You are on page 1of 1

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS


Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail:
ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.o.!"
#a$: 255-22-211%425
PRESIDENTS OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha kuwa malengo ya milenia
yanatekelezwa kwa ukamilifu hata baada ya kuisha muda uliowekwa wa kuyatimiza, kabla ya
kuweka malengo mengine duniani.
Rais Kikwete ametoa ushauri huo tarehe 28 Mei,201 mwanzoni mwa mkutano wa kimataifa
unaohusu !fya ya Mama na Mtoto "i"ini #oronto $anada, amba%o alikuwa aki"ibu maswali kuhusu
matokeo ya malengo ya milenia kuelekea mwisho wa muda wa kuyatekeleza mwakani 201&.
'Tua!i"i#$% &a"% a!'a&( $a)u*a!a"iza na ui!a+i#$a ,a"% ,()% )u"i,(,a-anii#$a au
u,a-iia ' Rais amesema na kuwataka Mataifa kuhakikisha kuwa, malengo manane (8) ya milenia
waliyo"iwekea, yanatekelezwa,kwa ukamilifu kwani ni malengo mazuri na muhimu kwa "amii zetu.
Rais amesema .'aa/a ,a u,ai!a+i#$a na u,a)i!iza $a,a !a"%n0( !anan% )una1%za
u&an0a na u)a-u)a !%n0in% na &ia )u$aii#$% u1a $a,a ,a #a#a $a,a#a$au"ii 1a"a
u)%"%%z1a i"i )u#i*% u+u/i n,u!'a a)ia *i)i$a/a z%)u2.
Malengo ya Milenia Kama yali*yoainishwa na +mo"a wa Mataifa ambayo n,hi zinazoendelea
zinatakiwa kuwa zimeyafikia ifika%o mwaka kesho wa 201& ni %amo"a na kuondoa umaskini
uliokithiri na n"aa, -limu ya Msingi kwa wote, +sawa wa ki"insia na fursa sawa kwa wanawake,
ku%unguza *ifo *ya watoto wa,hanga na u%atikana"i wa huduma bora za uzazi.
Mengine ni ku%anga na ukimwi, Malaria na magon"wa mengine,kulinda mazingira na ku"enga
mshikamano wa kimaendeleo duniani.
Ma%ema tarehe 28 Mei,201, Rais alikutana na wafanyabiashara na wawekeza"i wa makam%uni
mbalimbali ya $anada, ambayo baadhi tayari yana *itega u,humi n,hini #anzani.
Rais amewaeleza wawekeza"i fursa ambazo wanaweza ku%ata iwa%o watawekeza #anzania
ikiwemo katika sekta mbalimbali za kiu,humi.
#arehe 2. Mei,201 mkutano huu unatara"iwa kuendelea na kuzungumzia n"ia mbalimbali ambazo
Mataifa yanatakiwa kufanya kwa %amo"a katika "itihada zao za kuimarisha !fya ya Mama na Mtoto.
/metolewa na0
1remi Kibanga,
Mwandishi wa 2abari wa Rais Msaidizi,
Toronto-Canada.
2. Mei, 201

You might also like