You are on page 1of 29

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI

BUNGENI MHE. MCH. PETER SIMON MSIGWA, (MB) AKIWASILISHA


BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA
MALIASILI NA UTALII, KWA MWAKA WA FEDHA 201!201"
(Inatolewa chini ya Kanuni ya 99(9) ya Kanuni za Kudumu za Bunge, 2013)
1.0 UTANGULIZI
M#$%#&'&() S*&+), Frank er!ert aliwahi ku"ema
#$tawala !ora, kamwe hautegemei %heria !ali "i&a !ina&"i za wale
wanaotawala' (yom!o )ya %erikali mara zote )i*o chini ya wale
wanaowaongoza' Kwa hiyo "i&a muhimu ya %erikali ni namna ya
kuteua+kuchagua )iongozi,
%erikali ya awamu ya nne, ime"hindwa kuwa-enga )iongozi wake katika
mi"ingi !ora na ndio maana *amo-a na matatizo ya kim&umo, wizara ya
.alia"ili na $talii imeendelea ku!adili"ha )iongozi na matokeo ya u&ani"i
wake yamekua ni kio-a na dhihaka katika utenda-i'
2.0 UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO 1, YA BUNGE
M#$%#&'&() S*&+), kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na
Mazingira ilileta Bungeni taarifa yake tarehe 20 Disemba 2013
liyowasilishwa na Mwenyekiti wake, Mhe. ames !embeli kuhusu
u"hunguzi wa matatizo katika utekeleza#i wa $%eresheni &okomeza
'#angili, iliyokua na maazimio kumi na sita (1)*. &aarifa hiyo ndiyo
iliyomuondoa aliyekua +aziri wa Maliasili na 'talii, Balozi ,hamis
,agasheki na mawaziri wengine.
1
M#$%#&'&() S*&+), mo#awa%o ya maazimio ya Bunge, yaliyoongezwa na
Mwanasheria Mkuu wa -erikali ni %amo#a kuundwa kwa &ume ya
'"hunguzi wa ,imahakama. Aidha, ni takribani miezi zaidi ya mitano ku%ita
tangu -erikali iahidi Desemba mwaka #ana, kuahidi, ku%itia kwa .ais wa
amhuri ya Muungano wa &anzania, kuunda tume maalumu ya
ku"hunguza kili"hotokea wakati wa $%eresheni &okomeza '#angili. ,atika
maku#ukumu yake, &ume hiyo ime%ewa kazi zifuatazo/
a* ,u"hunguza na kubaini $%eresheni &okomeza ili0yoendeshwa/
b* ,u"hunguza na kubaini iwa%o sheria, kanuni, taratibu na hadidu za
re#ea zilifuatwa na watu waliotekeleza o%eresheni hiyo.
"* ,u"hunguza na kubaini kama kuna mtu aliyekiuka sheria, taratibu na
hadidu za re#ea wakati wa o%eresheni/
d* ,u"hunguza na kubaini kama kuna watu ambao walikiuka sheria
yoyote wakati wa utekeleza#i wa o%eresheni hiyo na ku%ima kama
hatua zilizo"hukuliwa dhidi yao au mali zao zilikuwa stahiki/
e* ,u%endekeza hatua zozote zinazo%aswa ku"hukuliwa dhidi ya mtu
ambaye itabainika alikiuka sheria, taratibu na hadidu za re#ea %amo#a
na ku%endekeza mambo ya kuzingatiwa wakati wa kuandaa na
kutekeleza o%eresheni nyingine siku zi#azo ili kue%uka kasoro.
M#$%#&'&() S*&+), %amo#a na kuundwa kwa &ume hii lakini -erikali
haiku%aswa tena kui%a tume kazi m%ya katika maeneo yote bali yale
yaliyohita#i ushahidi wa ziada wa ki#inai, hii ni kwa sababu makosa
mengine yako wazi ambayo -erikali ili%aswa iwe imesha"hukua hatua
2
badala ya kusingizia inasubiri taarifa ya tume. ,ambi rasmi ya '%inzani
Bungeni, sasa inaitaka -erikali iwasilishe taarifa ya utekeleza#i wa
maazimio ya Bunge wakati wa Ma#umuisho ya Ba#eti ya +izara ili
maazimio ya Bunge hili yasiishie kabatini kama ili0yokuwa kwa mengine ya
miaka ya nyuma na ili0yozoeleka sasa.
2.1 U()-&.&%#()-& W) W)/$01)-& K2/3+)0) N) M))4&'&3 Y)
B205$
M#$%#&'&() S*&+), aidha katika azimio namba -aba (1*, Bunge liliazimia
%ia kumwa#ibisha Mkurugenzi wa +anyama%ori 2rof. Ale3ander -ongorwa
kwa kutoa taarifa zisizo sahihi kwenye 0yombo 0ya habari na kuudanganya
umma kuhusu mazingira na kifo "ha 4miliana Marrow wa Babati.
M#$%#&'&() S*&+), katika hali ya kushangaza +aziri wa Maliasili na 'talii
wa sasa, Mhe. !azaro 5yalandu ambaye akiwa katika nafasi yake ya
unaibu waziri, ki%indi kifu%i tu kabla ya uteuzi wake, kwa kasi ya a#abu
aliandaa mikutano mingi na ziara mbalimbali huku akiandamana na lundo
la 0yombo 0ya habari kama kumbikumbi,na kutoa matamko makali dhidi ya
u#angili na watumishi wasio waaminifu. Akiwa katika ziara hizo, aliwahi
kuikandia sana .i%oti ya ,amati ya Bunge ya Ardhi na Maliasili
iliyoongozwa na Mhe. ames !embeli, huku akidai kuwa ilikuwa ya uwongo
mtu%u. !akini baada ya kubanwa zaidi, alikana kutoa kauli za kuikosoa
ri%oti hiyo ya kamati. -ababu za kwanini akanushe maneno aliyoyasema
zaidi ya mara nne, inabakia kuwa siri yake mwenyewe.
M#$%#&'&() S*&+), +aziri 5yalandu alitoa taarifa za kuwa0ua nyadhifa
zao Mkurugenzi Mkuu wa +anyama%ori na Mkurugenzi Msaidizi, 6dara ya
3
Matumizi 4ndele0u ya +anyama%ori nyadhifa zao. 5yalandu anadai kuwa
mo#a ya sababu za kuwaondoa, ni kutekeleza maazimio ya ,amati ya
!embeli kutokana na kutowa#ibika wakati wa $%eresheni &okomeza.
ambo la ku#iuliza, kama aliwahi kusema kuwa taarifa ya kamati ni uongo
mtu%u, #e ni lini amethibitisha kuwa kile ali"hodai kwamba ni uwongo,
ulikuwa ukweli7 8ha a#abu, aliyeteuliwa kukaimu nafasi ya ukurugenzi,
2aul -arakikya aliyekuwa kiongozi wa utekeleza#i wa o%eresheni tokomeza
na aliyehusika mo#a kwa mo#a na kina"hodaiwa kuwa u0un#ifu wa haki za
binadamu, ndiye ame%ewa nafasi ya kukaimu ukurugenzi9 +ote
tunafahamu ukiukwa#i mkubwa wa haki za binaadamu na ukatili uliofanywa
katika o%eresheni tokomeza kiasi "ha kusababisha mawaziri wanne
kuwa#ibishwa kwa kutenguliwa nafasi zao.
M#$%#&'&() S*&+), aidha, ,ambi .asmi ya '%inzani inaitaka -erikali
kueleza ilitumia 0igezo gani kumteua -arakikya kukaimu nafasi ya
'kurugenzi wa +anyama%ori huku iki#ua ali0yoshindwa kutokomeza
u#angili ha%a n"hini na #insi aliyoendesha o%eresheni tokomeza u#angili
iliyokuwa ime#aa dhuluma, u%ora#i, utesa#i na udhalilisha#i dhini ya
wanan"hi. ambo ambalo liliishangaza zaidi ,ambi .asmi ya '%inzani ni
kitendo "ha +aziri 5yalandu kumteua 5dugu -arakikya kukaimu nafasi ya
Mkurugenzi wa +anyama%ori huku aki#ua kuwa -arakikya alifanya makosa
mengi katika utenda#i wake wa kazi katika idara hiyo ya +anyama%ori.
M#$%#&'&() S*&+), ikumbukwe %ia kuwa 5dg. -arakikya ndiye
aliyeongoza kikosi "ha kuzuia u#angili hata kabla ya o%eresheni tokomeza.
,atika ki%indi hi"ho, &anzania ilishika nafasi ya kwanza kati ya n"hi nane
duniani zilizoongoza kwa matukio ya u#angili. Aidha, ili kuonyesha kwamba
4
-erikali hii haizingatii weledi katika utenda#i, alietuliwa tena kusimamia
$%eresheni &okomeza '#angili.
2.2 K)26& T)/) Z) S$7&+)6& J22 8) K292+24() K)4& +() W)+2725$04&
M#$%#&'&() S*&+), mara baada ya waziri kutangaza kuwa0ua nyadhifa
zao wakurugenzi hao tarehe 2: ;ebruari 201:, ,atibu Mkuu wa wizara hii
Bi. Maimuna &arishi aliwarudisha kazini wakurugenzi hao huku -erikali
nayo kwa ku%itia kurugenzi ya habari maelezo,ikitoa taarifa kwa 0yombo
0ya habari kuwa taarifa za kufukuzwa kwa wakurugenzi hao si sahihi. 2ia,
6kulu kwa ku%itia ,atibu ,iongozi Balozi $mbeni -efue, ilitoa tamko la
kuitaka +izara kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma
za kumfukuza mtumishi kazi.
M#$%#&'&() S*&+), kwa mu#ibu -heria ya 'tumishi wa 'mma ya mwaka
2002, ,ifungu "ha 6< (23* (2* inayozungumzia mamlaka ya .ais
kumwondoa mtumishi aliyemteua kazini, amri ya kumfukuza mtumishi wa
umma itatekelezwa iwa%o/
(a*hati ya mashtaka imeandikwa dhidi yake (b*mtumishi wa umma
ame%ewa nafasi ya ku#ibu mashtaka hayo
("*Maombi yametolewa kwenye hati ya mashtaka kwa mu#ibu wa taratibu
zilizo "hini ya kifungu namba 3:.
-wali la kumuuliza +aziri 5yalandu, #e, hatua hizi zilifuatwa katika
kuwasimamisha kazi wakurugenzi hawa7 5a #e, maamuzi yake ya
kumfukuza 2rof. -ongoro katika 0ikao 0ya kamati na kumdhalilisha hata
5
baada ya 6kulu kutoa maagizo ya +izara kufuata -heria, ,anuni na
&aratibu za kufukuza watumishi kazi ni utawala bora7
M#$%#&'&() S*&+), ,ambi .asmi ya '%inzani Bungeni, inaitaka -erikali
na +izara kuhakikisha kuwa, uamuzi wowote uliofanywa na kuendelea
kufanywa katika kutekeleza maazimio ya Bunge katika kuwawa#ibisha
watumishi hao uzingatie sheria, taratibu na kanuni kwa kuwa -heria na
,anuni hizo zinaeleza wazi hatua zinazo%aswa ku"hukuliwa. <ile0ile,
tunasikitishwa na m0utano baina ya waziri na katibu mkuu wa wizara, hali
ambayo inaonesha kuwa kuna mgongano aidha wa kimaslahi na hi0yo
kuthibitisha kuwa -erikali ni dhaifu kwa kuwa, +aziri na ,atibu Mkuu wa
wizara mo#a wanafanya kazi bila kushirikiana na kila mmo#a akionekana
kum0izia mwenzake hadharani badala ya kukaa kwa %amo#a kutekeleza
maazimio ya Bunge lako tukufu.
Aidha, m0utano huu %ia ni ishara kuwa, maazimio ya Bunge yanaendelea
ku%uuzwa na -erikali kwa kigezo "ha kuzingatia sheria na kanuni huku
zikiwaa"ha watumishi wenye tuhuma wakihamishwa 0itengo na idara na
kuendelezea urasimu uleule hata uko wana%ohamishwa.
M#$%#&'&() S*&+), ngoma iki0uma sana hu%asuka, tena Mungu siku zote
hamfi"hi mnafiki na debe tu%u halia"hi kutika (si maneno yangu, bali ya
wahenga*. -i mara ya kwanza, kwa ,ambi .asmi ya '%inzani kuho#i #uu ya
usafi wa !azaro 5yalandu, +aziri wa Maliasili na 'talii, na mara kadhaa
tumeonesha kwa kiasi kikubwa udhaifu wake na kutoa 0ielelezo mbalimbali
0ina0yotilia shaka utenda#i wake kabla na hata baada ya kukabidhiwa
wizara hii nyeti9
6
:.0 TASWIRA YA TAIFA KATIKA JUMUIA ZA KIMATAIFA
M#$%#&'&() S*&+), kwa muda mrefu ,ambi .asmi ya '%inzani
imeendelea kutoa taarifa kwa -erikali #uu ya mtandao wa kimataifa wa
u#angili ambao %ia unahusisha 0iongozi waandamizi wa -erikali, maafisa
usalama wa taifa, wana#eshi wafanyabiashara wakubwa, %olisi, wanasiasa,
6kulu na watumishi wa umma. -erikali ya 88M imekua ikitoa kauli za
kubeza %amo#a na ma#ibu me%esi ya tuhuma hizi huku tatizo la u#angili
likiendelea kuli"hafua taifa katika #umuia ya kimataifa.
M#$%#&'&() S*&+), katika hali ya kushangaza baada ya gazeti la Mail on
-unday la n"hini 'ingereza kutoa taarifa kuwa biashara ya u#angili
inahusisha watu wa karibu na .ais wakiwemo wanasiasa, maafisa wa
-erikali na wafanya biashara wakubwa, -erikali ilitoa matamko mbalimbali
%amo#a na kulaani taarifa ya gazeti hilo na hatimaye +aziri 5yalandu,
alimwalika mwandishi wa gazeti hilo ku#ionea mwenyewe shughuli za
-erikali za ku%ambana na u#angili ikiwemo kutembembelea ghala ya
kuhifadhia %embe za ndo0u zilizokamatwa. Mwaliko huo ilikua ni katika
kuthibitisha kuwa -erikali ya 88M haina la kufi"ha.
!akini katika hali ya kushangaza, u"hunguzi na taarifa zaidi umeonesha
kuwa ndani ya miaka minane (=* -erikali ya 88M, imekua ikiomba kibali
bila mafanikio kutoka 86&4- (8on0ention on 6nternational &rade on
4ndangered -%e"ies* "ha kuuza shehena ya %embe za ndo0u takribani
3:,000 zenye uzito wa tani 12> zenye thamani ya dola za kimarekani
milioni 1>0 sawa na shilingi Bilioni 2::.> za kitanzania (kwa wastani wa
sh.1)30 kwa dola 1*.
7
M#$%#&'&() S*&+), #umuia ya kimataifa imeshangazwa na kitendo "ha
&anzania kuomba kibali "ha kuuza shehena iliyokamatwa ya %embe za
ndo0u kwa kuwa ni biashara haramu na kitendo "ha -erikali kuomba
kuyauza ni sawa na ku"ho"hea u#angili zaidi kwa kuwa hali hii itaongeza
uhita#i wa %embe za ndo0u kwenye soko haramu n"hini 8hina. ambo hili
ni aibu kubwa kwa taifa kuomba kufanya biashara haramu kwa kuwa
imelidhalilisha taifa. ?ii ni sawa na -erikali ikamate madawa ya kule0ya,
halafu iamue kuyauza ili ku%ata fedha.
M#$%#&'&() S*&+), kitendo "ha waziri wa maliasili na utalii kumwalika
n"hini mwandishi aliyesemwa kuwa ametoa taarifa za uongo na kuli"hafua
taifa, ili a#ithibitishie kuwa &anzania ni safi katika matukio ya u#angili,
Bwana Martin ;let"her, na kumtembeza katika sehemu mbalimbali n"hini
ikiwa na nia ya kumfunga mdomo(damage "ontrol*, haikusaidia bali
ili0umbua u"hafu mwingi na huu wote umewekwa wazi katika 0yombo 0ya
habari 0ya kimataifa na kuendelea kuonesha uozo wa -erikali katika
kushughulikia tatizo la u#angili n"hini.
M#$%#&'&() S*&+), imeelezwa kuwa .aisi ameshindwa kusimamia suala
hili 0izuri kwa kuwa wanaohusika na u#angili ni watu wake wa karibu ama
rafiki zake. Aidha, taarifa hizo zimeendelea kubana kauli za +aziri
5yalandu za kuwa anawafahamu ma#angili kwa ma#ina na kuwataka
ma#angili hao kua"ha u#angili ama watawa"hukulia hatua za kisheria.
Maswali yanayoulizwa, #e, ni kwa nini waziri hawata#i watu wanahousika na
u#angili7 2ili, inakua#e waziri anawa#ua kwa ma#ina na hata sehemu
wanazokaa, lakini anashindwa kuwa"hukulia hatua7 6nakua#e waziri,
awabembeleze watuhumiwa wakati kuna sheria, kanuni na taratibu za
8
kuwa"hukulia hatua wahalifu7 5i nini ki%o nyuma ya %azia katika kuwalinda
na kuwafi"ha watuhumiwa wa u#angili7
:.1 K2+3%$+)0) +() '))9&%) 2/)6&& +)/&+) .)634& '.)6&'.)6&.
M#$%#&'&() S*&+), kuna taarifa kuwa katika balozi zetu mbalimbali na
muhimu ulimwenguni kumekuwa hakuna maafisa utalii ambao watakuwa
na #ukumu la kuhakikisha kuwa wanaweza kuhakikisha kuwa tuna%ata
watalii wa kutosha kwa a#ili ya kuinua %ato la taifa letu.
M#$%#&'&() S*&+), katika ubalozi wa &anzania @Berlin ni kati ya balozi
kubwa ulimwenguni ambao hauna afisa utalii %amo#a na ukweli kuwa
ubalozi huu unahudumia n"hi nyingine za
2oland,Austria,?ungary,;rankfut,'swis,.omania,Bulgaria ,-lo0akia na
amhuri ya 8ze"h , kwa ki%indi kirefu sana ubalozi huu umeomba ku%atiwa
afisa utalii kutoka wizara ya mambo ya n#e lakini m%aka leo hawa#aweza
ku%elekewa maafisa hao kwa a#ili ya kutekeleza kwa 0itendo di%lomasia ya
u"humi ambayo ndio msingi wetu wa di%lomasia ya kimataifa .
K)'.& 8) U*&04)0&, inataka ku%ata ma#ibu ni lini serikali itawa%eleka
wataalamu hao katika ubalozi huu kwa a#ili ya kuimarisha sekta ya utalii
kwenye n"hi zote muhimu ambazo zimekuwa mstari wa mbele katika sekta
ya utalii katika taifa letu.
1
.0 BIASHARA HARAMU YA NYARA ZITOKANAZO NA
WANYAMAPORI NA KUKITHIRI KWA TATIZO LA UJANGILI
NCHINI
M#$%#&'&() S*&+),
1
ripoti ya CAG 2012/2013 pg 148.
9
,umekuwa na ongezeko kubwa na watu wanao#ishughulisha na uwinda#i
na biashara ya nyara za -erikali bila bila kuwa na kibali au leseni toka
mamlaka zilizowekwa kisheria. ,wa mu#ibu wa sheria ya wanya%ori
ki&ungu cha /0(1) "ehemu ya 10 mtu yeyote haruhusiwi kujihusisha na
biashara ya nyara (trophies) bila kuwa na leseni ya biashara ya nyara
(trophy dealer license). 5a kifungu "ha =0(2* kinam%a Mkurugenzi wa
6dara ya +anyama%ori mamlaka ya kutoa leseni ya biashara ya nyara kwa
mtu yeyote ambaye ni raia wa amhuri ya Muungano wa &anzania baada
ya ku%okea maombi kwenye fomu maalum na kutimiza masharti
yaliyowekwa ikiwa ni %amo#a na kuli%a ada zilizo%angwa.
M#$%#&'&() S*&+), leseni ya biashara ya nyara inayotolewa katika
,ifungu hiki haimruhusu mhusika kuwinda, kuua au ku%iga %i"ha mnyama
yoyote, badala yake inamruhusu kukamata, kutengeneza bidhaa
inayotokana na nyara, kununua au kuuza nyara @ =0(3*A
2
.
M#$%#&'&() S*&+), li"ha ya kuwe%o kwa sheria hiyo, bado wanyama
wetu wanaendelea kuuwawa kwa kasi ya a#abu. Aidha, kumekuwe%o kwa
taarifa zinazoonyesha kuwe%o kwa mtandao m%ana wa wahusika wa
biashara ya wanyama %ori na bidhaa za wanyama%ori kutoka katika n"hi
kadhaa kama 0ile, ,enya, Msumbi#i, D.8, 5amibia na Afrika ya ,usini.
M#$%#&'&() S*&+), ,wa mu#ibu wa maelezo ya +aziri wa Maliasili na
'talii, Mhe. !azaro 5yalandu aliyoyatoa mbele ya +aandishi wa ?abari
wakati akiwa 5aibu +aziri wa +izara hii katika ?oteli ya Mount Meru @
2
Sheria ya wanyamapori ya mwaka 2009
10
Arusha mwaka #ana, ni kwamba/ kwa ki%indi "ha miaka mitatu, iliyo%ita
tembo 313:= sawa na asilimia :2 walitoweka katika hifadhi ya -elous na
Mikumi na kwamba kuna mtandao wa ki#angili wa kimataifa (-o%histi"ated
6nternational -yndi"ate* unaofanya kazi ha%a n"hini. Aidha alitoa agizo
kwa bodi ya wadhamini ya mamlaka ya hifadhi za taifa (&A5A2A* itoe
maelezo ya kina kuhusu kuwe%o watumishi wa ndani ya mamlaka ya
hifadhi wanaosadikiwa kushirikiana na ma#angili hao kuendesha u#angili
ambao unahatarisha hifadhi zetu na sifa ya n"hi yetu.
M#$%#&'&() S*&+), +aziri 5yalandu aliirudia kauli hiyo mkoani 6ringa,
mwezi uni, 2013 wakati wa kikao "ha siku mbili "ha wadau wa ulinzi wa
maliasili #uu ya u#angili wa tembo katika mikoa ya 5yanda za #uu na
kuahidi kwamba ma#ina ya ma#angili yakiwemo ya 0igogo wanao#ihusisha
na u#angili wa tembo yatatangazwa hadharani, lakini m%aka sasa hakuna
ma#ina yoyote yaliyotangazwa hadharani.
M#$%#&'&() S*&+), utafiti uliofanywa na &anzania +ildlife .esear"h
6nstituteB&A+6.6 katika mbuga ya hifadhi ya -elou na Mikumi inaonyesha
kuwa idadi ya &embo imeshuka kutoka 1:,C00 mwaka 200) hadi kufikia
:3,>>2 mwaka 200C. ?ii ikiwa na maana kwamba kwa ki%indi "ha miaka
mitatu takribani asilimia :2 ambayo ni &embo 31,3:= katika hifadhi mbili tu
waliuawa na ma#angili
3
. ?ii ni hatari kubwa sana na kwa kutilia maanani
kuwa &embo mmo#a ana%atikana baada ya miaka miwili (yaani &embo
hubeba mimba kwa ki%indi "ha miaka miwili ndi%o azae*
3
www.reter!."om/#i$eo/%eter!&t#
11
M#$%#&'&() S*&+), biashara haramu ya nyara zitokanzao na
wanyama%ori hususan tembo ime"hangia sana u#angili wa kutisha wa
tembo kiasi kwamba idadi ya tembo ime%ungua mno kiasi "ha kuwafanya
tembo wawe miongoni mwa #amii ya 0iiumbe walio%o hatarini kutoweka
kabisa (endangered s%e"ies*. 5asema hi0i kwa sababu idadi ya tembo
kwa u"ha"he, waliokuwe%o katika n"hi za ,iafrika kwa miaka ya sabini
walikuwa ni takribani milioni mo#a na laki mbili (1,200,000) lakini kwa sasa
wamebakia wasiozidi laki tano
:
M#$%#&'&() S*&+), hali ya u#angili n"hini imefika %abaya na ina kiasharia
kibaya kwa miaka mi"ha"he i#ayo. &akwimu zinaonesha kuwa mwaka
2010, #umla ya tembo 10,000 waliuwawa &anzania, ikiwa ni sawa na
wastani wa tembo 21 kwa siku. Mwaka 2012 %ekee, tembo takribani
23,000 wameuwawa kwa mwaka ambayo ni sawa na tembo )3 kwa siku.
?ii ni sawa na ongezeko la >1D kwa ki%indi "ha miaka 2. ,wa sasa
&anzania inakadiriwa kuwa na tembo kati ya 1>0,000 na 110,000.
,utokana na takwimu hizi, ikiwa &embo )3 wanauwawa kwa siku, ni dhahiri
kwamba kwa ki%indi "ha miaka 1 i#ayo &embo hawa watakuwa
wameuawa wote.
M#$%#&'&() S*&+), kwa mu#ibu wa utafiti uliofanywa na shirika la 'mo#a
wa Mataifa la ku%amba na madawa ya kule0ya na uhalifu ('nited 5ationEs
$ffi"e on Drugs and 8rimeB '5$D8B*, inaonyesha kuwa n"hi zilizo ,usini
mwa angwa la -ahara na n"hi za ,usini Mashariki mwa Asia ni
wasambaza#i wakubwa wa bidhaa haramu za wanyama%ori kwenye soko la
4
'aken( ). *2011+( ,-ran!nationa. Crime in the /e#e.oping 0or.$1 in the G.o2a. 3inan"ia. 4ntegrity )orna.
o% 3e2rary( 2011.
12
8hina, Marekani na baadhi ya n"hi katika bara la 'laya. Bidhaa hizo za
wanyama%ori ni %amo#a na %embe za ndo0u, %embe za faru, ngozi za "hui
na simba na 0iungo mbalimbali 0ya wanyama%ori. ,wa mu#ibu wa utafiti
huo ni kwamba mununuzi huli%a kiasi "ha dolla za kimarekani 2,>00 kwa
kila %embe mo#a ya faru.
M#$%#&'&() S*&+), tatizo la '#angili limekuwa gumu kumalizwa kabisa
kwa kuna taarifa zinazohusisha askari wa eshi la 2olisi na eshi la
+anan"hi katika matukio ya u#angili na biashara haramu ya nyara na
taarifa hizo zimeri%otiwa sana na 0yombo 0ya habari, lakini "ha kusikitisha
ni kwamba hakuna hatua zilizo"hukuliwa dhidi ya askari wa ma#eshi hayo
(yaani #eshi la %olisi na #eshi la wanan"hi wa &anzania*. M%aka sasa eshi
la 2olisi na eshi la +anan"hi wa &anzania hawa#akanusha taarifa hizo
#ambo linaloashiria kwamba %engine taarifa hizo ni za kweli.
M#$%#&'&() S*&+), taarifa za baadhi ya askari waliori%otiwa na 0yombo
0ya habari kuhusika na u#angili ni kama ifuata0yoF
1. Mnamo &arehe 1 anuary 2013, Gazeti la habari leo lilitoa taarifa za
askari wawili ku#ihusisha na biashara ya meno ya tembo na
kuhusishwa na maua#i ya faru katika mbuga ya -erengeti na m%aka
sasa hakuna taarifa rasmi kutoka -erikalini #uu ya hatua
zilizo"hukuliwa dhidi ya askari hao.
2. Mnamo anuari 20, 2013 -a#enti wa eshi la +anan"hi &anzania,
Azizi Athuman Husufu alikamatwa mkoani Arusha akiwa na %embe
mbili za ndo0u na bunduki aina ya .iffle yenye namba :>= huku
13
akitumia gari ya mkufunzi wa ki#eshi kutoka Iimbabwe
anayefundisha n"hini.
3. &arehe 23 ulai, mwaka 2013, walikamatwa watu saba
wanaodhaniwa kuwa ni ma#angili , wakiwamo askari watatu wa
Magereza +ilaya ya ,iteto Mkoani Manyara wakiwa na gari la
Magereza aina ya !and 8ruiser lenye namba za usa#ili -&, :3C:
lililokuwa lime%akia nyara za -erikali zenye thamani ya zaidi ya
shilingi milioni >>. 5yara hizo zilikuwa ni %amo#a na &wiga wawili,
2undamilia wawili, -wala, 2ala%ala ma#ike wawili na Mbuni wawili.
M#$%#&'&() S*&+), Biashara haramu ya %embe za ndo0u ime0uka
mi%aka ya n"hi na imeanza kushamiri katika ukanda wa Afrika ya Mashariki
#ambo ambalo linatishia kutoweka kabisa kwa wanyama hao ambao ni
ki0utio kikubwa "ha utalii. &aarifa katika mtandao wa habari wa
JAnnamiti"usA (www.annamiti"us."om* zinasema kwamba mwaka 2012,
makontena mawili kutoka ,enya na &anzania yalikamatwa huko ?ong,ong
yakiwa yamebeba tani : (,ilo :,000* za %embe za ndo0u.
M#$%#&'&() S*&+), kwa mu#ibu wa taarifa hiyo, kontena lililotoka
&anzania lilikuwa limeandikwa J%lasti" s"ra%A ikimaanisha kuwa lilikuwa na
0ifaa ya %lastiki lakini baada ya kufunguliwa kulikuwa na 0i%ande C12 0ya
%embe halisi za ndo0u zenye uzito wa kilogramu 1,C21 %amo#a na kilo mo#a
na nusu ya unga wa %embe za ndo0u zilizosagwa. ,ontena lililotoka ,enya
lilikuwa limeandikwa Jros"o"o beansA yaani maharage aina ya ros"o"o,
lakini lili%ofunguliwa kulikuwa na 0i%ande 231 0ya %embe za ndo0u sawa
na kilogramu 1,==:.
14
M#$%#&'&() S*&+), kwa mu#ibu wa taarifa hiyo, wingi wa %embe hizi za
ndo0u zilizokamatwa, unadhihirisha kwamba tembo takriban )00 kwa
u"ha"he waliuwawa.
M#$%#&'&() S*&+), mwezi A%rili,2013 kontena lingine lilikamatwa likiwa
limesheheni %embe za ndo0u 113 huko 8hina zenye thamani ya Dola za
,imarekani :00,000.,ontena hili liliandikwa kwamba limebeba 0i%uri
(s%are%arts* toka Burundi. ,wa kuwa Burundi haina bandari, kuna
uwezekano mkubwa kwamba kontena hilo lili%itia bandari ya &anzania, na
hi0yo kuna uwezekano %ia kwamba %embe hizo zinatokana na tembo
waliouwawa &anzania.
".0 MAENDELEO YA SEKTA YA WA WANYAMAPORI NCHINI
M#$%#&'&() S*&+), m"hango wa sekta ya wanyama%ori katika
maendeleo ya u"humi wa n"hi yetu ni mkubwa sana. &akwimu
>
zinaonyesha kuwa uwinda#i wa kitalii kwa miaka mitatu kati ya 200C na
2012 uliingiza shilingi bilioni C1. ,wa sababu hiyo, +izara ya Maliasili na
'talii ku%itia idara yake ya +anyama%ori inatakiwa kuilinda na kuiendeleza
sekta hii ili iendelee ku"hangia zaidi katika u"humi wetu.
M#$%#&'&() S*&+), katika muktadha wa kuilinda na kuiendeleza sekta ya
wanyama%ori, Bunge lilitunga -heria ya 'hifadhi ya 200C, ambayo
inatumika %amo#a na sera ya wanyama%ori ya mwaka 2001 ili kuratibu na
5
5ipoti ya CAG&kag6i wa %ani!i na kag6i maa.m kwa kipin$i kina"hoi!hia tarehe 31 7a"hi( 2014
15
kudhibiti shughuli za uwinda#i wa wanyama%ori kwa namna ambayo sekta
ya wanyam%aori inakuwa endele0u.
M#$%#&'&() S*&+), ulinzi wa -ekta ya wanyama%ori ni muhumu kwa
kuwa sekta ina"hangia ukua#i wa u"humi katika 5yan#a mbalimbali. ,wa
mfano wanyama%ori ni ki0utio kikubwa "ha watalii ambao hutoa fedha
nyingi za kigeni wa#a%o kutalii ha%a n"hini kwa a#ili ya kutazama na
kuwa%iga %i"ha wanyama hao. Aidha sekta ya wanyama %ori ina"hangia
maendeleo ya kiu"humi na ki#amii kwa kutoa a#ira kwa wanan"hi na %ia
kukuza soko la bidhaa za ndani.
M#$%#&'&() S*&+), 6i"ha ya umuhimu wa sekta hii, -erikali imekuwa
haifuatilii makam%uni ya uwinda#i yenye leseni kuona kama wanafuata
sheria ya 'hifadhi wa +anyama%ori ya 200C. Matokeo ya udhaifu wa
-erikali katika ufuatilia#i, kumekuwa na u0un#a#i mkubwa wa sheria #ambo
ambalo limesababisha uwinda#i ufanyike kiholela. ,wa mfano, ,am%uni ya
'winda#i ya Green Miles -afaris !imited imekuwa ikiwakimbiza na
kuwakamata watoto wa wanyama%ori %indi wana%ozaliwa kinyume na
kifungu "ha 1C(1* "ha -heria ya +anyama%ori ya 200C. Aidha -heria hiyo
ina%endekeza adhabu ya kifungo "ha miaka mitano gerezani na au faini
kati ya shilingi >00,000KL hadi shilingi 2,000,000KL
M#$%#&'&() S*&+), ,ambi .asmi ya '%inzani inataarifa kwamba
,am%uni hii ya Green Miles -afaris !imited ilisha%ewa zuio na Mahakama
la kufanya uwinda#i kutokana na uwinda#i usiozingatia sheria lakini ,am%uni
hiyo ili%ita mlango wa nyuma na kuomba kilbali "ha uwinda#i kwa
Mkurugenzi wa +anyama%ori na Mkurugenzi akatoa kibali na hi0yo wote
wawili waka%uuza uamuzi wa Mahakama.
16
M#$%#&'&() S*&+), ,am%uni hii ya Green Miles -afaris !imited, %amo#a
na uhalifu mwingi inaoufanya katika mbuga zetu wakati wa uwinda#i,
imekuwa ikilindwa na -erikali ndio maana ,ambi .asmi ya '%inzani
Bungeni '%inzani Bungeni inashawishika kuamini kwamba -erikali ndio
"himbuko la tatizo la '#angili na uwinda#i haramu wa wanyama%ori ha%a
n"hini.
M#$%#&'&() S*&+), ,ambi .asmi ya '%inzani inaitaka -erikali itoe
maelezo mbele ya bunge hili ni kwa nini hai#ai"hukulia ,am%uni ya
'winda#i Green Miles kwa kufanya uwinda#i haramu ha%a n"hini7
M#$%#&'&() S*&+), &atizo kubwa la Maendeleo ya -ekta ya +anya%ori ni
kwamba -erikali huwa haifuati hata ma%endekezo yanayotolewa na ,amati
za zinazoudwa na -erikali yenyewe. ,wa mfano, mwaka 200), aliyekuwa
+aziri wa Maliasili na 'talii kwa wakati huo Mheshimiwa Anthony Mwandu
Diallo (Mb*, aliunda ,amati ya +ataalam ambayo aliitaka ifanye u"hambuzi
wa kina wa shughuli za uwinda#i wa kitalii n"hini. '"hambuzi huo ulitakiwa
uzingatie utenda#i kazi katika shughuli za uwinda#i wa kitalii, mafanikio
yaliyofikiwa m%aka sasa na matatizo yanayoikabili tasnia hiyo. ?atimaye,
,amati ilitakiwa kumshauri Mheshimiwa +aziri namna ya kuleta mabadiliko
ndani ya sekta hiyo kwa mina#ili ya kulinda uhifadhi, kuwawezesha
wanan"hi kushiriki katika uwinda#i wa kitalii kwa lengo la kuongeza ufanisi
na ti#a ili iweze kutoa m"hango mkubwa zaidi katika kuondoa umaskini na
kuongeza 2ato la &aifa.
M#$%#&'&() S*&+), ?adidu za re#ea kamati hiyo ilizo%ewa ziliitaka
,amatiF
)
6
0i6ara ya ma.ia!i.i na ta.ii& -aari%a ya kamati kh! 2ore!ha8i wa ta!nia ya win$a8i wa kita.ii -an6ania( )9:4( 2006
17
(i* 6%itie utaratibu wa sasa wa uomba#i na ugawa#i wa <italu
0ya 'winda#i wa ,italii %amo#a na "hombo "hake "ha
ugawa#i kuona kama ha0ibagui wala ha0isababishi
malalamiko kwa wadau mbalimbali/
(ii* 6"hambue kwa makini 0igezo na masharti yaliyo%o
yanayohusu ukaguzi wa uwezo wa ,am%uni za 'winda#i
zinazowasilisha maombi kwa a#ili ya 'winda#i wa ,italii ili
kuona kama yanafaa kwa mazingira ya sasa/
(iii* 6"hambue Mikataba mbalimbali ya kam%uni za uwinda#i/
ya zamani na inayoendelea kwa lengo la ku#iridhisha
kama inafaa au ina u%ungufu unaohita#i marekebisho ili
kulinda uhifadhi na maslahi ya umma.
(i0* 6angalie ,anuni za 'winda#i wa ,italii na zile za 'talii wa
%i"ha %amo#a na -heria ya +anyama%ori ya mwaka 1C1:
na kushauri namna ya kuondoa migongano ambayo
ime#itokeza baada ya kuruhusu utalii wa %i"ha kwenye
maeneo ya uwinda#i wa kitalii.
(0* 6"hambue -era na -heria zinazohusiana na
+anyama%ori na 'talii, na ,anuni za 'winda#i wa ,italii ili
kuona kama +anan"hi wanafaidika na uwinda#i huo wa
kitalii.
(0i* 6"hambue utaratibu wa ukusanya#i ma%ato, kubaini n#ia
ambazo zitaongeza maduhuli ya -erikali, na kutathmini
18
utaratibu wa ugawa#i 0italu kwa n#ia ya zabuni.
(0ii* Mwisho, ,amati iangalie uwezekano wa -erikali
kuwawezesha +anan"hi kushiriki kikamilifu katika tasnia
hii ya uwinda#i wa kitalii.
M#$%#&'&() S*&+), Ma%endekezo ya ,amati hiyo yalikuwa ni kama
ifuata0yoF
1. ,uboresha utaratibu wa ugawa#i wa 0italu kwa kui%a ,amati
ya 'gawa#i <italu ngu0u za kisheria na kwa ku%anua
uwakilishi wake.
2. ,uunda +akala wa -erikali wa kusimamia shughuli za
uwinda#i wa kitalii badala ya 6dara ya +anyama%ori.
3. ,uangalia u%ya umiliki wa 0italu ili kuwawezesha wanan"hi
kushiriki zaidi katika uwinda#i wa kitalii kwa n#ia ya ubia na
baadaye kumilikishwa 0italu wakati wageni na wanan"hi
watafanya kazi ya kuwindisha.
:. -erikali iwawezeshe +awinda#i Bingwa wa ,itanzania ili
waweze kumiliki 0italu na kutumia u#uzi na uzoefu walionao.
-erikali inaweza kuwawezesha wanan"hi kwa kuzungumza
na mabenki ili wa%unguze riba ya kuko%a fedha benki na
kuruhusu matumizi ya 0italu kama dhamana. 2ia wawinda#i
bingwa waanzishe bodi yao ya kitaalam.
19
>. ,uthamini 0italu 0ya uwinda#i wa kitalii na kuimarisha
usimamizi wa ukusanya#i wa ma%ato ili kuongeza ma%ato ya
-erikali.
). ,uweka ukomo wa umiliki wa kitalu wa 0i%indi 0iwili 0ya
miaka mitano ili ili kuruhusu waomba#i wa%ya.
1. ,uboresha taarifa za sekta ya +anyama%ori kwa kuweka
taarifa zote muhimu zinazohusu shughuli za uwinda#i wa
kitalii kwenye &o0uti ya 6dara.
=. 6dara iimarishe ufuatilia#i na tathmini ya 0italu kwa kuanzisha
"hombo huru "ha kusimamia shughuli za uwinda#i wa kitalii.
M#$%#&'&() S*&+), ,ambi .asmi ya '%inzani Bungeni inaitaka -erikali
kulieleza Bunge hili ni kwa kiwango gani ma%endekezo ya ,amati hiyo
yametekelezwa na ni manga%i ambayo bado kutekelezwa na ni kwanini7
,.0 UTALII NA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA
M#$%#&'&() S*&+),
20
,wa eneo kubwa la ardhi lililofunikwa na wingi wa misitu %amo#a na aina
mbalimbali za maua na 0iumbe, &anzania ni mo#awa%o ya 0i0utio 0ikubwa
0ya utalii barani Afrika. 5"hi yetu ina raslimali nyingi asilia ikiwemo %amo#a
na maeneo mengi ya nyika za ma%ori yenye aina nyingi za banoai.
M#$%#&'&() S*&+), Miongoni mwa 0i0utio 0ya utalii ni %amo#a na Mbuga
za wanyama , hifadhi za taifa, hifadhi zilizozuiliwa na maeneo ya kihistoria.
?ata hi0yo kwa sababu ya ongezeko la #oto, baadhi ya hi0i 0i0utio ikiwemo
thelu#i katika kilele "ha mlima ,iliman#aro iko katika hatari ya ku%otea. 5a
baadhi ya wanyama katika mbunga zenye ukame mkubwa wameanza
ku%ungua na kuathirika.
M#$%#&'&() S*&+), !i"ha ya kuwa na neema ya kuwa na 0i0utio 0ingi 0ya
utalii, bado sekta ya utalii inakabiliwa na "hamgamoto kadhaa, zikiwa ni/
(i* 'endeleza#i wa kazi zitakazohakikisha kuendelea kuwe%o kwa 0i0utio
mbalimbali 0ya utalii kwa kudhibiti athari za mabadiliko ya tabian"hi/
(ii* 'karabati wa miundombinu kama 0ile barabara, madara#a, kambi za
watalii na u%atikana#i wa umeme kwa a#ili ya watalii wa mbugani/
(iii* 'wezo mdogo wa idara zinazohusika kusimamia, kulinda
0i0utio 0ya utalii, kama 0ile kuendesha na kutangaza 0i0utio 0ya utalii
0ili0yo%o.
M#$%#&'&() S*&+), ,ambi .asmi ya '%inzani, inaamini kabisa tatizo la
umeme katika 0i0utio 0ya utalii 0ili0yo%o mbugani, suluhisho ni kutumia
umeme wa #ua (solar energy*, hili ni rahisi katika utekeleza#i wake.
M#$%#&'&() S*&+), kama amba0yo nitaonyesha ha%o baadae makusanyo
yanayo%atikana kutoka sekta ya utalii hayana uwiano wa mo#a kwa mo#a
21
na uwekeza#i katika sekta hiii. 5diyo sababu kubwa ya ma%ato ya sekta
kutokuakisi 0i0utio tuli0yona0yo ha%a n"hini.
M#$%#&'&() S*&+), uwekeza#i katika -ekta ya 'talii ni suala lenye ti#a
kubwa katika u"humi wetu kwa kuwa sekta hiyo imekuwa iki"hangia katika
u"humi wa &aifa li"ha ya uwekeza#i mdogo uliofanyika katika sekta hiyo.
M#$%#&'&() S*&+), takwimu zilizo%o zinaonyesha kuwa katika maeneo
yote ya hifadhi zetu kwa sasa kuna kuna hoteli zenye uwezo wa kutoa
huduma za malazi ("arrying "a%a"ity* kwa watu ),)=1 amba%o kwa miaka
mitano i#ayo idadi hii itafikia uwezo wa kulaza watu =,:21. ?iki ni kwango
kidogo sana "ha huduma za malazi kiasi kwamba tuna%oteza fursa ya
kunufaika katika sekta ya utalii.
M#$%#&'&() S*&+), #a%okuwa uwekeza#i katika sekta ya utalii ni mdogo
lakini sekta imeendelea kuwa nguzo muhimu katika u"humi wetu. ,wa
mwaka 2011 utalii na usafiri wa kitalii uli"hangia asilimia 13 kwenye %ato la
taifa na ku"hangia takriban asilimia 2> ya fedha za kigeni. Aidha, M%ango
unaeleza kuwa lengo ni kuongeza wageni kwa asilimia :0 kutoka wageni
)11,==) kwa sasa hadi C:0,):0 ifika% une 201). Aidha M%ango unalenga
%ia kuzidisha siku za mtalii kutembelea maeneo yenye 0i0utio 0ya kitalii
n"hini kutoka siku wastani wa siku 11 za sasa hadi wastani wa siku 1=
1
.
M#$%#&'&() S*&+), ,ambi .asmi ya '%inzani inaitaka -erikali kutoa
tathmini ya m%ango huo ili wanan"hi wa#ue tumefanikiwa kwa kiwango gani
katiaka kuboresha sekta ya wanyama%ori.
7
7pango wa -ai%a wa 7aen$e.eo wa 7iaka 7itano 2011 & 2016
22
M#$%#&'&() S*&+), miundombinu ya usafiri na usafirisha#i ya ndani ya
n"hi, uwekeza#i katika u#enzi wa hotel kwenye maeneo muhimu ya utalii
kama 0ile kwenye hifadhi, mikoa inayozunguka mlima ,iliman#aro
kutasaidia sana ku0utia watalii. ?i0yo ,ambi .asmi ya '%inzani inaitaka
-erikali kuboresha miundo mbinu ya usafiri hasa wa anga ili na ku#enga
hoteli za 0iwango 0ya ,imataifa katika maeneo yenye 0i0utio 0ya watalii ili
ku0utia mashirika ya mengi ya ndege toka n#e ku#a ha%a.
5i rai ya ,ambi .asmi ya '%inzani kwa -erikali kwamba ifufue shirika letu
la 5dege la &aifa ili tuweze kumudu ushindani katika usafiri wa anga na
ha%oha%o kuongeza idadi ya watalii katika n"hi yetu. 'wan#a wa 5dege wa
,iliman#aro na ule wa ulius 5yerere Dar es -alaam 0ikiboreshwa
0inaweza kuwa ni kito0u "ha mashirika mengi ya kimataifa kubadilishia
wasafiri kama kuna mkakati makini.
M#$%#&'&() S*&+), watalii toka n#e wana%enda sana ku%anda ndege za
n"hi wanazotembelea zaidi kuliko ku%anda ndege za kuunganisha. ,wa
n#ia mo#a au nyingine usafiri huo unawa%unguzia gharama. Mfano mzuri ni
miaka ya themanini wakati AirB&anzania ili%okuwa inafanya safari zake n"hi
za 'laya, watalii wengi walikuwa wanaku#a kwa ndege zetu. ?o#a ni
kwamba -erikali ina mkakati gani wa kufufua -hirika la 5dege la &aifa
(A&8* ,ambi .asmi ya '%inzani ina%endekeza -erikali kuingia ubia na
makam%uni binafsi ku%itia m%ango wa 2ri0ate 2ubli" 2ertnershi% @ ( 222*
ili kuboresha huduma za usafiri wa anga ha%a n"hini ambao una"ho"he
watalii wengi ku#a kwa kuwa kuna usafiri wa mo#a kwa mo#a.
23
;.0 SEKTA YA MISITU
M#$%#&'&() S*&+), misitu ina nafasi muhimu ya kumeza hewa ukaa
duniani wakati ikizuia uharibifu wa udongoKardhi. 'kata#i miti na uondoa#i
misitu uliokithiri una"hangia katika ongezeko la uzalisha#i wa hewa ukaa
&anzania. ,u%itia misitu mingi tuliyonayo &anzania imeendelea kutoa
huduma ya kumeza hewa ukaa duniani, bila ya kuwe%o utaratibu wowote
wa kimataifa kutoa fidia yoyote.
M#$%#&'&() S*&+), mbali ya kuwa na misitu mingi, kumekuwe%o na
"hangamoto nyingi zinazoikabili sekta ya misitu, nazo niF
a* ,ufanya uendeleza#i wa misitu kama raslimali ya kumeza
hewa ukaa na kuinufaisha #amii inayoizunguka/
b* ,uthibiti ubora na uendele0u wa misitu
"* amii inayoizunguka misitu kunufaika na biashara ya hewa
ukaa duniani/
d* '#enzi wa uwezo wa kufanya tafiti za uendeleza#i misitu n"hini/
e* 'endeleza#i wa n#ia bora zinazowezesha #amii inayozunguka
misitu kunufaika na raslimali hiyo.
M#$%#&'&() S*&+), kutokana na "hangamoto hizo, zinazoikabili sekta hii
ya misitu, ,ambi .asmi ya '%inzani inaitaka kuhakikisha kwa kadri misitu
ya &anzania ina0yoendelea kutoa huduma ya kimataifa ya kumeza hewa
24
ukaa duniani, hi0yo ni lazima n"hi na wanan"hi wetu tunufaike kwa ku%ata
kazi na teknolo#ia zinazo"hangia maendeleo endele0u.
M#$%#&'&() S*&+), sambamba na hilo ni kwamba, ni muhimu -erikali
kuhakikisha una#engwa uelewa kwa #amii na wadau wa misitu #uu ya uwe%o
wa fursa za kutumia uwezo wa misitu kumeza kumeza hewa ukaa kama
"hanzo "ha kunufaika na biashara ya hewa ukaa duniani. ,uhamasisha
ongezeko la matumizi ya 0yanzo mbadala 0ya nishati ya ku%ikia na
ku"hemshia na ku%unguza msongo kwenye misitu yetu kwa hita#i hilo.
M#$%#&'&() S*&+), ,ambi .asmi ya '%inzani inasema kuwa katika
kuhamasisha hilo, ni muhimu kuwe%o kwa misitu mfano na miradi mfano
katika ngazi za wilaya na 0i#i#i ili wanan"hi waone #insi misitu ina0yoweza
kuwanufaisha wanan"hi wanaozunguka misitu mfano hiyo. ?ili
linawezekana kama mi%ango na umakini katika utekeleza#i wake
utakuwe%o.
M#$%#&'&() S*&+), uwekeza#i katika kilimo "ha miti ni mo#awa%o ya kilimo
amba"ho kwa muda mrefu kinaweza kuleta ti#a kubwa kwa wanan"hi hasa
ha%a n"hini, uwekeza#i huu unakabiliwa na "hamgamoto kubwa ya
kukosekana kwa miko%o ya muda mrefu na ambayo inaweza kuwaB
a""ommodate wakulima ambao hawana dhamana ya kuweka zaidi ya
umiliki wa kimira wa ardhi husika, ##ambo ambalo halikubaliwi na taasisi za
fedha.
M#$%#&'&() S*&+), utaratibu huu wa kilimo "ha miti ni maarufu sana
katika mikoa ya 6ringa na 5#ombe, ,ambi .asmi ya '%inzani inaitaka
-erikali kulieleza Bunge ni utaratibu gani hadi sasa ambao wakulima
25
wadogo hasa wa miti wanasaidiwa ku%ata miko%o ya muda mrefu katika
kukabiliana na tatizo hili la uwe%o wa hewa ukaa na kuongeza ki%ato.
<.0 MAPITIO YA BAJETI KWA IDARA NA =ITENGO =YA WIZARA
M#$%#&'&() S*&+), kwa mwaka wa fedha 2013K1: wizara ilitara#ia
kukusanya maduhuli ya #umla ya shilingi bilioni 1:=.C1 kutoka katika 6dara
na taasisi zilizo "hini yake. Mwaka huu wa fedha wizara inatara#ia
kukusanya #umla ya shilingi bilioni 1::.), ambayo ni %ungufu ya shilingi
bilioni :.31 kwa kulinganisha na makadirio ya mwaka 2013K1:.
M#$%#&'&() S*&+), randama inaonyesha kuwa 6dara ya wanyama%ori
kwa ki%indi "ha mwaka 2013K1: ili kadiriwa kukusanya kiasi "ha shilingi
bilioni 2=.)>, !akini hadi mwezi Ma"hi, 201: ilikuwa imekusanya kiasi "ha
shilingi bilioni =.C2 ambayo ni sawa na asilimia 31.13 ya malengo. Aidha,
kwa mwaka wa fedha 201:K1> 6dara ya +anyama%ori ime%anga
kukusanya #umla ya shilingi bilioni 1>.>> kutoka kwenye 0yanzo 0yake
0ili0yo "hini ya idara. Makadirio haya ni %ungufu ya shilingi bilioni 13.1 kwa
kulinganisha na mwaka 2013K1:.
M#$%#&'&() S*&+), kwa takwimu hizo ni kwamba -ekta ya Maliasili na
'talii inashuka kima%ato. ,ambi .asmi ya '%inzani inaitaka -erikali
kueleza sababu zilizofanya ma%ato yatokanayo na makusanya ya maduhuli
kwa shuka kwa kiasi kikubwa namna hiyo. ?ii ni kwa sababu kwa mu#ibu
wa &akwimu zilizotolewa na taarifa ya u"hunguzi maalum ni kwamba kwa
ki%indi "ha kuanzia mwaka 200C hadi 2012 6dara ilikusanya shilingi bilioni
C1 na hali halisi ni kwamba uwezekano kukusanya zaidi ni mkubwa zaidi.
26
M#$%#&'&() S*&+), kuhusu matumizi ya kawaida, -erikali ilitenga kiasi
"ha shilingi bilioni 1C.1)3 kwa a#ili ya matumizi ya 6dara hiyo, ambayo ni
sawa na asilimia 22.1 ya makusanyo yake. !akini hadi mwezi ma"hi 201:,
-erikali imetoa kiasi "ha shilingi bilioni C.1)1 tu. -wali ha%a ni kwamba
idara itaweza#e ku#iendesha ikiwa fedha iliyotolewa ni kidogo namna hiyo7
6kumbukwe kwamba 6dara hii inasimamia taasisiK0yuo na wakala zi%atazo
sita ambazo ni &A5A2A, 58AA, &A+6.6,8A+MBMweka, 2+&6 na 8B8&8
ambazo zinahita#i fedha za kutosha kuziendesha.
M#$%#&'&() S*&+), fedha za maendeleo zilizotolewa kwa a#ili ya
maendeleo kwenye sekta ya wanyama%ori, ni kwa miradi miwili tu ambayo
ni mradi wa ,6!$.+4M2 unaotekelezwa kwa ushirika kati ya &anzania na
-erikali ya 'belgi#i. Mwaka 2013K1: zilitengwa #umla ya shilingi bilioni 1.=2,
lakini hadi Ma"hi 201: shilingi milioni 310 ambazo zilitoka -erikali ya
'belgi#i.
M#$%#&'&() S*&+), mradi wa %ili ni ule wa ,ulinda ushoroba wa -elousB
5iassa, ambao unatekelezwa kwenye wilaya za 5amtumbo na &unduru
kwa kushirikiana na -erikali ya '#erumani. ,wa mwaka #ana hakuna fedha
zilizotolewa.
M#$%#&'&() S*&+), kwa mwaka wa fedha 2013K1: 6dara ya 'talii
ilikadiriwa kukusanya #umla ya shilingi bilioni 1).=C) lakini hadi mwezi
ma"h, 201: ilikuwa imekusanya shilingi bilioni 3.2> ambayo ni sawa na
asilimia 1C tu ya matara#io kwa mwaka. Aidha, fedha zilizoidhinishwa kwa
a#ili ya Matumizi ya kawaida kwa idara na &aasisi zilizo "hini yake ni shilingi
bilioni 12.1, lakini hadi Ma"hi, zilikuwa zimetolewa shilingi bilioni 3.3).
27
M#$%#&'&() S*&+), mwaka wa fedha 201:K1> idara hii ya 'talii inatara#ia
kukusanya #umla ya shilingi bilioni 1).C1. Aidha, kwa maendeleo 6adara hii
imetengewa #umla ya shilingi bilioni 1.2. ,ambi .asmi ya '%inzani inauliza
inakuwa#e 6dara inakusanya shilingi bilioni 1).C1 lakini uwekeza#i unakuwa
wa shilingi bilioni 1.2, aidha uwekeza#i huo hauna matokeo ya mo#a kwa
mo#a na ukua#i wa utalii. e ni kwa 0i%i katika Dunia hii ya ushindani katika
sekta ya utalii inaweza kuleta ti#a na kuinua u"humi7
>.0 HITIMISHO
,ambi .asmi ya '%inzani, haito"hoka kuikosoa -erikali kwa kuwa, kwa
muda mrefu sasa katika +izara hii tumekua tunatoa ma%endekezo ambayo
yanabezwa. 5a kwa kuwa ni wa#ibu wetu kuisimamia i%asa0yo -erikali ya
88M, tunazidi kusisitiza kuwa ili sekta ya maliasili na utalii iendelee kuna
ha#a nzima ya kubadilisha mfumo wa usimamizi, uendesha#i na utekeleza#i
wa +izara, ambao utatoa fursa kwa 0iongozi waandamizi wa +izara
%amo#a na watumishi kutimiza na kutekeleza ma#ukumu yake bila
mashinikizo ya kisiasa.
5i rai yetu kuwa, -erikali itayafanyia kazi ma%ungufu yote ambayo
tumekua tukiyasema kwa muda mrefu sasa na kuisimamia i%asa0yo sekta
hii hili iwe mhimili wa u"humi kwa taifa kwa kuongeza ma%ato %amo#a na
kutoa nafasi za a#ira kwa wanan"hi wa taifa letu.
M#$%#&'&() S*&+), naomba kuwasilisha.
..................................................
28
M"h. 2eter -. Msigwa (MB*
Msema#i Mkuu wa ,ambi ya '%inzani Bungeni, +izara ya Maliasili na
'talii.
13.0>.201:
29

You might also like