TAMKO LA SERIKALI KUHUSU UENDESHAJI WA WAKALA BINAFSI WA HUDUMA ZA AJIRA NCHINI 1. Tarehe 27/1/2014, Wazii !a Kazi "a A#ia, Bi$i %a&'(")ia Ka$a*a alitoa Tamko la Serikali kuhusu uendeshaji wa Wakala Binafsi wa Huduma za Ajira nchini. Hii ilitokana na Wizara kupokea malalamiko toka kwa Wadau mbali mbali kuhusu utaratibu wa udalali wa kukodisha Wafanakazi katka !akampuni unaofanwa na baadhi a Wakala Binafsi wa huduma za Ajira nchini. ". Aidha,Wizara ilielekeza Wa*a+a !a H&'&,a za A#ia nchini watapaswa kuwasilisha katika kipindi cha !wezi mmoja barua za maombi a #sajili wa #wakala kwa KAMISHNA WA KAZI kwa mujibu wa sheria a H&'&,a za A#ia Na-. /a ,!a*a 1...01&a 242 *a,a i+i3/4(#(!a ,!a*a20025 ili waweze kufana shu$huli za #wakala wa Huduma za Ajira kisheria. %. Tarehe 2/04/2014 Wizara ilion$eza muda wa usajili kwa ,i(zi 2 kuanzia tarehe 26/02/2014,hii ilitokana na maombi a !awakala wa Ajira kuomba kuon$ezewa muda ili kukamilisha taratibu za usajili. &. 'atika kushu$hulikia suala hili la #sajili,Wizara imeandaa kanuni chini a S7(ia /a U*&za#i !a 7&'&,a za A#ia Na-. /a ,!a*a 1... na kutan$azwa kupitia tan$azo la $azeti la Serikali Na-222 la tarehe 11J&+ai 2014. 'wa mujibu wa kanuni hizi 'ampuni au Wakala zinazoomba #sajili zinapaswa kuleta taarifa zifuatazo( 'atiba a uendeshaji na usimamizi wa shu$huli za kampuni au Wakala )M(,4a"'&,8A)i9+(1 4: A1149i)i4"*. Hati a usajili wa kampuni )C()i:i9a)( 4: i"94;4a)i4"*. +eseni a Biashara)B&1i"(11 Li9("1(*. ,amba a usajili wa mlipa kodi )Ta< i'(")i:i9a)i4" N&,$(*. Wasifu wa 'ampuni au Wakala pamoja na ujuzi na uzoefu wa wataalamu au watumishi katika uendeshaji wa huduma za ajira)C4,;a"/ ;4:i+(5= #thibitisho wa 'ampuni au Wakala kama analipa kodi kwa mujibu wa taratibu)T7( 9&(") )a< 9+(aa"9( +())( :4, D4,(1)i9 (3("&(/+a>( )a< ;a/(1 '(;a),(")* Anuani kamili a makazi)?(,a"(") ;7/1i9a+ 94,;a"/ a''(11* n.k. Wizaa ilizitumia taarifa hizi katika upekuzi,ufuatiliaji,uka$uzi na utoaji uamuzi sahihi juu a utoaji -ibali -a uendeshaji wa huduma za ajira nchini. 1 .. Hadi kufikia tarehe 20/06/2014 maombi a #sajili apatao 67 aliwasilishwa kwa KAMISHNA WA KAZI. !akampuni apatao @1 amekidhi -i$ezo na amepatiwa #sajili kwa kipindi cha mwaka mmoja)O4'7a /a Ma*a,;&"i i,(a,$a)a"i17!a5= !akampuni aliosalia 2A haajapata #sajili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutokidhi -i$ezo na kukosa naraka muhimu. 'ampuni au Wakala oote ambae hajapata #sajili hatoruhusiwa kufana kazi a #wakala binafsi wa huduma za Ajira. /. Wizara a 'azi na Ajira inasisitiza kwamba( i. 0Wakala Binafsi wa Huduma za Ajira1 inajumuisha !tu binafsi, 'ampuni,Taasisi au chombo chochote kinachotoa huduma a kuun$anisha watafuta kazi na waajiri pasipo wakala wa huduma za ajira kuwa sehemu a mahusiano a kiajira anaoweza kujitokeza baina a watafuta kazi na Waajiri. 2ia, inajumuisha utoaji wa huduma zin$ine zinazohusiana na utafutaji kazi kama -ile kutoa ushauri nasaha wa ajira, kutoa taarifa za soko la ajira kwa watafuta kazi na waajiri. ii. 'wamba, ukodishaji wa huduma )4&)14&9i"> 4: 1(3i9(15 haujapi$wa marufuku bali kilichopi$wa marufuku ni ukodishwaji wa watu )4&)14&9i"> 4: ;(14"1*. Hi-o ni marufuku kwa Wakala wa huduma za Ajira kuajiri na kukodisha wafanakazi, au kuajiri kwa niaba a kampuni nin$ine na wakala hao kuwa sehemu a mahusiano a ajira anaoweza kujitokeza baina a watafuta kazi na Waajiri. 3. Aidha, !tu eote anaetaka kufana shu$huli za huduma za ajira hana budi kuzin$atia taratibu na kanuni chini a S7(ia /a K&*&za H&'&,a za A#ia Na= . /a 1...= IMETOLEWA RIDHIWAN=M=WEMA= MSEMAJI= WIZARA YA KAZI NA AJIRA= 06/0./2014 2