo kutoka kwenye mifupa na pembe
49. Wazo la Biashara ya Kutengeneza kucha za bandia za kike
50. Wazo la Biashara ya Kutengeneza vyakula vya mifugo, kuku nk.
51. Wazo la Biashara ya Kupaka rangi za mapambo nyumbani
52. Wazo la Biashara ya Kusafisha paa na kupaka rangi
53. Wazo la Biashara ya Kusindika nyama ya kuku
54. kusimamia miradi mbalimbali
55. Kuchezesha GAME (PS).
56. Wazo la Biashara ya Usafi wa ndani na madirisha vioo
57. Wazo la Biashara ya Kupulizia dawa za wadudu na masalia ya mbu
58. Wazo la Biashara ya Kushona Sweta za Watoto wa shule
59. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Bahasha na mifuko ya karatasi
60. Wazo la Biashara ya kusindika juisi ya Miwa
61. Wazo la Biashara ya Kuuza oili chafu
62. kufngua studio ya picha
63. Wazo la Biashara ya Kufungua baa au grosari
64. Wazo la Biashara ya Kutengeneza ndala za kuogea
65. Wazo la Biashara ya Kutengeneza mikanda ya Ngozi, waleti na mikoba
66. Wazo la Biashara ya Kutengeneza bekari ya mikate na mandazi
67. Wazo la Biashara ya Huduma za kutunza Watoto wadogo (Baby care center)
68. Wazo la Biashara ya Mafunzo ya Ushonaji ngozi, nguo nk.
69. Wazo la Biashara ya Kutengeneza turubai za kukodisha
70. Wazo la Biashara ya Kukodisha viti na meza za sherehe
71. Wazo la Biashara ya Kupika kwenye sherehe
72. Wazo la Biashara ya Kutengeneza na kupika Ufuta
73. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Kashata
74. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Kahawa
75. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Sabuni za kuogea asilia
76. Wazo la Biashara ya Kutengeneza kava za siti za magari na pikipiki
77. Wazo la Biashara ya Kutengeneza keki za sherehe
78. Wazo la Biashara ya Kusindika pilipili
79. Wazo la Biashara ya Kufungua huduma za kufua nguo na kunyoosha (Dry cleaners)
80. Wazo la Biashara ya Kufuga ngombe wa maziwa
81. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Ice Cream
82. Wazo la Biashara ya Kutengeza gundi
83. Wazo la Biashara ya Kutengeneza na kusaga unga wa Lishe
84. Wazo la Biashara ya Kutengeneza garden (Mazingira)
85. Wazo la Biashara ya Mama nitilie wa kutembea (Mobile Food Vender)
86. Wazo la Biashara ya Kutengeneza dawa za mbu (Vidonge)
87. Wazo la Biashara ya Kutengeneza Vichana vya nywele
88. Wazo la Biashara ya Kutenegeneza Mihuri
89. Wazo la Biashara ya Kutengeneza dawa ya viatu
90. Wazo la Biashara ya Fundi viatu
91. Wazo la Biashara ya Video shuti na Camera man
92. Wazo la Biashara ya Kufungua Sehemu ya kuoshea Magari (Car wash)
93. Wazo la Biashara ya Kufuga Mbwa na kuuza
94. Wazo la Biashara ya Kuweka chapa kwenye mifuko ya sokoni
95. Wazo la Biashara ya Kufua vyuma
96. Wazo la Biashara ya Kutengeneza uji
97. Wazo la Biashara ya Kuwa dalali
98. Wazo la Biashara ya Kufunga na kuuza Karanga za Mayai
99. Wazo la Biashara ya bisi (Popcorn)

100. Wazo la Biashara ya uandishi na uchapaji vitabu.

101.

103. Kilimo cha maua (GARDEN) na utengenezaji wa vyungu vya maua.

104. Kujihusisha kwenye kilimo cha mbogamboga.

105. wazo la biashara la usafirishaji

106. Kuuza vinywaji barabarani au mjini njiani na kwenye vibanda.

107. Kutengeneza blogu

108. Kuuza mitumba (nguo, viatu, mabegi na vitabu).

109. Kuanzisha Genge mtaani.

110. Kuuza mayai ya kuchemsha.

111. Kusambaza na Kuuza ice-lollies na ice creams.

112. Kung’arisha viatu (shoe shining) na kutengeneza viatu.


113. Kuuza ubuyu kwenye pakti na kwenye vikopo.

115. Kuuza juisi za matunda kama vile juisi ya embe au parachichi.

116. Kuuza mishkaki na ndizi za kuchoma.

117. Kuuza kachori na pweza.

118. Kukaanga na kuuza samaki wa vipande na dagaa mchele.

119. Kuanzisha biashara ya Ufugaji wa kuku wa kienyeji au wa mayai.

120. Kuanzisha vibanda vya Kuuza chipsi na kuku.

121. Kuuza magazeti na vitabu.

122. Ususi na usafishaji kucha

123. Kuanzisha banda la kuonesha mpira

124. Kufungua mgahawa na Kuuza chakula.

125. Kuuza popcorns, crips za viazi mbatata, tambi na crips za ndizi.

126. Wazo la Biashara ya Utengenezaji Matofari

127. Kuuza kahawa,kashata na tangawizi.

128. Kuchoma viazi na mahindi mtaani.

130. Kuuza juisi ya miwa pamoja na keki.

131. Kuuza supu,chapati na maandazi.

132. Kuuza mabarafu na ice-cream.

133. Wazo la Biashara ya Kutengeneza ndoano za samaki

134. Kuuza dagaa la Kigoma , au Mwanza , au Zanzibar almaarufu kama, dagaa nyama.

135. Kuuza sabuni ya unga na ya maji mtaani.

136. Kuuza majani ya chai ya kupima yaliyofungashwa kwenye vipakti mtaani.


137. Kufuga ng’ombe wa kisasa wa maziwa na uuze maziwa kila siku.

138. Kuuza vifaa vya simu (telephone accessories) kama chaji, battery, na earphones.

139. Kuuza vitini (pamphlets) na vitabu vya shule mashuleni haswa,vile vya Q&A.

140. Kuwa wakala (agent) wa kuwatafutia watu masoko na kisha ulipwe kamisheni
(commission).

141. Kufungua mashine ya kukoboa na kusaga.

142. Kufungua duka la vifaa vya ujenzi.

143. Wazo la Biashara ya Kufuma Foot Mats

144. Kufungua na kuanzisha kituo cha CAR WASH na kutoa huduma ya kuosha magari hata
pikipiki na bajaji pia.

145. Biashara ya kuuza na kukodisha CD.

146. Kuwa freelancer.

147. Kuanzisha parking ya magari na pikipiki pia hata bajaji.

148. Biashara ya kukodisha baiskeli.

149. Biashara ya usafirshaji na usambazaji vitu majumbani na maofisini.

150. Biashara ya kuchomelea, tengeneza furniture.

151. Kuuza fito za kujengea, milunda, na mbao.

152. Kukodisha mbao za kujengea zege.

153. Kufungua store ya bidhaa

154. Kutengeneza vyungu vya kupandia maua na kuuza miche ya matunda.

155. Kufungua biashara ya kuuza nguo za ndani za kike na kiume

156. Biashara ya kufyatua matofali,kuuza vigae na slabs.

157. Biashara ya kuchonga mbao, kuranda mbao.


158. Kufundisha ujuzi wowote ule ulio nao kama vile, upishi, computer skills, ushairi na hata pia
ushonaji (Tailoring) na kulipwa ada.

159. Kukodisha masufuria ya kupikia kwenye shughuli na sherehe mblimbali.

160. Kufungua Bakery na kuoka mikate na keki za harusi na Birthdays.

161. Kutengeneza au pia Kuuza bidhaa za ngozi kama mikanda,viatu na mikoba.

[Link] huduma ya BUFFET na kuwa mpika vyakula kwa order kwenye sherehe
mbalimbali.

[Link] stationery karibu na maeneo ya vyuo,shule,ofisini na pia tuitions.

[Link] kampuni ya kufanya usafi majumbani,mahotelini na pia maofisini.

[Link] kituo cha huduma ya internet cafe kwa maeneo ya mjini mjini.

166. Mradi Wa Biashara Wa Kutengeneza Sabuni.

167. Mradi Wa Biashara Printing.

168. Kufungua mashine ya kukoboa na kusaga.

169. Mradi Wa Kuendesha Blogu.

[Link] Wa Biashara Ya Kuuza Mboga Za Majani Na Baadhi Ya Viungo Vya Vyakula.

171. Wazo La Kuendesha Mradi Wa Kuuza Viepe.

172. Kuuza softwares na programs za computer

173. kuwa mtoa ushauri wa mambo mbalimbali

174. Wazo la Biashara ya Kukamua Mafuta kama alizeti nk 175. Kufungua Bucha

176. Wazo la Biashara ya Kuuza maji jumala na rejareja

177. Wazo la Biashara ya kuwa na mradi wa nyumba za kupangisha

178. Wazo la Biashara ya ufundi simu

179. Wazo la Biashara ya kuuza miti na mbao


180. Wazo la Biashara ya Kusindika Nyanya (Tomato sosi)

181. Wazo la Biashara ya kuuza farniture

182. Wazo la Biashara ya kufungua sehemu ya kuziba pancha za matairi ya magari

183. Wazo la Biashara ya kuuza vioo

184. Wazo la Biashara ya kuywa dalali wavitu mbali mbali

185. Wazo la Biashara ya kutengeneza mikokoteni na kuuza

186. Wazo la Biashara ya Kuanzisha gym

187. Wazo la Biashara ya kufunguakampuni ya ulinzi

188. Wazo la Biashara ya kuuza kokoto

189. Mradi Wa Biashara Ya Uandishi Na Kuuza Vitabu Mtandaoni.

190. Wazo la Biashara ya kufundisha tuisheni

191. Wazo la biashara ya kutengeneza mafuta ya kujipaka ya mwili na kukuza nywele

192. Kutoa huduma ya internet cafe

193. Kutengeneza gundi, Frame za picha

WAZO LA BIASHARA NI SUALA MOJA NA KUANZISHA BIASHARA NI JAMBO LA


PILI NA KUENDESHA BIASHARA NI SUALA LA TATU. ZINGATIA HAYA

KARIBU NIKUSAIDIE KUANDAA MPANGO BIASHARA (BUSINESS PLAN)

(IWE KIWANDA AU KAMPUNI)

Whatsapp Tu. 0743028952

You might also like