You are on page 1of 10

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA WAZIRI MKUU

Anuani ya Simu: WAZIRI MKUU

S.L.P 980
DODOMA

Simu Nambari: 026 2322904


e-mail: pm@pmo.go.tz

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, amefanya mabadiliko ya Wakuu wa
Wilaya ili kuboresha utendaji kazi. Mabadiliko hayo
yamezingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishirini na saba (27)
zilizotokana na:
a) Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3;
b) Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa Wakuu wa
Mikoa;
c) Kupangiwa majukumu mengine Wakuu wa Wilaya 7; na
d) Kutengua uteuzi wa Wakuu wa Wilaya 12.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amewateua Wakuu
wapya wa Wilaya 27 ili kujaza nafasi hizo wazi.
Aidha, Wakuu wa Wilaya sitini na nne (64) wamebadilishwa
vituo vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42)
wameendelea kubaki katika vituo vya sasa.
1) Wakuu wa Wilaya waliofariki dunia
NA

JINA

WILAYA

1.

Capt. (mst) James C.


Yamungu

Serengeti

2.

Anna J. Magoha

Urambo

Moshi M. Changa

Kalambo

2) Wakuu wa Wilaya waliopandishwa cheo


Wakuu wa Wilaya wafuatao wamepandishwa cheo kuwa
Wakuu wa Mikoa
NA

WILAYA

JINA

1.

John Vianney Mongela Arusha

2.

Amina Juma Masenza

Ilemela

Dkt. Ibrahim Hamis


Msengi
Halima Omari
Dendego

Moshi

Daudi Felix Ntibenda

Karatu

3
4
5

MKOA
ALIOPANGIWA
Kagera
Iringa
Katavi

Tanga

Mtwara
Arusha

3) Wakuu wa Wilaya waliopangiwa majukumu mengine


Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa na
watapangiwa kazi nyingine ni hawa wafuatao;
NA
.

JINA

WILAYA

Brig. General Cosmas


Kayombo

Simanjiro

Col. Ngemela Elson Lubinga

Mlele

Juma Solomon Madaha

Ludewa

Mercy Emanuel Silla

Mkuranga

Ahmed Ramadhan Kipozi

Bagamoyo

Mrisho Gambo

Korogwe

7.

Elinas Anael Pallangyo

Rombo

4) Wakuu wa Wilaya Wanaotenguliwa


Wakuu wa Wilaya ambao uteuzi wao umetenguliwa
kutokana na sababu za umri, kiafya na nyinginezo na vituo
vyao ni kama inavyoonekana hapa chini:
NA

JINA

WILAYA

1.

James Kisota Ole Millya

Longido

2.

Elias Wawa Lali

Ngorongoro

3.

Alfred Ernest Msovella

Kongwa

4.

Dany Beatus Makanga

Kasulu

5.

Fatma Losindilo Kimario

Kisarawe

6.

Elibariki Emanuel Kingu

Igunga

7.

Dr. Leticia Moses Warioba

Iringa

Evarista Njilokiro Kalalu

Mufindi

9.

Abihudi Msimedi Saideya

Momba

10.

Martha Jachi Umbula

Kiteto

11

Khalid Juma Mandia

Babati

12

Eliasi Goroi Boe Boe Goroi

Rorya

5) Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa


Wakuu wa Wilaya wapya walioteuliwa na Wilaya zao ni
wafuatao;
NA.

JINA

JINSI WILAYA

1.

Mariam Ramadhani Mtima

KE

Ruangwa

2.

Dkt. Jasmine B. Tiisike

KE

Mpwapwa

3.

Pololeti Mgema

ME

Nachingwea

4.

Fadhili Nkurlu

ME

Misenyi

5.

Felix Jackson Lyaniva

ME

Rorya

NA.

JINA

JINSI WILAYA

6.

Fredrick Wilfred
Mwakalebela

ME

7.

Zainab Rajab Mbussi

KE

Rungwe

8.

Francis K. Mwonga

ME

Bahi

9.

Col. Kimiangombe Samwel


Nzoka

ME

10.

Husna Rajab Msangi

KE

Handeni

11.

Emmanuel Jumanne Uhaula

ME

Tandahimba

12.

Mboni Mhita

KE

Mufindi

13.

Hashim S. Mngandilwa

ME

Ngorongoro

14.

Mariam M. Juma

KE

Lushoto

15.

Thea Medard Ntara

KE

Kyela

16.

Ahmad H. Nammohe

ME

Mbozi

17.

Shaban Kissu

ME

Kondoa

18.

Zelote Stephen

ME

Musoma

19.

Pili Moshi

KE

Kwimba

20.

Mahmoud A. Kambona

ME

Simanjiro

21.

Glorius Bernard Luoga

ME

Tarime

22.

Zainab R. Telack

KE

Sengerema

23.

Bernard Nduta

ME

Masasi

24.

Zuhura Mustafa Ally

KE

Uyui

25.

Paulo Makonda

ME

Kinondoni

26.

Mwajuma Nyiruka

KE

Misungwi

27.

Maftah Ally Mohamed

ME

Serengeti

Wangingombe

Kiteto

NA.

JINA

JINSI WILAYA

6) Wakuu wa Wilaya waliobadilishwa Vituo


Wakuu wa Wilaya wafuatao wamebadilishwa vituo vya kazi
kama ifuatavyo;
NA

JINA

JINSIA

Nyerembe
Deusdedit
Munasa
Jordan Mungire Obadia
Rugimbana
Fatma Salum Ally

4
5

WILAYA
ATOKAYO

AENDAYO

ME

Arumeru

Mbeya

ME

Kinondoni

Morogoro

KE

Chamwino

Mtwara

Lephy Benjamini Gembe

ME

Dodoma
Mjini

Kilombero

ME

Mpwapwa

Arusha

Christopher
Ryoba
Kangoye
Omar Shaban Kwaang

ME

Kondoa

Karatu

Francis Isack Mtinga

ME

Chemba

Muleba

Elizabeth Chalamila
Mkwasa

KE

Bahi

Dodoma

Agnes Elias Hokororo (Mb)

KE

Ruangwa

Namtumbo

10

Regina Reginald Chonjo

KE

Nachingwe
a

Pangani

11

Husna Mwilima

KE

Mbogwe

Arumeru

12

Gerald John Guninita

ME

Kilolo

Kasulu

13

Bi Zipporah Lyon Pangani

KE

Bukoba

Igunga

14

Col. Issa Suleimani Njiku

ME

Missenyi

Mlele

16

Bw. Richard Mbeho

ME

Biharamul
o

Momba

1.
2

NA

WILAYA

17

JINAMarangushi JINSIA
Bw. Lembris
ME
Muleba
Kipuyo

Rombo

18

Ramadhani
Maneno

19

Venance
Mwamoto

20

Athuman

ME

Kigoma

Chemba

Methusalah

ME

Kibondo

Kaliua

Gishuli Mbegesi Charles

ME

Buhigwe

Ikungi

21

Novatus Makunga

ME

Hai

Moshi

21

Anatory Kisazi Choya

ME

Mbulu

Ludewa

22

Christine
Mndeme

KE

Hanang

Ulanga

23

Jackson William Musome

ME

Musoma

Bukoba

24

John Benedict Henjewele

ME

Tarime

Kilosa

25

Dkt.
Norman
Sigalla

ME

Mbeya

Songea

26

Dr. Michael Yunia Kadeghe

ME

Mbozi

Mbulu

27

Crispin Theobald Meela

ME

Rungwe

Babati

28

Magreth Ester Malenga

KE

Kyela

Nyasa

29

Said Ali Amanzi

ME

Morogoro

Singida

30

Antony John Mtaka

ME

Mvomero

Hai

31

Elias Choro John Tarimo

ME

Kilosa

Biharamulo

32
33

Francis Cryspin Miti


Hassan Elias Masala

ME
ME

Ulanga
Kilombero

Hanang
Kibondo

34

Angelina Lubalo Mabula

KE

Butiama

Iringa

Solomoni

Adamson

NA

WILAYA

35

JINA
Farida Salum Mgomi

JINSIA
KE
Masasi

36

Wilman Kapenjama Ndile

ME

Mtwara

Kalambo

37

Ponsian Damiano Nyami

ME

Tandahimb
a

Bariadi

38

Mariam Sefu Lugaila

KE

Misungwi

Mbogwe

39

Mary Tesha Onesmo

KE

Ukerewe

Buhigwe

40

Karen Kemilembe Yunus

KE

Sengerem
a

Magu

41

Josephine Rabby Matiro

KE

Makete

Shinyanga

42

Joseph Joseph Mkirikiti

ME

Songea

Ukerewe

43

Abdula Suleiman Lutavi

ME

Namtumbo Tanga

44
45

Ernest Ngwenda Kahindi


Anna Rose Ndayishima
Nyamubi

ME
KE

Nyasa
Shinyanga

Longido
Butiama

46

Rosemary Kashindi Kirigini


(Mb)

KE

Meatu

Maswa

47

Abdallah Ali Kihato

ME

Maswa

Mkuranga

48

Erasto Yohana Sima

ME

Bariadi

Meatu

49

Queen Mwanshinga Mulozi

KE

Singida

Urambo

50

Yahya Esmail Nawanda

ME

Iramba

Lindi

51

Manju Salum Msambya

ME

Ikungi

Ilemela

52
53

Saveli Mangasane Maketta


Bituni
Abdulrahman
Msangi

ME
KE

Kaliua
Nzega

Kigoma
Kongwa

54

Lucy Thomas Mayenga

KE

Uyui

Iramba

55

Majid Hemed Mwanga

ME

Lushoto

Bagamoyo

56

Muhingo Rweyemamu

ME

Handeni

Makete

Chamwino

NA

JINA

WILAYA

JINSIA

57

Hafsa Mahinya Mtasiwa

KE

Pangani

Korogwe

58

Dr. Nasoro Ali Hamidi

ME

Lindi

Mafia

59

Festo Shemu Kiswaga

ME

Nanyumbu

Mvomero

60

Sauda Salum Mtondoo

KE

Mafia

Nanyumbu

61

Seleman Mzee Seleman

ME

Kwimba

Kilolo

62

Esterina Julio Kilasi

KE

Wangingo
mbe

Muheza

63

Subira Hamis Mgalu

KE

Muheza

Kisarawe

64

Jacqueline Jonathan Liana

KE

Magu

Nzega

7) Wakuu wa Wilaya wanaobaki katika vituo vyao vya


sasa
Wakuu wa Wilaya wafuatao wanaendelea kubaki katika
vituo vyao vya sasa;
NA

JINA

JINSIA

WILAYA

Jowika Wilson Kasunga

ME

Monduli

Raymond Hieronimi Mushi

ME

Ilala

Sophia Edward Mjema

KE

Temeke

Bw. Amani Kiungadua


Mwenegoha

ME

Bukombe

Bw. Ibrahim Wankanga Marwa

ME

Nyangwale

Bw. Rodrick Lazaro Mpogolo

ME

Chato

Bw. Manzie Omar Mangochie

ME

Geita

Bi. Darry Ibrahim Rwegasira

KE

Karagwe

Lt.
Col.
Kitenga

ME

Kyerwa

ME

Ngara

10

Benedict

Kulikila

Constantine John Kanyasu


8

11

Paza Tusamale Mwamulima

ME

Mpanda

12

Peter Toima Kiroya

ME

Kakonko

13

Hadija Rashid Nyembo

KE

Uvinza

14

Dkt. Charles O. Mlingwa

ME

Siha

15

Shaibu Issa Ndemanga

ME

Mwanga

16

Herman Clement Kapufi

ME

Same

17

Ephraim Mfingi Mbaga

ME

Liwale

18

Abdallah Hamis Ulega

ME

Kilwa

19

Joshua Chacha Mirumbe

ME

Bunda

20

Deodatus Lucas Kinawiro

ME

Chunya

21

Rosemary Staki Senyamule

KE

Ileje

22

Gulamhusein Kifu Shaban

ME

Mbarali

23

Christopher Edward Magala

ME

Newala

24

Baraka Mbike Konisaga

ME

Nyamagana

25

Sarah Philip Dumba

KE

Njombe

26

Hanifa Mahmoud Karamagi

KE

Gairo

27

Halima Meza Kihemba

KE

Kibaha

28

Nurdin Babu

ME

Rufiji

29

Mathew Sarja Sedoyeka

ME

Sumbawanga

30

Idd Hassan Kimanta

ME

Nkasi

31

Chande Bakari Nalicho

ME

Tunduru

32

Bibi Senyi Simon Ngaga

KE

Mbinga

33

Wilson Elisha Nkambaku

ME

Kishapu

34

Benson Mwailugula Mpesya

ME

Kahama

35

Paul Chrisant Mzindakaya

ME

Busega

36

Georgina Elias Bundala

KE

Itilima

37

Fatuma Hassan Toufiq

KE

Manyoni

38

Lt. Edward Ole Lenga

ME

Mkalama

39

Hanifa Mohamed Selengu

KE

Sikonge

40

Suleman Omar Kumchaya

ME

Tabora

41

Mboni Mwanahamis Mgaza

KE

Mkinga

42

Seleman Salum Liwowa

ME

Kilindi

Mabadiliko haya yameanza tarehe 18.02.2015 na ninawatakia


wote utendaji kazi mahiri.

18.02.2015

Mizengo K. P. Pinda
WAZIRI MKUU

10

You might also like