You are on page 1of 55

KKKT: USHARIKA WA HIGHLAND

MPANGO MKAKATI
NA
BAJETI YA UTEKELEZAJI
Christ Rabbon Ministries
Alpha Nsaghurwe

1
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

Sehemu ya Kwanza
Nini Maana ya
MPANGO MKAKATI?
2
Mpango Mkakati
• Ni hatua ya kuyaweka malengo ama
makusudi katika utekelezaji ambao
unaweza kufikika na kupimika kwa
habari ya muda
• Mpango Mkakati: Ni mfumo wa
kimaandishi unaoonesha kazi
zinazotakiwa kufanywa na hatua
mbalimbali za kufikia malengo
yaliyowekwa kwa muda maalumu.
3
Vigezo vina vya mpango mkakati
• Dira (Vision)

• Dhima (Mission)

• Malengo/Makusudi (Objectives)

• Mikakati (Strategies)

• Mbinu za utekelezaji (Tactics)


4
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

Njozi (Vision)
Na
Utume (Mission)

5
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

Dira (Vision)
Kuongoza katika kupeleka
Injili ya Yesu Kristo
kwa mataifa yote.
6
HUDUMA YA UONGOZI WA KANISA

DIRA YA KANISA
HUDUMA YA MZEE WA KANISA

DIRA YA KANISA
Ili Kanisa liweze kufanya kwa
thamani yake, wito wake na
kufanikiwa, lazima lizingatie
mambo yafuatayo;
HUDUMA YA UONGOZI WA KANISA

DIRA YA KANISA
1. Church Purpose (Kusudi)
2. Church Plans (Mikakati)
3. Church Policies (Sera)
4. Church Potential (Uwezo)
5. Church Personel (Watumishi)
6. Church Perfection (Mafanikio)
7. Church Purity (Ubora)
HUDUMA YA UONGOZI WA KANISA

DIRA YA KANISA
Kutokana na muda tutaangalia mambo
yafuatayo kati ya 7
1. Church Purpose (Kusudi)
2. Church Plans (Mikakati)
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
1. Church Purpose (Kusudi)
Kanisa haliwezi kuwepo na kuishi
tu bila kuzingatia kwamba, hizo
shughuli zake nyingi, zinaelekeza
kutimizwa kwa KUSUDI lake
kama Mungu alivyotaka?
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
1. Church Purpose (Kusudi)
“Wear and Tear” ya shughuli za
Kanisa, lazima itathmini kwamba,
hizo shughuli zake nyingi,
zinaelekeza kutimizwa kwa
KUSUDI la Mungu kwa Kanisa.
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
1.Church Purpose (Kusudi)
2.Church Plans (Mipango)
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);
Kanisa haliwezi kutimiza KUSUDI
lake, bila kuwa na MIPANGO
madhubuti, inayotekelezeka na
hatimaye KUSUDI la Mungu
kutimizwa duniani au ktk jamii.
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);
“Ninaijua MIPANGO (mawazo)
ninayowawazia ninyi; ni mipango
(mawazo) ya kuwapa amani na
matumaini (mafanikio) katika siku
za mwisho.” (Yer 29:11)
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);
Kama Mungu wetu ni Mungu wa
MIPANGO, Kanisa haliwezi
kutimiza KUSUDI lake, bila kuwa
na MIPANGO madhubuti, tena
inayotekelezeka.
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);

Mipango ya Muda Mrefu


Mipango ya Muda Mfupi
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);

Mipango ya Muda Mrefu


Miaka Mitano
(2014-2018)
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);

Mipango ya Muda Mfupi


Mwaka Mmoja
(2015)
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);
Kama Mungu wetu ni Mungu wa
MIPANGO, Kanisa haliwezi
kutimiza KUSUDI lake, bila kuwa
na MIPANGO madhubuti, tena
inayotekelezeka.
HUDUMA YA MZEE WA KANISA
DIRA YA KANISA
2. Church Plans (Mipango);
Kanisa haliwezi kutimiza KUSUDI
lake, bila kuwa na MIPANGO
madhubuti, inayotekelezeka na
hatimaye KUSUDI la Mungu
kutimizwa duniani au ktk jamii.
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

Utume (Mission)
Kujitoa kwa kueneza
Injili ya Yesu Kristo na
kuhudumia jamii kiroho na
kimwili.
22
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

MALENGO
Kuna aina 2 za malengo
1. MALENGO MAHSUSI
2. MALENGO YA JUMLA
23
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

MALENGO MAHSUSI YA
MPANGO MKAKATI

24
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

MALENGO MAHSUSI
1. Kuwasaidia 50% ya wamama
wajane kujikwamua kiuchumi
ifikapo Dec 2018

25
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

MALENGO MAHSUSI
2. Kukamilisha ujenzi wa jengo la
watoto ifikapo Juni 2015

26
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

MALENGO MAHSUSI
3. Kuikuza faragha ya usharika
kufikia washarika 200 ifikapo
Julai 2015
27
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

MALENGO MAHSUSI
Group work 01
 Kila kamati iorodheshe
malengo yake (Muda mfupi na
Mrefu)
28
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

UCHAMBUZI YAKINIFU
WA NDANI YA TAASISI

29
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

1. UCHAMBUZI YAKINIFU
WA NDANI YA TAASISI
 Nguvu ya Kanisa
 Udhaifu wa Kanisa
 Fursa za Kanisa
 Matishio kwa Kanisa
30
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

1. UCHAMBUZI YAKINIFU
1.1 NGUVU YA KANISA

 Waumini wenye kujitoa sana


 Ushirikiano mzuri na Taasisi zingine

31
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

1. UCHAMBUZI YAKINIFU
1.2 MADHAIFU YA KANISA
 Utawala na menejimenti dhaifu
 Kutotumia rasilimali ipasavyo
 Maendeleo ya taratibu ya kiroho
 Ukosefu wa utaalamu wa kutosha
 Utegemezi wa kiuchumi
32
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

1. UCHAMBUZI YAKINIFU
1.3 FURSA ZA KANISA
 Rasilimali watu
 Maeneo mazuri kijiografia
 Mahusiano mazuri na wegine
 Rasilimali vitu/mali ghafi
 Miundo mbinu mizuri
33
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

1. UCHAMBUZI YAKINIFU
1.4 MATISHIO KWA KANISA
 Kuibuka kwa madhehebu
 Mmomonyoko wa maadili
 Kukimbiwa na wataalamu
 Kuporomoka kiuchumi
 Mlipuko wa magonjwa
34
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

1. UCHAMBUZI YAKINIFU
1.4 MATISHIO KWA KANISA
 Kuibuka kwa madhehebu
 Mmomonyoko wa maadili
 Kukimbiwa na wataalamu
 Kuporomoka kiuchumi
 Mlipuko wa magonjwa
35
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

I. MPANGO MKAKATI

UCHAMBUZI YAKINIFU
WA NJE YA TAASISI

36
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

2. UCHAMBUZI YAKINIFU
WA NJE YA TAASISI
 Hali ya Kisiasa
 Hali ya Kiuchumi
 Hali ya Kijamii
 Hali ya Kiteknolojia
37
UMUHIMU WA KUWA NA
M/MKAKATI
• Mara nyingi ufanisi wa utekelezaji huwa mzuri

• Inaweka mpangilio mzuri wa matumizi ya rasilimali.

• Inasaidia kuratibu kazi zote ili kufikia lengo.

• Inasaidia kuweka vipaumbele

• Kutekeleza kwa muda uliokusudiwa


• Inasaidia katika ugawaji wa majukumu na dhamana
miongoni mwa wanachama.
38
UMUHIMU WA KUWA NA
M/MKAKATI
• Inasaidia kutoendeshwa na matakwa ya wafadhili

• Inatoa mwelekeo wa jumuiya na kuonyesha njia

• Inaonesha shughuli / kazi kuu za jumuiya


• Inasaidia kujua nyenzo zinazohitajika na hivyo
kuchukua jitihada ya kuzitafuta.
• Inasaidia kutathimini kama lengo la jumuiya
limefanikiwa au halikufanikiwa kwa muda uliopangwa .

39
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

Sehemu ya Pili
BAJETI YA
UTEKELEZAJI
40
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI
II. BAJETI YA UTEKELEZAJI

Bajeti ni nini?

41
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI
II. BAJETI YA UTEKELEZAJI
Maana ya bajeti;
Bajeti ni mpango wa matumizi ya
fedha kwa ajili utekelezaji wa
shughuli za kimkakati,
zilizopangwa ili kutimiza
malengo na makusudi maalum
ya taasisi/mtu 42
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

Maono

Utekelezaji Mipango

Bajeti
43
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

Maono
Makusudi
Utekelezaji Mipango Mikakati

Shughuli

Bajeti
44
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

Mfano: Mpango Kazi wa Mradi


(Ujenzi wa Kanisa jipya)
Lengo - Goal/Purpose
Mkakati - Strategic Objective
Shughuli - Activity
Kazi - Task
Bajeti - Budget 45
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI
Lengo: Kuinua uchumi wa umoja wa Vijana
1. Mkakati; Kuelimisha vijana juu ya ujasiriamali
Shughuli Mhusika Muda

i
ii
2. Mkakati; Kuanzisha mradi wa kalenda
Shughuli Mhusika Muda

i
ii 46
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

II. BAJETI YA UTEKELEZAJI

MIKAKATI KWA KILA LENGO


Group work 02
 Kila kamati iorodheshe
mikakati kwa kila lengo
47
MPANGO KAZI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI
Mkakati: Kuelimisha vijana juu ya ujasiriamali…
1. Shughuli; Kuandaa semina za ndani za ujasiriamali
Kazi Wakati Mhusika Makisio Chanzo

i
ii
2. Shughuli; Kutembelea vikundi vya ujasiriamali
Kazi Wakati Mhusika Makisio Chanzo

i
ii 48
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

II. BAJETI YA UTEKELEZAJI

SHUGHULI YA KILA MKAKATI


Group work 03
 Kila kamati iorodheshe shughuli
za kufanya ili kutekeleza
mkakati husika
49
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

Bajeti !

50
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI
II. BAJETI YA UTEKELEZAJI
Maana ya bajeti;
Bajeti ni mpango wa matumizi ya
fedha kwa ajili utekelezaji wa
shughuli za kimkakati,
zilizopangwa ili kutimiza
malengo na makusudi maalum
ya taasisi/mtu 51
BAJETI YA UTEKELEZAJI
Mkakati: Kuelimisha vijana juu ya ujasiriamali
1. Shughuli; Kuandaa semina za ndani Mhusika
Kitu Bei - Moja Idadi Jumla

i. Walimu 50,000 2 100,000


ii. Barua 1,000 2 2,000
2. Shughuli; Kutembelea wajasiriamali Mhusika
i.
ii.
Jumla Kuu
52
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI

II. BAJETI YA UTEKELEZAJI

BAJETI YA KILA MKAKATI


Group work 04
 Kila kamati iorodheshe bajeti
ili kutekeleza mkakati husika
53
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI
II. BAJETI YA UTEKELEZAJI

Asanteni Sana !

54
MPANGO MKAKATI NA BAJETI YA UTEKELEZAJI
II. BAJETI YA UTEKELEZAJI

Mwisho !

55

You might also like