Professional Documents
Culture Documents
KUHUSU TAFAKURI NA MARIDHIANO KUELEKEA KATIBA MPYA: WHITESANDS HOTEL, DAR ES SALAAM, 12 FEBRUARI, 2014 ___________________________________
1.0 UTANGULIZI
Katika nchi yoyote, msingi wa uendeshaji wa nchi unategemea Kati a am ayo ni she!ia kuu. "he!ia #ote hutungwa kwa ku#ingatia masha!ti ya Kati a. Kati a huainisha misingi ya Tai$a, mgawanyo wa mada!aka na majukumu ya mihimi%i mikuu ya do%a, usimami#i wake, mgawanyo na ukomo wa mam%aka ya &yom o m a%im a%i &ya do%a. Kwa ujum%a Kati a ni maku a%iano ya wananchi husika kuhusu uta!ati u na kanuni #a uendeshaji wa mam o m a%im a%i katika nchi yao. Kutokana na maana hiyo ya Kati a, utungaji wake unatakiwa kuwa shi!ikishi kwa maana ya kuwahusisha wananchi katika hatua #ote #a mchakato wa ku'ata Kati a. Kad!i mchakato wa kuandika Kati a una&yowashi!ikisha wananchi kwa ma'ana, ndi&yo kuku a%ika, kuheshimika na uteke%e#aji wa Kati a utaka&yokuwa !ahisi. (ananchi wana'oshi!iki katika utungaji wa Kati a, na 'a%e matakwa yao yana'o#ingatiwa ndani ya Kati a, (ananchi hao huimi%iki Kati a hiyo na kuiona kuwa ni Kati a yao. (ananchi huona hi&yo kwa sa a u %icha ya kushi!iki %akini 'ia kati a hiyo huakisi utashi wao na ndoto #ao na hi&yo kuku a%i kuongo#wa na masha!ti ya%iyomo ndani ya Kati a. )chakato wa kati a kwa kad!i una&yowashi!ikisha wananchi, ndi&yo una&yowe#esha ku'atikana kwa mwa$aka wa kitai$a kuhusu misingi, ma%engo na namna se!ika%i na &yom o &yake &itaka&yoongo#a nchi. )wa$aka huo hu#aa kati a ya wananchi am ayo inaima!isha umoja, udugu, ushi!ikiano na mshikamano katika Tai$a kwa maende%eo na ustawi wa jamii.
1.1
)chakato wa Kati a hu%enga ku'ata Kati a )'ya au ku$anya ma!eke isho ya Kati a i%iyo'o. )ichakato mingi ya Kati a hujumuisha Kanuni na hatua kama i$uata&yo* +a, + , +c, +d, +e, +$, +g, +h, +i, kuku a%iana kuhusu mam o yote yanayohitajika na ku'anga ma%engokuku a%iana kuhusu &yom o &ya Kusimamia na uta!ati u utakaotumikakuandaa (ananchi kwa kutoa e%imu ya Kati akukusanya )aoni ya (ananchi wa aina #otekushau!iana na (ataa%amkuji$un#a kutokana na U#oe$u wa Nchi m a%im a%ikucham ua na kutathmini maoni ya (ananchikuandika To%eo %a Kwan#a %a .asimu ya Kati a(ananchi Kujadi%i To%eo %a Kwan#a %a .asimu ya Kati a-
+j, Kucham ua na kutathmini maoni ya wananchi kuhusu To%eo %a Kwan#a %a .asimu ya Kati a+k, /unge )aa%um kujadi%i na ku'itisha .asimu ya Kati a-
+%, (ananchi ku!idhia Kati a I%iyo'endeke#wa na /unge )aa%um ku'itia Ku!a ya )aoni+m, +n, ku#indua kutumika kwa Kati a )'yauteke%e#aji wa Kati a )'ya.
Uteke%e#aji wa )asua%a na hatua #ote #i%ioainishwa ha'o juu ndio unata$si!iwa kuwa 0)chakato wa )a adi%iko ya Kati a.1 Katika mchakato wa )a adi%iko ya Kati a unaoende%ea katika nchi yetu, Kanuni na hatua hi#i #imeainishwa katika "he!ia ya )a adi%iko ya Kati a, "u!a ya 23.
)singi wa kuwa na mchakato wa kati a ni kuhakikisha kuwa wananchi wanashi!iki katika hatua #ote #a ku'ata Kati a na hi&yo kuijengea uha%a%i.
4.0
Katika mchakato wa ma adi%iko ya Kati a, #i'o njia kadhaa am a#o hutumika. Njia hi#o ni* +a, + , +c, .ais kuan#isha mchakato wa ma adi%iko ya kati akuunda Tume ya kuandaa Kati a ku'itia she!ia #i%i#o'o- au /unge kutunga she!ia maa%um ya ma adi%iko ya kati a.
4.1
Kama i%i&yoe%e#wa ha'o juu, mojawa'o ya njia #a ku$anya ma adi%iko ya Kati a ni kwa .ais kuan#isha mchakato huo. Katika uta!ati u huu, .ais huagi#a wataa%amu wa kuandika kati a kutaya!isha .asimu ya Kati a. )a!a aada ya .asimu kutaya!ishwa, .ais humuagi#a (a#i!i kuwasi%isha .asimu hiyo katika chom o cha uwaki%ishi. 9hom o cha uwaki%ishi hu'ewa muda maa%um wa kujadi%i na ku'itisha .asimu hiyo i%a kuja%i kuwa maudhui ya .asimu husika yanaakisi maoni au matakwa ya wananchi. Kimsingi, kati a inayo'atikana kwa uta!ati u huu hutokana na utashi na matakwa ya .ais au "e!ika%i i%iyo'o mada!akani. Uta!ati u huu ndio u%iotumiwa na a%iyekuwa .ais wa )is!i /w. )o!si na 'ia unaende%ea kutumiwa na Utawa%a wa kijeshi wa nchi hiyo.
4.4
Uta!ati u mwingine wa mchakato wa ma adi%iko ya kati a hu$anywa ku'itia Tume inayoundwa kwa muji u wa she!ia #i%i#o'o am a#o ni mahsusi kwa aji%i ya
kushughu%ikia masua%a m a%im a%i katika Nchi. 9hini ya uta!ati u huu, .ais au (a#i!i mwenye dhamana ya masua%a ya kati a, kwa mam%aka anayo'ewa na she!ia husika huunda Tume au Kamati #a kushughu%ikia mchakato wa ma adi%iko ya kati a. Tume au Kamati inayoundwa hu'atiwa hadidu #a !ejea na muda maa%um wa kukami%isha mchakato. .i'oti am ayo itaandikwa kutokana na mchakato u%io$anyika, hutumiwa na "e!ika%i kuandaa .asimu ya Kati a au she!ia ya ma!eke isho ya Kati a. :ata hi&yo, %icha ya mchakato huu kutowashi!ikisha wananchi kwa u'ana na uwa#i, "e!ika%i hai%a#imiki ku$anya ma adi%iko yoyote ya kati a na inawe#a kuka%ia .i'oti na ku'uu#a matakwa ya wananchi. Aidha, mchakato wa ma adi%iko unao$anywa na Tume au Kamati ku'itia uta!ati u huu hu#ingatia hadidu #a !ejea #i%i#oto%ewa na "e!ika%i, am a#o wakati mwingine ha#iakisi, matakwa au madai ya wananchi. Ghana, Uganda Zim a we na Zam ia ni miongoni mwa nchi #i%i#owahi ku$anya au kuja!i u ku$anya ma adi%iko ya Kati a kwa kutumia uta!ati u huu.
4.3
Uta!ati u mwingine wa mchakato wa ma adi%iko ya kati a ni wa kutunga she!ia mahsusi ya kushughu%ikia ma adi%iko ya kati a. Katika uta!ati u huu, she!ia inayotungwa hue%e#a uta!ati u wa mchakato m#ima wa ku'ata Kati a )'ya. Uta!ati u huu ni shi!ikishi kwani wananchi hushi!ikishwa kishe!ia katika hatua #ote muhimu #a uandikaji wa kati a yao. 9hini ya uta!ati u huu, hadidu #a !ejea huto%ewa na she!ia yenyewe ada%a ya .ais au (a#i!i. Aidha, Tume hu'ewa jukumu %a ku!ati u, kukusanya maoni ya wananchi, kuyacham ua na kutathmini maoni ka %a ya kuandaa !i'oti na .asimu ya Kati a. )a!a aada ya kuandaa .asimu ya Kati a, wananchi hu'ewa tena $u!sa ya kutoa maoni yao ka %a ya Tume au Kamati kui$anyia ma!eke isho na kuiwasi%isha katika /a!a#a au /unge )aa%um %a Kati a. /a!a#a au /unge )aa%um huwa na jukumu %a msingi %a kuijadi%i na kui'itisha .asimu ya Kati a. Katika aadhi ya nchi kama &i%e A$!ika Kusini, Ghana na Uganda, mchakato wa Kati a )'ya u%ikami%ishwa na /unge )aa%um. /aadhi ya
nchi 'ia ha#ikutumia /unge )aa%um na ada%a yake, .asimu ya Kati a i%i'igiwa ku!a ya 0Ndio1 au 0:a'ana1 aada ya kutoka kwenye Tume au Kamati. Kwetu Tan#ania, "he!ia inayosimamia mchakato wa ma adi%iko ya Kati a imeainisha hatua #ote tatu am a#o ni Tume kuandaa .asimu ya Kati a, /unge )aa%um kujadi%i .asimu ya Kati a na ku'itisha Kati a am ayo ita'endeke#wa kwa wananchi i%i kui'igia ku!a ya maoni.
3.0
)waka 4011, Tai$a %a Tan#ania %i%ian#isha mchakato wa ma adi%iko ya kati a. Kwa ma!a ya kwan#a katika histo!ia ya Tan#ania, /unge %i%itunga she!ia mahsusi ya kusimamia mchakato wa ma adi%iko ya kati a. "he!ia hiyo inayoitwa "he!ia ya )a adi%iko ya Kati a, "u!a ya 23 imeweka masha!ti kuhusu usimami#i na uendeshaji wa mchakato wa ma adi%iko ya kati a. "he!ia hii imem'atia mam%aka .ais kuunda Tume ya )a adi%iko ya Kati a aada ya kushau!iana na kuku a%iana na .ais wa Zan#i a!. Katika kuteke%e#a matakwa hayo, "he!ia i%imtaka .ais kua%ika ;yama &ya "iasa ¥ye usaji%i wa kudumu, <umuiya #a Kidini, Asasi #a Ki!aia, <umuiya na Taasisi #isi#o #a Kise!ika%i na )akundi ya (atu wenye )a%engo 6anayo$anana ku'endeke#a majina ya watu wanaowe#a kuteu%iwa kuwa (ajum e wa Tume . "he!ia hiyo imeainisha uta!ati u wa utendaji ka#i wa Tume na :adidu #a .ejea am a#o ni* +a, ku!ati u na kukusanya maoni ya (ananchi-
+ , ku'itia na kuta$iti usahihi na u%ingani$u wa masha!ti ya kikati a yanayohusu mam%aka ya wananchi, mi$umo ya kisiasa, demok!asia, utawa%a wa she!ia na utawa%a o!a+c, kutoa ma'endeke#o kwa ki%a :adidu ya .ejea- na
+d, kuandaa na kuwasi%isha .i'oti 'amoja na .asimu ya Kati a kwa .ais wa <amhu!i ya )uungano wa Tan#ania na .ais wa Zan#i a! na )wenyekiti wa /a!a#a %a )a'indu#i.
"he!ia hiyo 'ia, inaainisha )isingi ya Kitai$a na )aadi%i am ayo yana'aswa ku#ingatiwa na Tume katika mchakato wa ku'atikana Kati a )'ya. )isingi hiyo ni* +a, + , +c, kuwe'o kwa <amhu!i ya )uunganouwe'o wa "e!ika%i, /unge na )ahakamam$umo wa kiutawa%a wa kijamhu!i-
+d,
+e,
+$, uchagu#i wa kidemok!asia na wa ma!a kwa ma!a katika &i'indi maa%um kwa ku#ingatia haki ya watu wote wenye si$a ya ku'iga ku!a-
+g,
+h,
+i, uwe'o wa <amhu!i ya )uungano isiyo$ungamana na dini yoyote na inayoheshimu uhu!u wa kua udu.
Kwa ujum%a, "he!ia inaainisha ka#i na majukumu ya Tume kuwa ni* +a, kuandaa na kuendesha '!og!amu #a e%imu kwa umma juu ya madhumuni na majukumu ya Tume-
+ , kuitisha na kusimamia mikutano au )a a!a#a ya Kati a katika sehemu na nyakati m a%im a%i kama itaka&yoamua+c, kutathmini na kucham ua maoni ya wananchi yanayoku a%iana na ya%e yasiyoku a%iana- na +d, kutaya!isha na kuwasi%isha .i'oti kwa ku#ingatia :adidu #a .ejea.
Katika kuteke%e#a ka#i na majukumu yake, Tume ime'ewa mam%aka ya* +a, kumtaka mtu yeyote, atakayehia!i, kwenda m e%e yake na ku$anya naye majadi%iano kwa ma#ungum#o au kuwasi%isha nya!aka+ , ku'itia na ku$anya ucham u#i wa michango, mawa#o, maoni, taa!i$a na ma'endeke#o ya%iyoto%ewa na ku$anyiwa tathmini siku #a nyuma, ku'itia nya!aka m a%im a%i #i%i#oainishwa katika "he!ia hiyo, na nyingine #o#ote am a#o Tume itaona #ina$aa+c, kumtaka )kuu wa (i%aya, )ku!ugen#i wa )am%aka ya "e!ika%i #a )itaa, A$isa )tendaji wa Kata au A$isa )tendaji wa Kijiji kuitisha mkutano wa (aka#i wa )ji, Kata, )taa au Kijiji kwa Tan#ania /a!a+d, kumtaka )kuu wa (i%aya, )ku!ugen#i wa )anis'aa, Kati u wa :a%mashau!i ya )ji au (i%aya, au "heha kuitisha mkutano wa (aka#i wa )ji au "hehia, kwa u'ande wa Zan#i a!+e, kuunda Kamati kwa aji%i ya ka#i #a jum%a au maa%um-
+$, kumtumia au kumshi!ikisha mtaa%amu mwe%eke#i au mtu yeyote kad!i itaka&yokuwa %a#ima- na +g, isi'okuwa kama ma#ingi!a yatahitaji &ingine&yo, kutumia uta!ati u unao$anana wa ukusanyaji na ucham u#i wa maoni ya wananchi, uendeshaji wa )a a!a#a ya Kati a na uandaaji wa .i'oti. "he!ia 'ia imeainisha kuwe'o kwa /unge )aa%um %a Kati a na (ajum e wa /unge )aa%um %a Kati a. Aidha, uta!ati u wa kuwa'ata ;iongo#i na "ek!eta!ieti ya /unge )aa%um %a Kati a umeainishwa katika "he!ia hii. "he!ia 'ia imeainisha uta!ati u wa /unge )aa%um kuandaa na ku'itisha Kanuni #a /unge )aa%um %a Kati a na Uta!ati u wa )ajadi%iano ya ku'itisha .asimu ya Kati a
itakayo'endeke#wa kwa (ananchi i%i kui'igia ku!a ya maoni. Kati a ita'itishwa kwa kuungwa mkono na the%uthi m i%i ya (ajum e kutoka Tan#ania /a!a na the%uthi m i%i ya (ajum e kutoka Zan#i a!. Uta!ati u wa ku!a ya maoni na U#indu#i wa Kati a m'ya 'ia umeainishwa. Kwa ki$u'i, "he!ia ya )a adi%iko ya Kati a, "u!a ya 23, ni Kati a au )saha$u wa )chakato wa )a adi%iko ya Kati a unaoende%ea hi&i sasa. "he!ia imeunda &yom o &yote muhimu na ki%a chom o kime'ewa hadidu #a !ejea. Ki%a chom o kimewekewa uta!ati u wa ka#i na mada!aka yake. Katika uta!ati u huu ki%a chom o kina mada!aka yake ya%iyowekewa mi'aka. :aiyamkini kwa Tume kukusanya maoni, kuandika .asimu ya Kati a, kuiwasi%isha katika /unge )aa%um %a Kati a kisha nayo ishi!iki kuijadi%i .asimu ya Kati a. Au, /unge )aa%um %a Kati a, %enye mada!aka ya kujadi%i na ku'itisha .asimu ya Kati a wakati huo huo kuandika .asimu ya Kati a m ada%a au ku adi%i m$umo wa .asimu ya Kati a i%iyoanda%iwa na Tume. :i&yo hi&yo, kwa Tume ya Uchagu#i na (ananchi. Ki%a a%iyetajwa, ikiwa ni 'amoja na .ais wa <amhu!i ya )uungano na .ais wa Zan#i a!, ana jukumu maa%um %i%i%oainishwa na "he!ia.
=.0
Ku$uatia Tume kuka idhi .i'oti na &iam atanisho &yake kwa )a!ais, kama "he!ia ina&yoe%eke#a .ais amekwishacha'isha .asimu ya Kati a ya <amhu!i ya )uungano katika Ga#eti %a "e!ika%i na &yom o &ingine &ya ha a!i, amekwishateua (ajum e wa /unge )aa%um %a Kati a na ku%iitisha /unge )aa%um %a Kati a i%i kukutana kuan#ia ta!ehe 12 5e !ua!i, 401=, 7odoma. Kwa muji u wa "he!ia ya )a adi%iko ya Kati a, )wenyekiti wa Tume ya )a adi%iko ya Kati a atawasi%isha .asimu ya Kati a katika /unge )aa%um. /unge hi%o %itakuwa na waji u wa kujadi%i na ku'itisha .asimu ya Kati a ka %a ya ku'igiwa ku!a ya maoni na wananchi.
?.0
/unge )aa%um %a Kati a ni chom o cha uwaki%ishi kama %i%i&yo /unge %a kawaida isi'okuwa /unge )aa%um %a Kati a huundwa kwa aji%i tu ya kutunga Kati a na
ku$anya shughu%i #ingine #ina#oam ata na utungaji wa Kati a. /unge )aa%um %a Kati a hu'ewa jukumu hi%i %a kutunga kati a ada%a ya /unge %a kawaida kwa sa a u /unge )aa%um %a Kati a %inawaki%isha wananchi am ao ndio msingi wa mam%aka ya nchi na &yom o &yake &yote ikiwemo /unge %a kawaida am a%o 'ia ni #ao %a Kati a. )ajukumu ya /unge %a )aa%um %a Kati a yanawe#a kuto$autina ku%ingana na namna uta!ati u m#ima wa mchakato wa ma adi%iko ya kati a u%i&yo'angwa. Katika aadhi ya nchi, /unge )aa%um %a Kati a hu'ewa mam%aka ya kusimamia mchakato wote wa ma adi%iko ya kati a, wakati katika nchi nyingine /unge hi%i hushi!ikiana na &yom o &ingine katika ku$anya na kusimamia mchakato wa ma adi%iko ya kati a.
?.1
)ada!aka ya /unge )aa%um yamekuwa yana adi%ika kwa kutegemea aina ya mchakato unaotumika. A$!ika kusini, Nami ia na 9am odia /unge )aa%um %enyewe ndi%o %i%i'ewa jukumu %a kuandika .asimu ya Kati a. Katika ma#ingi!a haya, /unge )aa%um %i%ikuwa na mada!aka ya ku adi%isha mam o mengi katika .asimu ya Kati a. /unge )aa%um %i%ikuwa na mada!aka ya kuachana na .asimu ya Kati a na kuandika .asimu ) ada%a.
)ada!aka ya /unge )aa%um yanakuwa na mi'aka enda'o .asimu ya Kati a imeanda%iwa na Tume ya )aadi%iko ya Kati a au 9hom o cha aina hiyo. /unge )aa%um %inawe#a kuwa hu!u ku!eke isha aadhi ya masha!ti ya%iyomo kwenye .asimu ya Kati a %akini si sua%a %a kawaida /unge )aa%um ku adi%i hoja ya msingi. <insi ushi!ikishaji wa (ananchi una&yokuwa wa wa#i na m'ana ndi&yo mada!aka ya /unge )aa%um yana&yo'ungua. )antiki ni ku#uia /unge )aa%um kunyangAanya mada!aka ya (ananchi, yaani 0act o$ 'o'u%a! so&e!eignty1. (ataa%am wa masua%a ya Kati a, wanae%e#a kuwa mada!aka ya /unge )aa%um katika ma#ingi!a haya ni ku o!esha .asimu ya Kati a.
Kwa muji u wa ki$ungu cha 4?+1, cha "he!ia ya )a adi%iko ya Kati a, "u!a ya 23, /unge )aa%um %ime'ewa mada!aka ya kujadi%i na ku'itisha masha!ti ya Kati a, kutunga "he!ia ya )asha!ti ya )'ito na )asha!ti yatokanayo na ka %a ya kuan#a ka#i hiyo, /unge )aa%um %ita'itisha Kanuni #a /unge )aa%um am a#o #itaongo#a uteke%e#aji wa mam%aka ya /unge )aa%um.
?.4
Kanuni #a /unge )aa%um %a Kati a sha!ti #i#ingatie kwam a /unge )aa%um, kwa muji u wa mada!aka %i%iyo'ewa chini ya ki$ungu cha 4?+1, cha "he!ia ya )a adi%iko ya Kati a, "u!a ya 23, ni chom o cha ku o!esha masha!ti ya .asimu ya Kati a. Katika kuteke%e#a mada!aka ya kujadi%i na ku'itisha masha!ti ya kikati a, /unge )aa%um %ita#ingatia msingi kwam a masha!ti ya kikati a ndani ya .asimu ya Kati a ni taswi!a, di!a na ndoto #a (ananchi am a#o #imee%e#wa ku'itia maoni ya mwananchi mmoja mmoja na makundi ya wananchi ku'itia asasi, taasisi, jumuiya na makundi ya (atu (enye )a%engo 6anayo$anana. /unge )aa%um %ita$anya ka#i ya ku o!esha masha!ti ya Kikati a ya%iyomo ndani ya .asimu ya Kati a 'asi'o kuweka masha!ti ma'ya am ayo kwa taathi!a yake yana adi%isha au ku$i$isha masha!ti ya kikati a ya%iyomo kwenye .asimu ya Kati a.
B.0 )UUN78 (A )UUNGAN8 (A "@.IKALI TATU )uundo wa )uungano umewekwa katika "u!a ya "ita ya .asimu ya Kati a. I%i ku'ata maana kami%i ya muundo wa )uungano unao'endeke#wa, Tume ni &ema kusoma "u!a ya Kwan#a, "u!a ya Nane na "u!a ya Kumi na tano. Taswi!a ya )uungano wa "e!ika%i Tatu unao'endeke#wa katika .asimu ya Kati a imejengwa katika I a!a ya 1 inayoie%e#a <amhu!i ya )uungano wa Tan#ania kuwa ni nchi na shi!ikisho %enye mam%aka kami%i C "o&e!eign 5ede!a% .e'u %ic. Kwa ha%i hiyo )uungano wa "e!ika%i Tatu hau adi%i hadhi ya <amhu!i ya )uungano katika jumuiya ya kimatai$a kuwa ni nchi moja. Ku'endeke#wa kuan#ishwa kwa
"e!ika%i ya Tanganyika haina maana ya kuunda nchi m'ya. Kinacho'endeke#wa ni kutenganisha mam%aka ya )am o ya )uungano na )am o yasiyo ya )uungano ya Tanganyika. Tanganyika na Zan#i a! ha#ina hadhi ya <amhu!i, na kwa hiyo si 0"o&e!eign "tates1 kama i%i&yo <amhu!i ya )uungano.
B.1 )isingi ya )uundo wa )uungano wa "e!ika%i Tatu )uungano wa "e!ika%i Tatu unao'endeke#wa ume#ingatia mam%aka tatu #i%i#omo ndani ya <amhu!i ya )uungano hi&i sasa* +a, )am%aka ya )am o ya )uungano C<u!isdiction on Union )atte!s yanayosimamiwa na "e!ika%i ya <amhu!i ya )uungano kwa muji u wa I a!a ya =+4,, +3, na 3=+1, na +3, #a Kati a ya <amhu!i ya )uungano wa Tan#ania ya mwaka 1DEE+ , )am%aka ya )am o yasiyo ya )uungano ya Zan#i a! yanayosimamiwa na "e!ika%i ya )a'indu#i ya Zan#i a! kwa ku'itia Kati a ya Zan#i a! ya mwaka 1D2= na kwa muji u wa I a!a ya =+4, na +3,, B=+4, na +?, na I a!a ya 104 ya Kati a ya <amhu!i ya )uungano wa Tan#ania ya mwaka 1DEE- na +c, )am%aka ya )am o yasiyo ya )uungano ya Tanganyika am ayo kwa sasa yanasimamiwa na <amhu!i ya )uungano kwa muji u wa Kati a ya sasa F I a!a ya =, 3=+4, na +3, na B= +=,. Ki%a mam%aka sasa itakuwa na "e!ika%i yake am ayo itasimamiwa na Kati a m'ya ya <amhu!i ya )uungano.
B.4 )gawanyo wa majukumu na mada!aka katika "e!ika%i tatu I a!a ya B0 na Nyonge#a ya Kwan#a inao!odhesha mam o sa a ya )uungano am ayo yanasimamiwa na <amhu!i ya )uungano. :aya ndiyo masua%a makuu na ya msingi ya kido%a +"o&e!eign 5unctions, am ayo ndiyo ya%i&yo katika masua%a 11 ya )uungano ya%iyomo katika :ati ya )uungano ya )waka 1DB=. Katika mam o haya sa a, <amhu!i ya )uungano inayo mam%aka kami%i tena yasiyogawanyika. )am o hayo E hayawe#i ku$anywa na "e!ika%i #a Nchi
(ashi!ika wa )uungano kwa sa a u ha#ina si$a ya 0"o&e!eign "tates1. Kwa m$ano sua%a %a u%in#i na usa%ama %i'o moja kwa moja katika <amhu!i ya )uungano. >amoja na o!odha ya mam o ya )uungano ya%iyoo!odheshwa katika Nyonge#a ya Kwan#a, #i'o taasisi am a#o #imetajwa katika .asimu ya Kati a kuwa #a )uungano %akini ha#ijao!odheshwa. Taasisi hi#o na mam o hayo yamejumuishwa katika )am o ya )uungano 6a%iyokusudiwa katika aya ya 1 ya )am o ya )uungano, yaani C Kati a na )am%aka ya <amhu!i ya )uungano.
B.3 :adhi ya )a!ais wanaotajwa katika .asimu ya Kati a Katika .asimu ya Kati a yumo .ais wa <amhu!i ya )uungano wa Tan#ania, .ais wa Tanganyika na .ais wa Zan#i a!. Ingawa wote wanaitwa .ais, %akini hawa$anani kwa hadhi na majukumu. .ais mwenye mam%aka juu ya <amhu!i ya )uungano ni .ais wa <amhu!i ya )uungano. Kwa hiyo, kwa muji u wa .asimu ya Kati a, .ais wa <amhu!i ya )uungano ndiye 'eke yake )kuu wa Nchi mwenye mam%aka kami%i +:ead o$ "tate,, Ami!i <eshi )kuu na )kuu wa "e!ika%i ya )uungano. .ais wa Tanganyika na .ais wa Zan#i a! hawana si$a hi#o ingawa wao ni wakuu wa mam o yote yasiyo ya )uungano katika maeneo yao ya utawa%a. Kwa kuhakikisha hi%o, .ais wa Tanganyika na .ais wa Zan#i a! hawaku'ewa hadhi ya )akamu wa .ais kwa makusudi. Kwa msingi huo hawawe#i kukaimu na$asi ya .ais wa <amhu!i ya )uungano akisa$i!i au akiwa hawe#i kuteke%e#a ka#i kwa muda. :i%o %ikitokea wanawe#a kukaimu ni )akamu wa .ais, (a#i!i )wandami#i, n.k.
B.=
)uundo wa "e!ika%i Tatu umejengwa katika )isingi ya Utendaji +>!inci'%es, i$uatayo* +a, + , )uungano wa :ia!i +;o%unta!y Union,ushi!ikiano + 9oFo'e!ation,-
B.=.1 )uungano wa :ia!i +;o%unta!y Union, <amhu!i ya )uungano wa Tan#ania ni )uungano wa i%iyokuwa <amhu!i ya Tanganyika na i%iyokuwa <amhu!i ya (atu wa Zan#i a!. )singi wa )uungano huu ni )aku a%iano ya )uungano +A!tic%es o$ Union, ya mwaka 1DB= ya%iyo$ikiwa aina ya matai$a haya mawi%i. 9hini ya maku a%iano hayo, matai$a hayo ya%iku a%iana kwa hia!i kuachia aadhi ya mam%aka na kuya'e%eka mam%aka hayo katika "e!ika%i ya )uungano. Uhia!i huu wa kuku a%i kuungana kwa matai$a haya mawi%i ni moja ya misingi ya uteke%e#aji wa muundo wa )uungano unao'endeke#wa wa "e!ika%i Tatu. I a!a ya 1+3, ya .asimu ya Kati a ina'endeke#a 'amoja na mam o mengine, :ati ya )uungano iwe ni msingi mkuu wa <amhu!i ya )uungano wa Tan#ania. B.=.4 Ushi!ikiano +9oFo'e!ation, )singi mwingine wa utendaji katika muundo wa "e!ika%i Tatu ni Ushi!ikiano. 9hini ya msingi huu, "e!ika%i ya )uungano na "e!ika%i #a Nchi (ashi!ika #itakuwa na ushi!ikiano aina yao katika shughu%i #ote #a utendaji na uendeshaji wa nchi i%i m!adi ushi!ikiano huo haukiuki Kati a. I a!a ya B?+1, ina'endeke#a kuwa Nchi )shi!ika iwe#e kuom a ushi!ikiano kutoka "e!ika%i ya <amhu!i ya )uungano kwa aji%i ya ku$anikisha uhusiano wake wa kikanda au kimatai$a. Aidha, I a!a ya BB ina'endeke#a masha!ti kuhusu ushi!ikiano kati ya Nchi (ashi!ika #enyewe na aina ya Nchi hi#o na "e!ika%i ya )uungano kwa %engo %a kuku#a na ku%inda mas%ahi ya Tai$a na kuku#a maende%eo ya wananchi. B.=.3 U!ati u +9oo!dination, Katika m$umo wa "e!ika%i Tatu, u!ati u wa uhusiano aina ya "e!ika%i hi#o ni moja ya misingi muhimu. I a!a ya BE ina'endeke#a kuwe'o kwa (a#i!i )kaa#i
atakayeteu%iwa na ki%a Nchi )shi!ika atakaye$anya ka#i akiwa )akao )akuu ya "e!ika%i ya )uungano. )oja ya majukumu ya msingi ya (a#i!i )kaa#i ni ku!ati u uhusiano aina ya "e!ika%i yake na "e!ika%i nyingine ya Nchi )shi!ika na kati ya "e!ika%i yake na "e!ika%i ya )uungano. Aidha, I a!a ya 10D ina'endeke#a kuan#ishwa kwa Tume ya Uhusiano na U!ati u wa "e!ika%i chini ya uenyekiti wa )akamu wa .ais. Kuwe'o kwa u!ati u kutaima!isha uhusiano wa kiutendaji aina ya "e!ika%i #ina#o'endeke#wa na hi&yo kuima!isha )uungano. B.=.= )shikamano +"o%ida!ity, )shikamano +"o%ida!ity, ni moja ya misingi muhimu ya utendaji katika m$umo wa "hi!ikisho. )singi huu ume#ingatiwa katika .asimu inayo'endeke#wa i%i kuhakikisha kuwa "e!ika%i #ote tatu #inashikamana na kusaidiana katika ki%a ha%i inayowe#a kujitoke#a. )atha%ani, I a!a ya B4+3, ina'endeke#a kui'a "e!ika%i ya )uungano, kwa maku a%ino na masha!ti maa%um na "e!ika%i ya Nchi )shi!ika, mada!aka ya kuteke%e#a jam o %o%ote %i%i%o chini ya mam%aka ya "e!ika%i ya Nchi )shi!ika. Aidha, I a!a ya B? na BB #ina'endeke#a kuwe'o kwa ushi!ikiano aina ya "e!ika%i #a Nchi washi!ika na kati ya "e!ika%i hi#o na "e!ika%i ya )uungano. )singi huu ni muhimu katika kuhakikisha kuwa wananchi wa 'ande #ote m i%i #a )uungano wananu$aika kwa usawa na mshikamano aina ya Nchi (ashi!ika. B.=.? "u sidia!ity )singi wa su sidia!ity unakusudia kuweka uta!ati u wa mam%aka #a chini kuteke%e#a majukumu ya%iyo ndani ya uwe#o wake ikiwa mam%aka hi#o #ina uwe#o wa kuteke%e#a majukumu hayo kwa ukami%i$u. )singi huu wa su sidia!ity una!uhusu mam%aka ya juu kuteke%e#a jam o am a%o kwa kawaida huteke%e#wa na mam%aka ya chini iwa'o mam%aka ya juu ina uwe#o wa kuteke%e#a jam o husika kwa u$anisi au &ingine&yo. I a!a ya B? na BB #imeweka msingi kwam a, ingawa "e!ika%i ya )uungano itakuwa na mam%aka ya kushughu%ikia )am o ya )uungano, "e!ika%i hiyo, kwa !idhaa ya "e!ika%i ya Nchi )shi!ika, itakuwa na mam%aka ya kushughu%ikia masua%a yasiyo ya )uungano katika Nchi )shi!ika. )singi huu utasaidia kuima!isha utendaji katika muundo wa "e!ika%i Tatu unao'endeke#wa. B.? ;yom o &ya kikati a &ina'endeke#wa kusimamia )isingi ya Utendaji
Katika kuhakikisha kuwa )uungano unaima!ika, ;yom o &i'ya &ya kikati a &ime'endeke#wa kusimamia )isingi ya Utendaji. ;yom o hi&yo ni* +a, + , +c, +d, Tume ya U!ati u na Uhusiano wa "e!ika%i)awa#i!i (akaa#i)ahakama ya <uu/a!a#a %a U%in#i na Usa%ama %a Tai$a.
B.?.1 Tume ya U!ati u na Uhusiano wa "e!ika%i Tume ya U!ati u na Uhusiano wa "e!ika%i inaan#ishwa na I a!a ya 10D na )akamu wa .ais atakuwa ndiye )wenyekiti wa Tume hii, na wajum e wake watakuwa ni .ais wa Tanganyika, .ais wa Zan#i a!, )awa#i!i (akaa#i na (a#i!i mwenye dhamana ya mam o ya nje wa "e!ika%i ya <amhu!i ya )uungano. Tume hii, 'amoja na mam o mengine, itakuwa na dhima ya kusimamia na ku!ati u uhusiano aina ya "e!ika%i #a Nchi (ashi!ika na aina ya "e!ika%i hi#o na "e!ika%i ya )uungano. Tume hii am ayo ina'endeke#wa kuwa na "ek!eta!ieti ya wataa%am wa $ani m a%im a%i, itakuwa 'ia na jukumu %a kuwe#esha u!ati u na ushi!ikiano katika kuteke%e#a masha!ti yanayo'endeke#wa na .asimu ya Kati a, se!a, she!ia, mi'ango na mikakati aina ya "e!ika%i ya <amhu!i ya )uungano na "e!ika%i #a Nchi (ashi!ika na aina ya "e!ika%i hi#o. B.?.4 )awa#i!i (akaa#i (a#i!i )kaa#i ni na$asi ya mada!aka inayo'endeke#wa na I a!a ya BE. (a#i!i )kaa#i atakuwa na waji u wa ku!ati u na kusimamia uhusiano aina ya "e!ika%i yake na "e!ika%i nyingine ya Nchi )shi!ika na kati ya "e!ika%i yake na "e!ika%i ya <amhu!i ya )uungano. B.?.3 )ahakama ya <uu )ahakama ya <uu ni chom o kingine kinacho'endeke#wa kuan#ishwa katika .asimu inayo'endeke#wa. )ahakama ya <uu, 'amoja na mam o mengine, ina'endeke#wa kuwa na mam%aka ya kushughu%ikia kusiki%i#a na kuamua migogo!o aina ya Nchi (ashi!ika au aina ya Nchi )shi!ika na "e!ika%i ya
<amhu!i ya )uungano. )am%aka haya ya )ahakama ya <uu yanakusudia kusimamia misingi ya utendaji katika muundo wa )uunganounao'endeke#wa B.?.= /a!a#a %a U%in#i na Usa%ama %a Tai$a. /a!a#a %a U%in#i na Usa%ama %a Tai$a %ina'endeke#wa kuan#ishwa na I a!a ya 43E ya .asimu inayo'endeke#wa. /aadhi ya (ajum e wa /a!a#a hi%o %ita%oongo#wa na .ais wa <amhu!i ya )uungano ni )akamu wa .ais, .ais wa Tanganyika na .ais wa Zan#i a!. /a!a#a hi%i %itakuwa ndicho chom o 'ekee kitakachowakutanisha (akuu wa "e!ika%i Tatu #ina#o'endeke#wa na kitakuwa chom o cha juu cha kusimamia misingi ya utendaji katika muundo wa "e!ika%i unao'endeke#wa.
GGGGGGGGGGGGGGGGG