You are on page 1of 7

MRADI WA USAFIRISHAJI NDANI

YA JIJI LA MWANZA
MNYAGA’S FAMILY COMPANY
• Mradi huu unahusisha usafirishaji wa abiria
binafsi ndani ya jiji la mwanza kupitia magari
binafsi kwa kutumia mfumo wa TAXIFY
• Lengo la mradi huu ni kutengeneza faida ndani
ya kampuni ya familia ili kuweza kujikimu na
kuendeleza familia kwa ujumla
MAHITAJI YA MRADI HUU
• MTAJI KWA MAKADILIO NI 50 MILIONI
• MAGARI YA KUANZIA HUU MRADI KWA
MAKADILIO NI MAGARI MATANO
• ULIZI WA KUWEZA KUTRUCK MIENENDO YA
MAGARI HAYA
• MADEREVA WAAMINIFU NA WANAOJULIKANA
• UONGOZI WA KUFUATILIA MRADI HUU
GHARAMA ZA MAGARI
PAMOJA NA USAJIRI

• AINA YA MAGARI YANAYOJITAJIKA PAMOJA NA


BEI ZAKE;
• RACRIS - 8 millioni
• IST - 11 millioni
• VITS – 9 millioni
• Idadi ya magari yanayo hitajika kwa ajiri ya
mradi huu;
• IST – MOJA
• VITS – MBILI
• RACTIS – MBILI
• Jumla ya gari zinazo hitajika ni TANO
MTAJI WA MRADI HUU

• Kwa makadilio ya gharama za kuendesha


mradi huu mpaka magari yaanze kufanya kazi
ya kuendesha mradi huu ni Shilingi MILIONI 50
UTENDAJI KAZI NA MAKADILIO YA FAIDA YA
HUU MRADI
• Magari yanatakiwa kukabidhiwa kwa madereva makini
watakao kuwa tayari kufanya kazi chini ya mikataba ya
kampuni yetu
• Kila dereva anakadiliwa kuleta hesabu ya shilingi 20,000
• Ambayo jumla kwa madereva wote ni shilingi 100,000
kwa siku
• Makadilio ya mapato kwa mwaka yatakua kati ya 33
milioni mpaka 36 milioni
• Ambapo tutakua na uwezo wa kuongeza magari matatu
na pesa nyingine ikaingia kwenye akaunti ya kampuni

You might also like