Professional Documents
Culture Documents
Tabasamu la Obama
Serengeti
www.maelezo.go.tz
i Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO
Bodi ya Uhariri
Mwenyekiti
Dkt. Hassan Abbasi
Mkurugenzi-Idara ya Habari-MAELEZO
Wajumbe
Rodney Thadeus
Jonas Kamaleki
John Lukuwi
Elias Malima
Casmir Ndambalilo
Msanifu Jarida
Hassan Silayo
Huduma zitolewazo MAELEZO
1.Kutangaza Utekelezaji wa Serikali.
2.Kuuza Picha za Viongozi wa Taifa na Matukio Muhimu
ya Serikali.
3.Kusajili Magazeti na Majarida
4.Kukodisha Ukumbi kwa Ajili ya Mikutano na Waandishi
wa Habari.
5.Rejea ya Magazeti na Picha za Zamani
6.Kupokea Kero Mbalimbali za Wananchi.
Jarida hili hutolewa na:
Idara ya Habari-MAELEZO
S.L.P 25
Dodoma-Tanzania
Baruapepe:maelezo@habari.go.tz
Blogu: blog.maelezo.go.tz
Website: www.maelezo.go.tz
Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO ii
TAHARIRI
NI BAJETI ILIYOLENGA KUINUA MAISHA YA WANANCHI
Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa na kupitishwa Bungeni hivi karibuni ni
bajeti inayolenga kuwainua wananchi na kuboresha maisha yao.
Tumeona jinsi Wabunge wa Chama Tawala na Vyama vya Upinzani
wakiiunga mkono kwa namna ilivyoondoa kero zilizokuwa zikiwasumbua
wananchi hasa wa kipato cha chini.
Kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha miaka takribani 57 ya uhuru, Bajeti
Kuu ya Serikali haikupandisha bei za vinywaji na sigara zinazotengenezwa
nchini ili kulinda viwanda vya hapa nchini. Kwa jinsi hii wananchi wa kipato
cha chini wataweza kupata bidhaa hizi bila ongezeko la bei.
Kuondoa ushuru kwenye taulo za kike ni jambo ambalo Bajeti Kuu ya
Serikali imelifanya na kufurahiwa na wabunge wengi hasa wanawake
ambao ni wawakilishi wa wananchi. Baadhi ya wanafunzi wa kike
wamekuwa wakishindwa kwenda shule wanapoingia katika hedhi kwa
kukosa hela ya kununua taulo hizo kutokana na bei kuwa kubwa. Ni jambo
la kupongezwa na wananchi wengi kwa ujumla.
Bajeti pia imelenga kuboresha kilimo, ikiwemo miundombinu yake kama
vile ya umwagiliaji. Ikumbukwe kuwa kilimo ni shughuli ya kiuchumi
inayotegemewa na watanzania wengi, hivyo kuboresha sekta hii ni
kuonesha jinsi Serikali inavyowajali watu wake.
Serikali imezidi kutenga fedha kwa ajili ya miradi mikubwa ambayo
itaboresha maisha ya wananchi ikiwemo ya ujenzi wa Reli ya Kisasa
(Standard Gauge), barabara na madaraja.Aidha, serikali imetenga fedha
kwa ajili ya mradi mkubwa wa kuzalisha umeme wa Stiegler’s Gorge na
pia ununuzi wa ndege ili kuboresha usafiri wa anga.
Kuboreshwa kwa usafiri wa anga kutafanikisha shughuli za utalii na hivyo
kuongeza pato la Taifa ambalo litaakisi kuongeza kipato cha mtu mmoja
mmoja na taifa kwa ujumla.
Uboreshwaji wa miundombinu ya usafiri na usafirishaji utawezesha mazao
kufika kirahisi sokoni na kumwezesha mkulima kupata kipato.
Jarida la Nchi Yetu linaunga mkono bajeti hii ambayo imeonesha ukweli
ulio wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Tano inalenga kuwajali wananchi
kwa kuhakikisha kwamba huduma zote zinaboreshwa, jambo ambalo
litawafanya waifurahie na kujivunia nchi yao. Hii ni kusema kwamba Bajeti
ya 2018/19 ni ya wananchi.
Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO
1
Anatekeleza mageuzi.
Sasa ameendeleza mageuzi
hayo kwa kupokea ndege
nyingine kubwa, mpya na ya
kwanza kwa toleo la kisasa la
Boeing 787-8 Dreamliner. Katika
mapokezi ya ndege hiyo Rais
Magufuli, viongozi mbalimbali
wa Serikali pamoja na mamia
ya wananchi si tu wamepokea
ndege hiyo lakini wamethibitisha
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi akitia sahihi pamoja na
kile Rais anachokisema mara
Katibu Mkuu (Sekta ya Uchukuzi), Dkt. Leonard Chamuriho kwa ajili
kwa mara: “Watanzania
ya makubaliano ambayo Serikali imeikodisha Ndege yake mpya aina
ya Boeing 787-8 Dreamliner kwa Shirika la Ndege la ATCL kwa ajili ya
kufanyia biashara ya usafiri wa anga.
“Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na
Tuimarishe Uchumina
Limeandaliwa wa Viwanda
Idara kwa Maendeleo Yetu”
ya Habari-MAELEZO 2
tukiamua, tunaweza.” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege
Ndugu zangu sisi ni taifa kubwa
mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali.
na lenye rasilimali nyinyi sana
hivyo ni aibu kutokuwa na
aliposema kwa kukosa ndege kufanya safari za majaribio
ndege, tuko watu milioni 50 na
hasa za kimataifa ni kama nchini mpaka Septemba mwaka
ushee na tumebarikiwa kuwa
Tanzania ilikuwa uchi duniani. huu, itaanza mara moja safari
na kila kitu kuanzia madini ya
kila aina, wanyama pamoja na za kimataifa ikianzia na India,
“Leo kwa kutuletea ndege hii Thailand na China. Rais naye
vivutio mbalimbali, haiingii akilini
Mheshimiwa Rais nakupongeza akasema hii ni zaidi ya ndege:
kutokuwa na maendeleo, na
sana, umetuvika nguo mbele
ujio wa ndege hii umedhihirisha
ya uso wa kimataifa kwani
kwamba watanzania
jina la Tanzania nalo litasikika “Ndege hii itawasaidia
tunaweza,” alisema Rais Magufuli
katika medani za kimataifa wafanyabiashara wa ndani na
akionekana mwenye furaha.
katika usafiri wa anga,” nje ya nchi, italeta watalii na
alisema Mzee Mrema kauli ni fahari yetu kimataifa. Nchi
Ni Zaidi ya Ndege iliyoungwa mkono na kiongozi nyingi zinazopokea watalii
Tunaweza leo kujadili sana ujio mwingine wa upinzani John wengi zina mashirika yao ya
wa ndege hii pia iliyobatizwa jina Momose Cheyo alipongeza: ndege hivyo na sisi ndege hii
kuwa “ya ndoto zetu” na kujadili itatusaidia.” Ni sahihi. Takwimu
usasa wake na upya wake “Nilipogombea Urais miaka za njia wanazotumia watalii
na ufahari wake. Lakini jambo kadhaa nyuma na kuahidi duniani kwenda kwenye vivutio
kubwa na la muhimu ni umuhimu mapesa wengi hamkunielewa. mbalimbali zinaonesha kuwa
wake kwa uchumi wa nchi. Leo Magufuli anawaletea asilimia 70 wanatumia au
mapesa. Ndege hii ni wanahitaji usafiri wa ndege.
Ndio maana akizungumza mapesa kwa watanzania,
katika mapokezi hayo aliyepata itachangia katika uchumi Katika mapokezi hayo ya
kuwa Naibu Waziri Mkuu na na kuleta watalii wengi.” kihistoria ya ndege, Rais Magufuli
Waziri wa Mambo ya Ndani, Akishadidisha faida hizo Rais aliwashukuru watanzania kwa
Mzee Augustine Lyatonga Magufuli katika hotuba yake kumuunga mkono kwa kuchapa
Mrema alisisimua wengi pale alisema baada ya ndege hiyo
3 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO
W akati Watanzania
wakifurahia kutimia kwa
ndoto ya ujio wa Dreamliner siku
chache zilizopita Rais Mstaafu wa
Marekani, Baraka Obama akiwa
na familia yake naye alitimiza
ndoto yake ya miaka mingi.
Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama akipokea zawadi Maalum kutoka kwa Balozi Augustino Mahiga
alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) akitokea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti alikotalii kwa muda
wa siku nane.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya wa Maendeleo ili kukabiliana bustani ya majani katika kingo
Muungano wa Tanzania, Mhe. athari za mabadiliko ya tabia za barabara za ukuta wa
Samia Suluhu Hassan ameutaka nchi na hivyo kuleta tishio ufukwe huo na kufanya kuwa
Uongozi wa Jiji la Dar es Salaam katika maendeleo ya kijamii chanzo cha mapato cha Jiji hilo.
kuweka mikakati madhubuti na kiuchumi kwa wananchi.
ya kulinda na kuhifadhi Aidha Mhe. Samia alisema
miundombinu ya ukuta wa “Ujenzi wa ukuta huu ni njia Serikali itaendelea kushirikiana na
fukwe za bahari ili kukabiliana mojawapo ya kujihami na wadau mbalimbali wa mazingira
na athari za mabadiliko ya tabia kupunguza athari za mabadiliko ikiwemo Mfuko wa Dunia wa
nchi ikiwemo kusogea kwa ya tabia nchi, tukiutunza kuhimili mabadiliko ya tabia
bahari na milipuko ya magonjwa vizuri ukuta huu utaweza nchi na kuongeza kuwa Serikali
ya wanyama na binadamu. kuishi kwa miaka zaidi ya ya Awamu ya Tano itaendelea
70, tukitunza miundombinu kusimamia utekelezaji wa miradi
Akizungumza katika uzinduzi yake tutaweza kufurahia inayoendelea ya ujenzi ya
wa ukuta wa fukwe ya bahari mandhari ya maliasili ya bahari” ukuta wa fukwe za bahari katika
eneo la Coco Beach Jijini Dar es alisema Makamu wa Rais. maeneo mbalimbali nchini.
Salaaam, Mhe. Samia alisema
ukuta huo ni miongoni mwa Aliitaka Halmashauri ya Jiji Kwa upande wake, Waziri wa
mipango na mikakati ya muda la Dar es Salaam kuimarisha Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
mrefu iliyobuniwa na Serikali miundombinu ya ukuta huo, (Muungano na Mazingira), Mhe.
kwa kushirikiana na Wadau kujenga vibaraza na kupanda January Makamba alisema
“Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na
Tuimarishe Uchumina
Limeandaliwa wa Viwanda
Idara kwa Maendeleo Yetu”
ya Habari-MAELEZO 10
“
hizo kwa ustawi wa vizazi vijavyo.
na Kisiwa Panza, Pemba.
Aliongeza kuwa utekelezaji
Naye Katibu Mkuu Ofisi ya
wa mradi huo ni sehemu ya
manufaa ya ushiriki wa Tanzania
Makamu wa Rais (Muungano Serikali ya Awamu
na Mazingira), Mhandisi Joseph
katika mahusiano ya kimataifa
Malongo alisema ujenzi wa
ya Tano itaendelea
hususani nafasi ya uanachama
wa mkataba wa kimataifa
ukuta huo ulianza mwaka 2012 k u s i m a m i a
wa mabadiliko ya tabia nchi
kupitia mkataba wa Umoja wa
Mataifa wa kudhibiti mabadiliko
utekelezaji wa miradi
na hivyo kunufaika na mifuko
ya tabia nchi kwa kushirikiana inayoendelea ya
mbalimbali iliyosaidia udhibiti
wa athari za mabadiliko ya tabia
na Halmashauri za Manispaa ujenzi ya ukuta wa
ya Ilala, Kinondoni, Temeke
nchi katika nchi zinazoendelea.
na Chuo Cha Kumbukumbu fukwe za bahari
Akifafanua zaidi, Waziri
ya Mwalimu Nyerere (MNMA). katika maeneo
Makamba alisema mabadiliko
Mhandisi Malongo alisema
mbalimbali nchini.
ya tabia nchi yameleta athari
ukuta huo una urefu wa
kubwa katika sekta za uzalishaji
mali ikiwemo kilimo, ufugaji,
mita 920, ambapo jumla ya Mhe. Samia Suluhu
uvuvi na nishati hivyo Serikali
Dola ya Kimarekani milioni
5.08 zimetumika katika
Hassan
“Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na
11 Tuimarishe Uchumi
Limeandaliwa wayaViwanda
na Idara kwa Maendeleo Yetu”
Habari-MAELEZO
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akiongoza zoezi la upimaji wa VVU wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha
upimaji wa VVU hususani kwa wanaume na kuanza ARV mapema unapogundulika kuwa na maambukizi, uwanja wa
Jamhuri jijini Dodoma, kauli mbiu: Mwanaume jali Afya yako Pima VVU. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa, akipokea tuzo ya heshima kutoka kwa Waziri wa Nchi OR TAMISEMI Mhe.
Suleiman Jaffo (kushoto) Waziri wa Nchi OWM Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kushoto) na Waziri wa Afya Mhe.
Ummy Mwalimu (kulia) ishara ya kuwa kinara wa kuhamasisha wanaume kupima VVU na kuanza ARV iwapo
wanapogundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
itadumu kwa kipindi cha miezi sita na Kwa upande wake Waziri wa Afya Tanzania iliridhia wananchi wake kupima
Serikali imeridhia utaratibu huo kwa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na kuanza kutumia dawa za kupunguza
kuwa una manufaa kwa mtumiaji wa na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, makali ya Virusi Vya Ukimwi kwa wale
dawa na jamii kwa ujumla. “Naahidi alisema kuwa kati ya shilingi bilioni waliokutwa na maambukizi. Dawa
nitakuwa balozi wa kampeni hii kwa 269 zilizotengwa kwa mwaka wa hizo zimeonesha mafanikio makubwa,
kuhamasisha wananchi katika ziara fedha 2017/18, wizara yake imetenga na hivi sasa Serikali imetangaza kuwa
zangu zote kupima na kuanza dawa bilioni 5.3 kwa ajili ya kununulia ifikapo mwaka 2019 Serikali itaanza
mapema. Nitakuwa na kaulimbiu ya dawa za magonjwa nyemelezi kutoa dawa mpya za kupunguza
“Mwanaume jali afya yako, pima VVU” kwa watu wanaoishi na VVU. nguvu za VVU zenye ufanisi mkubwa.
na ninaomba viongozi wenzangu
na wanasiasa mniunge mkono” Katika kuhakikisha kampeni ya Kwa mujibu wa Wataalamu wa
Mheshimiwa Waziri Mkuu alisisitiza. “Furaha Yangu” inafanikiwa, Serikali afya, kutumia dawa za kupunguza
imeongeza vituo vya kupima VVU na makali ya VVU kwa usahihi,
Aidha, Mhe. Waziri Mkuu aliwahimiza kutoa ushauri nasaha kutoka vituo kunapunguza haraka nguvu za
wanacnhi kuanza kutumia 5,700 mwaka 2015 hadi kufikia vituo VVU na pia kadri mtu anavyotumia
dawa watakazopewa mara 6,005 Machi 2018. Aidha, vituo 4365 dawa hizo ndivyo anavyopunguza
tu wanapogundulika kuwa na vinatoa huduma ya kuzuia maambukizi uwezekano wa kuambukiza
maambukizi ya VVU bila hata kusubiri kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto. watu wengine kwa asilimia 70”.
CD4 kushuka sana. Kwa mujibu wa
takwimu za utafiti uliofanyika 2016/17 “Mwaka 2011 maambukizi ya VVU
zinaonyesha kuwa nchini Tanzania kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
“Mwanaume jali
ni asilimia 52.2 tu ya wanaoishi na
VVU wenye umri wa miaka 15 hadi
yalikuwa juu, kiasi cha asilimia 12 ya
watoto nchini walikuwa wakizaliwa
afya yako, pima
64 walitoa taarifa kuwa wanajua na VVU. Hivi sasa maambukizi hayo VVU na naomba
hali zao za maambukizi ya VVU yameshuka hadi kufikia asilimia 4.9. Hata viongozi wenzangu na
ambapo wanawake ni asilimia 55.9 na hivyo Serikali imedhamiria kuhakikisha wanasiasa mniunge
wanaume ni asilimia 45.3 na kwamba kuwa hakuna mtoto anayezaliwa mkono”
kkiwango cha hamasa kwa wanaume akiwa na VVU”, alisema Waziri Ummy.
Mhe. Kassim Majaliwa
kutembelea huduma za upimaji wa VVU
zipo chini ukilinganisha na wanawake. Mwezi Oktoba mwaka 2016, Serikali ya
13 Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO
Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikitua katika Ardhi ya Tanzania wakati
ikitokea nchini Marekani.
Muungano wa Tanzania Waziri Fedha mapato ya ndani na TSh trilioni 2.1 sawa
na Mipango Dkt. Philip Mpango na asilimia 12.7 kutoka vyanzo vya nje.
Na. Mwandishi Wetu- MAELEZO alisema makadirio hayo yamezingatia
upatikanaji wa mapato ya Serikali Aidha kuhusu mikopo kwenye mwaka
Mwezi Juni Mwaka huu Tanzania kutoka katika vyanzo mbalimbali. huu wa fedha, Serikali inatarajia
imeshuhudia kuwasilishwa Bungeni kukopa TSh Trilioni 5.7 kutoka katika
kwa Bajeti ya mwaka 2018/2019 “Serikali katika mpango wa 2018/19 soko la ndani. Kati ya fedha hizo, Sh4.6
ambapo Serikali inatarajia kukusanya imepanga kutumia TSh trilioni 20.4 kwa trilioni zitatumika kulipa hati fungani
na kutumia TSh trilioni 32 ikiwa matumizi ya kawaida sawa na asilimia na dhamana za Serikali zinazoiva.
ni ongezeko la TSh Bilioni 800 63 na kwamba kiasi hicho kitajumuisha Alisema TSh trilioni 1.1 zinazozidi
ikilinganishwa na bajeti iliyopiota TSh Trilioni 10 zitakazotumika kulipa ndio mikopo mipya ambayo ni
ambayo ilikuwa ya TSh trilioni 31.7. deni la Taifa, wakati TSh trilioni 7.3 sawa na asilimia 0.9 ya Pato la
zikiwa ni mishahara ya watumishi Taifa.”Kuongeza kasi ya utekelezaji
Katika kutekeleza bajeti hiyo ya serikali na TSh trilioni 3 ni kwa matumizi wa miradi, Serikali inatarajia
msukumo mkubwa umeelekezwa mengineyo,” alisema Dkt. Mpango. kukopa TSh3.1 kutoka soko la nje.
katika ujenzi wa miundombinu pamoja
na utekelezaji wa miradi mikubwa ya Waziri wa fedha na Mipango alisema Akielezea miradi itakayotekelezwa
maendeleo ikiwemo Ujenzi wa kipande kuwa TSh trilioni 12 ambazo ni asilimia Waziri Mpango alisema Sh trilioni
cha Reli ya Kati kwa gharama ya 37 zimetengwa kutumika kwa ajili ya 1.4 zitatumika kuimarisha reli ya
fedha za kitanzania Shilingi 1.4 trilioni. kutekeleza miradi ya maendeleo na kati na fedha zote zitapatikana
katika kiasi hicho, TSh trilioni 9.8 sawa na kutoka kwenye vyanzo vya ndani.
Mbele ya Bunge la Jamhuri ya asilimia 82.3 zitatokana na vyanzo vya Pia Shirika la Ndege Tanzania (ATCL)
Limeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO
14
Tanzania (TBS), katika kusimamia
ubora wa bidhaa hapa nchini.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha begi Kwa mwelekeo wa bajeti hii ni dhahiri
lenye hotuba ya Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2018/2019 bungeni Tanzania itaendelea kukua kiuchumi
Dodoma hivi karibuni. kama nchi na kwa mwananchi
mmoja mmoja kwa kuwa miradi
limetengewa TSh bilioni 495 kukamilisha kulipa tozo ya ardhi pamoja na mingi mikubwa itaajiri watanzania
ununuzi wa ndege ya pili aina ya Boeing kulitangaza kama eneo la uwekezaji. wengi na kutoa fursa za kibiashara
787 Dreamliner na Bombardier Q400-8. Kiasi cha Sh10 bilioni zimetengwa kwa kwa wananchi wa maeneo
ajili ya bidhaa za ngozi huko Zuzu, ambayo miradi hiyo inatekelezwa.
Kwa upande wa mradi wa kufua mkoani Dodoma na TSh bilioni 2 ni kwa
umeme wa maji katika Bonde la Mto ajili ya kuimarisha Shirika la Viwango
Rufiji alisema TSh Bilioni 700 zimetengwa
ikiwa ni kwa ajili ya ujenzi wa ofisi,
bwawa na njia za kupitisha maji.
tunachangia makato ya mfuko wa Mwekezaji wa Kiwanda cha kubangua korosho cha Micronics System LTD
hifadhi ya jamii wa NSSF kwa asilimia kilichopo Newala, Mkoani Mtwara Bw. Sunil Kawath akitoa maelezo kwa Maafisa
10 na muajiri anakatwa asilimia 10. wa Serikali waliotembelea kiwanda hicho hivi karibuni..
kuweka kumbukumbu. Pia, uwasilishaji mkulima fedha yake taslim bila kukopwa.
“Isitoshe tunapata chakula cha mchana wa kilo hizo za korosho katika chama
hapa kazini kwa kweli kama Tanzania kikuu cha ushirika – MUCOS na kufanya
ya viwanda iko hivi tunakila sababu mnada wa wazi ambao unampatia kila
ya kumuombea Mhe Rais wetu Mungu
ampe maisha marefu azidi kuboresha
hali zetu za maisha”. Alieleza Bi Ritha.
NUKUU YA LEO
6
“Tuunge Mkono Jitihada za Kupinga Rushwa na Ufisadi na
19 Tuimarishe Uchumi
Limeandaliwa na Idarawa Viwanda kwa Maendeleo Yetu”
ya Habari-MAELEZO
Wataalamu wa ujenzi kutoka kampuni ya Yapi Merkezi Jengo la Hospitali ya kisasa ya Mkoa wa Simiyu ambalo
wakiwa wamekamilisha kuweka daraja la kwanza eneo ujenzi wake utakamilika mwaka huu ikiwa ni miongoni
la Shaurimoyo, Dar es Salaam ikiwa ni miongoni mwa mwa majengo ambayo yametumia kiasi cha Bil.1. 7
vipande 100 vya madaraja ya juu yatakayoiwezesha treni zilizotolewa na Serikali.
ya SGR kupita juu kwa kilometa 2.8 kukwepa muingiliano
na magari katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Kivuko cha MV. Mwanza kikiwa ndani ya Ziwa Victoria, kivuko hicho kitaanza kutoa huduma ya usafiri na
usafirishaji wa abiria na mizigo kati ya Kigongo Misungwi na Busisi Sengerema mkoani Mwanza.
Na. Mwandishi Wetu -MAELEZO kulazimika kuvuka upande mmoja wa Kampuni ya Songoro Marine
Transport Bwana Salehe Songoro,
Kivuko cha MV. Mwanza kikiwa juu ya mifuko ya hewa kabla ya kushushwa majini
akikagua maendeleo ya ujenzi wa ndani ya Ziwa Victoria katika ufukwe wa karakana ya kampuni hiyo Ilemela hivi
kivuko cha MV Kazi ambacho pia karibuni Mkoani Mwanza.
kimetengenezwa jijini Dar es salam na hata nchi jirani za Rwanda na Burundi. Tuunge mkono juhudi zinazofanywa na
Kampuni ya Songoro Marine Transport Serikali kuimarisha huduma za usafiri
na kukabidhiwa Machi 12, 2017 alitoa Tanzania ya viwanda yenye uchumi wa na usafirishaji kwa njia ya maji kwa
rai TAMESA kushiriki kikamilifu shughuli za kati kufikia mwaka 2025 inawezekana. kutumia miundombinu hii iliyoboreshwa
matengenezo ya vivuko ili kupata ujuzi ili kuleta maendeleo yetu na taifa.
wa ufungaji wa mifumo kutoka Kampuni
zinazotengeneza vivuko vya serikali.
Maafisa kutoka DAWASA, wakiangalia sehemu ya mabwawa ikiwa ni harakati za kuweka mfumo wa maji safi
katika kambi ya wajenzi, eneo la kuzalisha umeme wa Stiegler’s kwa sasa ‘The Rufiji Hydropower Project
(RHPP) wilayani Rufiji mkoani Pwani.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Bw. Leonard Kushoka (wa
pili kulia) mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 300 mara baada ya kuibuka mshindi wa shindano la teknolojia ya
nishati mbadala wa mkaa mwaka 2018, wengine pichani ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Mhe. January Makamba (mwenye suti ya bluu) na Mwenyekiti Mkazi wa Kampuni ya Shell Bw. Axel Knospe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akisisitiza Kulingana na takwimu alizozitoa
jambo kwa wadau wa sekta ya kilimo wakati wa uzinduzi wa Program ya Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya
Kuendeleza Sekta ya Kilimo Awamu ya Pili (ASDP II) hivi karibuni jijini Dar es Taifa ya Umwagiliaji Mhandisi, Dkt.
Salaam. Eliakimu Chitutu, Tanzania kwa sasa
ina ufanisi wa matumizi ya maji
“
lenye mahitaji makubwa wakati wote.
Akionyesha mafanikio ya tekinolojia
Uzalishaji wa aina hii utaifanya nchi ya umwagiliaji Chitutu alisema
kuwa na uhakika wa usalama wa kilimo cha Umwagiliaji kimechangia
chakula na kuzalisha kwa ubora ongezeko la mpunga kutoka tani
unaotakiwa kitaifa na kimataifa. Aidha, mbili, mpaka kufikia tani 5. Mahindi
viwanda vitaongezeka kwa kuwa uzalishaji kutoka tani 3.7 mpaka
malighafi za mazao zinapatikana, kufikia tani tano kwa hekta moja.
Tukiwa na matumizi ya
wakulima watapata malipo mazuri na rasilimali maji, kujenga
kuwavutia vijana kuingia katika sekta Uzalishaji wa vitunguu umeongezeka miundombinu na
ya kilimo na kupata ajira viwandani. kutoka tani 13 hadi tani 26 kwa hekta. matumizi endelevu ya
Uzalishaji wa nyanya umeongezeka tekinolojia ya umwagiliaji,
Alisisitiza kuwa teknolojia ya umwagiliaji kutoka tani tano hadi tani 18 kwa hekta. itasaidia kuwanufaisha
ni muhimu kwa kuwa nchi itaepuka wakulima na kuwavutia
uzalishaji wa msimu wa mvua tu, ambao Kwa sasa eneo la uzalishaji la mazao kuingia katika uzalishaji
hauna nafasi katika soko la kimataifa. ya umwagiliaji ni hekta 450,000 na kuongeza kasi ya
Pia, ASDP II imebuni na kutafuta ambapo ASDP II imekusudia kufikia uanzishwaji wa viwanda
mbinu zaidi zitakazoweza kukabiliana 600,000 mwaka 2028, na ifikapo 2030
vitakavyotoa ajira
na majanga mbalimbali kama vile lengo ni Kuongeza eneo la umwagiliaji
mafuriko, maporomoko ya udongo, mpaka kufikia hekta milioni moja.
hasa kundi la vijana.
ukame, magonjwa na dhoruba nyingine
za kimazingira ili kuhimili na kuweza Programu ya ASDP I ilianza mwaka wa
Rais Dkt. Magufuli
kuzalisha hata nyakati hizo ngumu. fedha 2006/2007 na kukamilika mwaka
Akifafanua maeneo yaliyoainishwa 2012/2013, Kwa kujenga jumla ya
kuwa yanafaa kwa umwagiliaji Chitutu miradi 241 ya umwagiliaji litekelezwa
amesema “kuna Jumla ya hekta kwa kulima mazao ya mpunga, miwa,
milioni 294 kwa ajili ya kuendeleza zabibu, kilimo cha mpunga mseto na
LIMEANDALIWA NA
Idara ya Habari-MAELEZO
S.L.P 25
Dodoma-Tanzania
Simu : (+255) 22 -2122771
Baruapepe:maelezo@habari.go.tz
Tovuti: www.maelezo.go.tz
Blogu: blog.maelezo.go.tz