You are on page 1of 13

SIMULIZI ZA MKASA WA AJALI YA KILIMANJARO; MPAKA LINI WAHUSIKA WATAENDELEA KUKINGIWA KIFUA?

MPAKA LINI MCHEZO HUU WAKUENDELEA KUUWANA UTAKOMA !!! Ajali hii ya Kilimanjaro II ya tarehe 5/1/2014 ni ya tatu kubwa katika kipindi kisichozidi miaka miwili iliopita ajali ambazo kwa ujumla wake zimesababisha !i"o !ya watu na kubakisha mayatima wajane na upweke usiomithilika katika nyoyo za wananchi wa #n$uja na %emba& Ilikuwa majira ya saa 5' 42 nilipopata taari"a ya Ajali ya Kilimanjaro ii kutoka Kwa m"anyakazi mwenzan$u wa (hirika la )ima la *anzibar kwamba meli hiyo imezama ikitokea %emba& +ilipewa taari"a hii kwa sababu miaka miwili iliyopita Aon ,anzania -imited kwa kushirikiana na (hirika la )ima la *anzibar na mashirika men$ine tulikuwa tukizikatia baadhi ya )ima za .eli za Kampuni ya Azam .arine& Kama kawaida nilii"anyia kazi taari"a hii kwa kumuuliza mdo$o wan$u amabae naye ni mmoja wa nahodha mzoe"u wa meli& +ilikuwa na uhakika atakuwa ameshapata taari"a hizo& +aam alinijibu kuwa amepata taari"a hizo ila meli haikuwa imezama ilipata hitila"u katika moja ya injin zake na ime"ika salama katika bandari ya #n$uja& ,aari"a hizi yeye alizipata baada ya kuon$ea na +ahodha mwenzake )wana +assor Aboubakar ambae ndie aliekuwa +ahodha wa sa"ari hiyo& (ikuridhika moja kwa moja na jibu hili kwa hi!yo nilimpi$ia mtu mwen$ine ili anipe taari"a zaidi& +ilimpi$ia )wana Abdallah /amad0.a$arawa1 mkaazi wa mjini *anzibar& Abdallah wakati huo alikuwa tayari bandarini kwani ndu$u zake wanne walikuwa wanatarajiwa kurudi kutoka %emba na meli hiyo na alishapata habari za meli hiyo tan$u saa nne ya asubuhi& .ajibu ya Abdallah ni kuwa meli ilipata msukosoko na ilimwa$a baadhi ya abiria ambao walikuwa wamekaa sehemu ya mbele& .toto mmoja kati ya wanne alishapatikana akiwa hai ila alieleza kwamba wenzake aliwaona wakichukuliwa na maji& )aba wa watoto hao )w Khamis Issa kwa wakati huo alikuwa ndani ya meli akijaribu kuwasaka ili kupata uhakika wa kilichotokea&

2akika tatu baadae nilipi$iwa simu nyen$ine kutoka %emba na )wana (ei" Alawi akinipa taari"a ya mkasa huo& 3eye bila ya ki$u$umizi aliniambia kuwa watoto watatu kati ya wanne waliokuwa sehemu ya mbele ya abiria wamezama na hakuna dalili za kuokolewa& +adhani alikuwa anaelewa "ika udhai"u wa taasisi zetu katika kupambana na maa"a& /uwa tuko 4reacti!e5 badala ya kuwa 4proacti!e5& 0Kwa aina hii ya kupambana na majan$a tute$emea !ilio na maa"a makubwa zaidi ya haya siku chache zijazo1& )aada ya baba ya watoto hao ku"anya uka$uzi wa abiria hakuweza kuwaona watoto wake watatu kati ya wanne na hakukuwa na maelezo wako wapi kutoka kwa wa"anyakazi wa kwenye meli wala o"isi ya mmiliki wa meli&

BANDARINI ZANZIBAR: ABIRIA: .ara baada ya meli kutia nan$a abiria waliruhusiwa kushuka kama !ile hakuna kitu chochote kilichotokea& Abiria walio"ika salama waliruhusiwa kwenda makwao kama utaratibu wa kawaida& Kuna baadhi ya abiria wachache ambao walipata majeraha

waliachwa waki$ara$ara kwenye ukumbi wa kupumzikia abiria bila ya huduma ya kwanza& 6ananchi ambao wen$i wao walipata taari"a hizi kupitia simu zao za mikononi walikusanyika bandarin bila ya kujua wapi watapata taari"a za jamaa zao walio"ika salama na wale waliopotea& Ilikuwa ni hamkani& Kulikuwa na zaidi ya "amilia 17 ndani ya bandari na wen$i zaidi walikuwa nje wakisubiri kupata taari"a za ajali na jamaa zao&

KIKAO KIDOGO BANDARINI )ahati nzuri )wana Abdallah .a$arawa .r .asoud wa .ellenium )eka .a$arawa na Khamis Issa 0baba wa watoto wanne waliokuwa wakisa"iri1 na baadhi ya watu kwa idadi kama watano ambao nao walikuwa mion$oni mwa waliopotelewa walibahatika kuwa baadhi ya wananchi walioin$ia ndani ya bandari na kutoa taari"a ya kupotelewa na ndu$u zao& Kikao hicho hakuruhusiwa mwandishi wa habari wala mpi$a picha yoyote kuin$ia& /izi zilikuwa ni dalili tosha kuwa hakukuwa na uwazi katika kutoa taari"a na mambo yalikuwa yaki"unikwa "unikwa tu hatujui kwa niaba ya nini serikali mmiliki wa meli au wananchi& +i "edheha kubwa kuelezea kilichotokea ndani ya kikao hicho& 6atu wen$ine na

waliokuwa ndani ya Kikao ukiachlilia mbali tuliowataja hapo juu ni pamoja

.heshimiwa Aboubakar Khamis 6aziri wa Katiba na (heria wa (erikali ya .apinduzi ya *anzibar akiwa na )wana mmoja mwenye asili ya ,anzania bara ambae jina lake hatukulitambuwa ndio waliokitawala kikao hicho& Alikuwepo +ahodha 8hie" 9n$ineer .wakilishi wa mwenye meli )wana Abdulrazak .kuru$enzi wa )andari bwana Abdi .wakilishi wa:eshi la %olisi bandari& Kikao kili$ubikwa na dharau kebehi bezo na inda kwa wamiliki wa chombo +ahodha na .heshimiwa Aboubakar wote wakiwa na msimamo mmoja tu kuwa meli haikumwa$a abiria hata mmoja ni mizi$o tu ndio iliyoan$uka baharini& :awabu lao wakati watu wakilalamika lilikuwa moja tu 4bado hamjaturidhisha hamjatushawishi na hatujaawamini huku +ahodha akizidi kushikilia msimamo wake kuwa mizi$o tu ndio iliomwa$ika& :azba ilitawala kwa upande wa waliopotelewa na ndu$u zao wakitaka wapewe maelezo ya ziada ya walipo wapendwa wao ikiwa meli haikumwa$a abiria& 6aliwaona wenzao wakilichukulia hili jambo kama mzaha& +i kweli halikupewa na"asi yake iliyostahili +i dhahir +ahodha alikuwa ametoa taari"a ya uon$o /uku akiwa chini ya mwe!uli wa .heshimiwa Aboubabakar& +dipo baadae tulipo$unduwa kuwa +ahodha ni mtoto wa Aboubakar na alikuwa pale mahsusi kuja kumuhami mwanawe na sio kuwa"anyia :eshi la 6ananchi na watendaji wen$ine washirika la

uadili"u wananchi& Kulikuwa na m$on$ano wa kimaslahi na mezani ilian$ukia upande wa pili& 2amu nzito kuliko maji& /ii ilikuwa chan$amoto kubwa kwani kulikuwa na maelezo ya abiria kuwa watu wamezama ila abiria walio"ika salama waliharakishwa waondoke sehemu ya bandari& 0kuna clip ya abiria aliepona shuhuda ya dakika 4'271 )aada ya mabishano ya takriban saa moja waathiriwa waliomba wenye meli basi an$alau wawasaidie majeruhi kuwapeleka hospital na kama bado msimamo wao ni kuwa abiria hawakuzama waelekee .kokotoni kujiridhisha& +asema kwa shin$o upande .heshimiwa Aboubakar +ahodha Kampuni ya Azam marine na serekali walikubali wazo hili na kila mmoja aliyekuwepo .kokotoni& TAFSIRI YA WAATHIRIKA NA JAMII ZAO (erikali kwa upande wake haiku"anya juhudi zozote za uokozi au kuzi"anyia kazi taari"a hizi hata punje& 6aziri wa .awasiliano kwa kauli yake mwenyewe alipokuja kuwahani wa"iwa siku ya :umanne tarehe 7/1/2014 alikiri kuwa walipata taari"a juu ya ajali hii kabla ya saa nne 0;';0 < 4'001 jee tumuulize baina ya saa nne hadi saa = jioni walipookolewa abiria watatu na maiti mbili zilipookolewa ' Serikali ilikuwa wapi na ilifanya nini katika juhudi za uokozi na uopoaje wa maiti? Mmiliki wa meli wajibu wake ni nini baada ya ajali? na kwa na"asi yake walielekea

SAFARI YA KUELEKEA MKOKOTONI .ara baada ya mkutano ambao haukuzaa jambo lolote la maana baada ya kuto"autiana kimsimamo baina ya 6amiliki wa chombo na (erikali kwa upande mmoja na waathirika kwa upande mwen$ine wamiliki kwa upande wao walishikilia kuwa hakuna abiria waliozama na waathirika kwa upande wao msimamo wao ulikuwa meli ilimwa$a abiria sa"ari ya kuelekea .kokotoni ilianza& Kwenye majira ya saa 10 jioni tulipata taari"a kuwa kuna abiria watatu wameokolewa na maiti mbili za watoto zimepatikana& Abiria watatu waliokololewa wanaitwa )wana +ahir

Ali Issa Ali .aulid /aji na Ally (alum Alli & /awa wote watatu walikuwa na ujuzi mkubwa wa kuo$elewa na Allah aliamua kuwahi"adhi waje wawe mashahidi kwa kilichotokea kwa wale tu waliopenda kusikia ukweli wa kisa hichi na wale waliokuwa wakiikadhibisha kweli kwa maslahi bina"si& 6anasimulia jinsi wali!yojiokoa na wali!yojitahidi kuwasaidia abiria wen$ine& (imulizi za kusikitisha baharini na !isa ndani ya meli nita!iacha kwa sasa& KUTAMBUA MAITI HOSPITALI YA KIVUNGE ,ulipata taari"a moja ya maiti iliyoopolewa ilikuwa ni ile ya mtoto mkubwa wa kiume wa )wana Khamis Issa wa umri wa miaka 11 Akram Khamis Issa& 3eye alitambuliwa na kaka yake& ,ukiwa tunaelekea Ki!un$e tulipata taari"a ya kuwa kuna maiti nyen$ine ya mtoto wa )wana Khamis Issa imepatikana hii ilikuwa ni ile ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 10 +ashirah Khamis Issa& /ospitali ya ki!un$e kulikuwa na maiti tano nne kati ya hizo zilitambuliwa na moja haikuweza kutambuliwa& ,ulichukua maiti zetu mbili ila wenzetu wen$ine walipatwa na "adhaa nyen$ine hawakuwa na usa"iri wala uwezo wakuchukua maiti zao kwa wakati huo& 8hakusikitisha zaidi hakukuwa na mtu wa serikali au mmiliki wa chombo wa kuweza kuokoa jahazi& Kazi ikaachwa kwa uon$ozi wa /ospital 4ku"anya maari"a5 ya kuwasaidia wa"iwa& -azima niupon$eze uon$ozi wa /ospital ya Ki!un$e kwa umahiri wao mkubwa katika kuwahudumia maiti na wale waliokuja kuchukua maiti zao& %amoja na kuwa hawakuwa na rasilimali 0resources1 ila juhudi zao zili"icha udhai"u wao& 6akati serikali ikishindwa kuwasaidia wananchi an$alau kuchukua maiti zao kulikuwa na watu wakipita wakikataza taari"a za maa"a zisitoke / zisisambae kwanini juhudi hizi za kuchuja taari"a zisitumike kwa mambo mazuri 0resources should ha!e been used in $ood course instead1 kama za uokozi na kusaidia wa"iwa an$alau kuchukua maiti zao kwenda kuzihi"adhi> MAZISHI BILA YA MWAKILISHI WA SERIKALI AU MMILIKI WA CHOMBO Kwa bahati mbaya sana nilihamia ,anzania )ara zaidi ya miaka 25 iliyopita ila niliamini kwenye misiba ya namna hii serikali na mmiliki wa chombo siku zote huwa wako mbele

katika kuwa"ariji wa"iwa alau kwa kuja kutoa pole kama si kushiriki mazishi kabisa& /uu ndio ustaarabu wa *anzibar niliouzoea& /akukuwa na hata mmoja wapo kwa siku hiyo na siku iliyo"uata& .aiti zile mbili zilizikwa siku hiyo yatukio usiku saa nne na nusu& (iku ya pili tulihamia tena +un$wi kwa ajili ya kutambua maiti iliyobaki endapo zitapatikana& ,ulikutana karibu "amilia tano hospital ya Ki!un$e lakini hakuna maiti iliyopatikana siku hiyo na hakukuwa na mtu yeyote wa serikalini aliyekuja kutoa maelekezo nini kinacho"uata kwa wale waliokuwa hawakuona jamaa zao& .ambo yaliishia hi!yo hi!yo kimya kimya& /atuku"anikiwa kupata maiti ya mtoto mmoja wa kiume wa miaka 5& KUTEMBELEWA NA WAZIRI WA MAWASILIANO NA MAKAMO WA PILI WA RAIS ,unashukuru siku ya tatu tulipata na"asi ya kutembelewa na 6aziri wa .awasiliano ambae alitoa udhuru kuwa alikuwa m$onjwa ila nayeye alitamani ashiriki kwenye mazishi& #dhuru wake ulikubaliwa& .akamo wa ?ais alikuja kuwapa pole wa"iwa siku ya :umamosi& AJALI IMEACHA MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU 1& ,ulite$emea serikali ichukue hatua mua"aka na za haraka 0response time1 mara baada ya kupata taari"a za ajali& ,aari"a zilipatikana mapema kabla ya saa nne hatua zilianza kuchukuliwa baada ya saa saba na baada ya waathirika kuan$usha zo$o bandarini hiyo dharura iko wapi hapo> ,unakubali +ahodha alitoa taari"a za uon$o ila serikali iliwajibika !ipi> Kwa maoni yan$u bina"si na mtu yeyote mwenye busara za kawaida tu hi!i si!yo serikali iliyo makini ina!yoshu$hulikia majan$a& 2& +adhani moja ya kazi ya orodha ya abiria wanaopanda meli ni kulin$anisha na abiria wanaoshuka hasa meli inapokuwa imekumbwa na mikasa ya namna hii& Kwa sababu kulikuwa na muda wa kutosha kati ya +un$wi na bandari ya #n$uja tulite$emea mara meli baada ku"un$a nan$a mao"isa wa meli bandari na idara zinazohusika wachukue orodha ya abiria wote walioshuka& /ii kwa kulin$anisha na orodha ya abiria waliopanda tun$ejua mambo ya"uatayo' .h (ei" (hari" /amad yeye

Abiria walio"ika salama Abiria waliopanda meli ambao hawamo kwenye orodha ikiwa "ursa nzuri ya kuwauliza walipandaje kwenye meli 0ama walitumia majina ya watu wen$ine au walipandishwa na mabaharia kinyemela/ kienyeji1 Abiria ambao hawaku"ika salama

Abiria ambao wasin$ehesabika ni wale tu ambao hawamo kwenye orodha na hawakupanda meli kisheria& +adhani hawa idadi yao itakuwa ni ndo$o& /ili naamini lin$e"anyika lin$etoa mwan$a wa kutosha jinsi ya kuweka takwimu za abiria& /ili haliku"anyika& S !"# "#$!%&'! ()(*+! ,! !-!.#)# %!/# ,!%0 $# $#$#? ;& ,ulite$emea kuona an$alau watu wa huduma ya kwanza pale bandarini kuwasaidia waliopata mshituko na walioumia& Kilichotokea hakukuwa na hata mtu mmoja wa huduma ya kwanza& .heshimiwa Aboubakar na wanzake waliekwa ukumbi wa watu mashuhuri 0@I% -oun$e1 wakinywa kahawa na tende wakati waathirika wakihan$aika jinsi ya kupata maiti zao na taari"a za ndu$u zao& 4& .imi nilite$emea serikali in$eratibu utaratibu wa wale wasiojiweza kuchukua au kushu$hulikia kuta"uta maiti zao an$alau kwa kuwapatia usa"iri badala ya kuwatelekeza kila mtu 4atoke5 ki!yake !yake& 6aathirika walisononeka sana& .tu hukuwa na haja ya kuwa na %/2 kujua walisoneneka kwa kiasi $ani ukian$alia tu nyuso zao zilitosha kuona wana"adhaa ya kiwan$o $ani 5& .imi siamini kama ule ustaarabu wa chini ya miaka ya mpaka 1=A0Bs wa ku"arijiana umekwisha na #n$uja imekuwa kubwa kiasi ambacho kwamba mwenye meli hadi leo hajapata taari"a kuwa meli yake imeua& +ilite$emea kumona siku ya pili ya msiba 0sio lazima yeye najua anawawakilishi wake1& +imeshan$aa kupewa jibu 4eti5 hana taari"a mbin$uni> C& Kwa muundo wa meli zote sehemu ya dere!a 0brid$e1 huwa juu ili kuona mbele& (uala linakuja ikiwa abiria waliomwa$ika walikuwa mbele je nahodha alikuwa anaan$alia wapi>& +a je Kilimanjaro 2 haina ukubwa wa ,I,A+I8 wala DA(I( ni meli ndo$o :e inain$ia akilini kuwa +ahodha asione mbele ya boti Kinachotokea> /i!i inawezekana dere!a wa $ari asione kinacho mwa$ika :uu ya kioo au )onet ya $ari yake>& Kwa waliowahi kusa"iri kwa boti hizi naomba anate$emea taari"a zitoke

tuaan$alie muundo kisha ,uyajibu masuala hayo& 8hie" 9n$inee A) 0Able (eaman1

+aambiwa kwenye chumba

cha +ahodha kwa kawaida hukaa watu wanne kwa kupokezana ama +ahodha 9n$ine ?oom Dutlook A"isa wa zamu nakadhalika& /ebu tuambiwe wakati meli inachota maji hadi inamwa$a abiria nani na nani walikuwa kwenye hicho chumba> /apo naweza nikakubali kuwa hawakuona watu wakimwa$a kwa sababu hakukuwa na mtuE 7& (uala kubwa linakuja hapa& :e .h Abuubakar kwanini ali"ika mapema sana mara baada ya tukio> Alipata wapi taari"a za tukio> :e alikuja pale kwa maslahi ya nani> Au ndio ule msemo wa 4"unika kombe mwanaharamu apite>& MWISHO: +in$ependa kumalizia kwa mambo mawili ya"uatayo' ,umeshaona ajali tatu kubwa katika kipindi cha miaka miwili na tutaendelea kuona nyen$ine nyin$i katika kipindi ki"upi kijacho jee tumeji"unza nini kutokana na ajali hizi> Au tutaishia kuunda tume tu na kuziweka taari"a kwenye makabrasha zikiota mwani na shi$iwashi> )ado nashindwa kuamini hizi aina za meli zinazotoa huduma za kwenda %emba kama zina uwezo wa kuhimili pilikapilika za mkondo wa +un$wi& Kumbukumbu zan$u za .@ A"rika na :amhuri baadae .@ .apindizi na .aendeleo sikupata kusikia au kuona dhahma za namna hii pamoja na meli hizo kuwa zimechakaa sana& +aamini hizi meli za kisasa ziko kwa ajili ya kipato zaidi au maslahi kwa wamiliki na serikali kuliko usalama na huduma kwa wananchi& %ia nina wasiwasi na +ahodha mabaharia na masarahan$e kama huwa wana ujuzi na uzoe"u wa kutosha wa bahari& /aiyumkiniki mara baada ya ajali mabaharia wawe wa kwanza ku!aa !i"aa !ya uokozi wakiwaacha abiria wakihan$aika& +a hata meli ilipo"ika lile tishio la +ahodha la kuwa eti hata tia nan$a hadi abiria wa!ue !i"aa !ya uokozi ni tukio la kuhudhunisha zaidi& (awa hii ilikuwa ni kwa ajili ya kujihami& /i!i lipo kwenye muhtasari somo la maadili ya kazi za ubaharia> (idhaniE /ili sina utaalamu nalo hata kido$o& ,uwaachie wataalamu walichambue&

Kwa kumalizia nisin$ependa kuwa mwizi wa "adhila kwa serikali yan$u ya .apinduzi naipon$eza kwa kutimiza .iaka /amsini sawa na #mri wan$u& +aamini baada ya sherehe serikali sasa itakuwa imeshika na"asi yake na kuanza kushu$hulikia matatizo na kero za wananchi nikiamini na hili lipo katika dondoo zake MAPINDUZI DAIMA

Khamis (uleiman .saidizi wa Kion$ozi wa wa"iwa 0Khamis Issa F (hari"a Abdallah1 Mwandishi ni mzaliwa wa Zanzibar na alipata elimu yake ya msingi na upili Zanzibar kabla ya kuhamia Tanzania bara baada ya kumaliza elimu yake ya juu. Ana uzoefu wa Bima za mali za ajali wa takriban miaka 30 na amejikita zaidi kwenye Bima za Meli na Mizigo

You might also like